Hii kitu inayoitwa CROWD FARMING, Tanzania nani wanafanya??.

Aya apo kwenye health sector kuna MEDPACK TANZANIA hawa una order dawa na other health facility wanakuletea mpka home kwako wana website yao pia na app inapatikana playstore!!
Vijana wapo vizuri wale
 
Aya apo kwenye health sector kuna MEDPACK TANZANIA hawa una order dawa na other health facility wanakuletea mpka home kwako wana website yao pia na app inapatikana playstore!!
Vijana wapo vizuri wale
Nimekusoma, hawa jamaa wana promise ROI ngapi??. Ama hawajafafanua?
 
Nimekusoma, hawa jamaa wana promise ROI ngapi??. Ama hawajafafanua?
Hapo ROI kwa nazani ni ngumu ku determine kwa sasahivi maana kampuni wameanza tu mwaka jana alafu waanzilishi ni vijana waliograduate tu mwaka huu .walikua wanatumia bodaboda za kawaida ila sasahivi naona wanabodaboda zao za delivery nazani itakua inawalipa.Vipi ndugu unataka kuwekeza apo nini😁
 
Nadhani wapo wapo,hao kina mr kuku, vanilla village, Jatu n.k watakuwa wanatumia mfumo huo huo
Mkuu una akili Sana, Vanilla village ni bomu linakoelekea kulipukanmuda wowote ..Hivi watanzania nani katuroga...ajabu viongozi wapo wanajipiga selfie hapo....kwa uzoefu wangu wa hiki kilimo pale watu wataangua vilio soon!
 
Back
Top Bottom