tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali umedanganya; tuzo ya Nobel haijaenda kwa Raia wa Tanzania

    Prof. Gurnah aliyeshinda tuzo ya Nobel siyo raia wa Tanzania Kama serikali na viongozi wengi pamoja vyombo vya habari vilivyoripoti. Huyo ni raia wa Uingereza Mwenye asili ya Tanzania. Msemaji wa Serikali hapaswi kuandika kwa kuangalia mitandao bali anapaswa kufanya utafiti. Haina haja kuwa na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Benin vs Tanzania (Oktoba 7): Tanzania walishindwa kutumia nafasi walizopata kipindi cha kwanza

    Tanzania walishindwa kutumia nafasi walizopata kipindi cha kwanza ama ni Substitution za mwalimu ndio ziliotuangusha
  3. JamiiForums Tanzania Kuna pengo kubwa sana la Zawadi Mauya Taifa Stars

    Yule dogo Nivatus ni Mzuri ila anahitaji kuoneshwa namna mpira unaotakiwa kuchezwa. Na mtu pekee hapa Tanzania mwenye uwezo wa kumfundisha mpira dogo Novatus ni Zawadi Mauya. Pia pengo la zawadi Mua limeonekana kwa kuwa ni aina a mchezaji ambaye hakatiki pumzi kama Mzamiru Yasini. Ombi langu...
  4. JamiiForums Tanzania Uingereza yaiondoa Tanzania kwenye 'red list'

    Tanzania ni miongoni mwa mataifa yaliyoondolewa katika orodha ya Mataifa hatari kwa maambukizi ya Corona. Serikali imesema orodha hiyo imepungua kutoka Nchi 54 hadi 7 Waziri wa Usafirishaji, Grant Shapps amesema mabadiliko hayo yataanza Jumatatu (Oktoba 11, 2021) Hatua hiyo inamaanisha...
  5. JamiiForums Tanzania Talent Acceleration Programme at AB InBev

    Talent Acceleration Programme- Tanzania Position: Talent Acceleration Programme- Tanzania Dar es Salaam, Tanzania Full-time Company Description Our Dream is to bring people together for a better world. Beer, the original social network, has been bringing people together for thousands of...
  6. JamiiForums Tanzania Job Opportunities at Frostan Limited Tanzania

    1. Job Title: Systems Administrator Department: Information Technology Job Purpose: Effective procurement, installation, configuration, operation, and maintenance of network connectivity, IT systems, hardware and related infrastructure. Key Responsibilities: Business Performance & Staff...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Abdulrazak Gurnah ashinda Tuzo ya Nobel katika Fasihi

    Ni mwanafasihi Abdulrazak Gurnah Source: Al jazeera Mungu ni mwema wakati wote ===== Mwandishi kutoka Tanzania, Abdulrazak Gurnah ametangazwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel 2021 kwa upande wa Fasihi (Literature) Gurnah ambaye anaishi England alizaliwa Zanzibar na ni Profesa wa Chuo Kikuu cha...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kuwakamata na kuwaweka mahabusu kunanachangiaje maendeleo ya Tanzania?

    Hii kamata kamata ya viongozi wa upinzani nchini inasaidiaje kuondoa umaskini? Je wanapopelekwa mahabusu wanatumika katika kufanya uzalishaji au wanakaa tu wakisubiri wapate dhamana au wahukumiwe? Lakini pia hii ipo kwenye ilani ya chama Cha mapinduzi au imeandikwa wapi kwamba ni.marufuku...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi Tanzania wanaipigania CCM kufa na kupona?

    Ni wazi kabisa sasa polis wamechukua nafasi ya CCM kushindana na vyama vya upinzani. Huku CCM ikiwa mtazamaji napengine kuwapo kama haipo. Tofauti ndogo nikwamba polis wanamiliki siraha na mahabusu hivyo washindani wao wanakiona cha mtema kuni. Ukiangalia kwa makini hawa polis na pengine hata...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini tuvuti nyingi za Tanzania zipo kwenye lugha ya kingereza

    wadau na ombeni msada wenu nashwindwa kuelewa kwa nini tuvuti nyingi za Tanzania zikiwemo za serekali na watu binafsi zinachapishwa kwa kingereza huku walengwa tukiwa ni raia wakawaida kabisa ambao wengi wetu hatuko vizuri na hiyo lugha hilo lakwanza jambo jingine nathani hili linakera...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania vs Benin, African Qualifiers - FIFA World Cup Qatar 2022

    Tanzania(Taifa stars) and Benin meet at Mkapa Stadium on Thursday in a battle between two sides at the top of their World Cup 2022 qualifying group. The sides are level on points and goal difference ahead of their double-header this week, with Tanzania set to travel to Benin on Sunday. Another...
  12. R

    JamiiForums Tanzania "Timorous" Judges vs Bold Spirit Judges: Majaji wetu wanaangukia kundi gani?

    Miaka ya nyuma taifa hili lilishuhudia majaji ambao walijitoa mhanga kutoa haki kadri ya sheria. Walitoa haki bila upendeleo, chuki wala kuogopa mamlaka zilizowazunguka. Walijulikana kama Bold spirits Judges. Si wengi ingawa si hawa peke yao: Justice James Mwalusanya, Justice Mwesiumo, Justice...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania inakabiliwa na ukiukwaji wa Haki za Binadamu katika Uhuru wa Habari na Uhuru wa Kujieleza

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesema, bado Tanzania inakabiliwa na ukiukwaji wa haki za binadamu hapa nchini hasa katika maeneo ya uhuru wa habari na vyombo vya habari na uhuru wa kujieleza. Hayo yamebainishwa jijini Dar es Salaam Oktoba 5, 2021 na Mratibu wa THRDC...
  14. JamiiForums Tanzania Unafiki wa Vyombo vya Habari Tanzania

    Sakata la kukamatwa mchora vibonzo Optter Fwema limetokea huku kukiwa na kilio cha kukosekana kwa uhuru wa maoni na ukandamizaji haki za raia. Ukiondoa mitandao ya kijamii, hakuna chombo cha habari kilichoratibu mtiririko wa kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe. Na kibaya zaidi kwenye hili sakata la...
  15. M

    JamiiForums Tanzania BBC msitutanie, ina maana Tanzania haina Kiongozi yoyote Mfujaji mliyemwona katika PANDORA PAPER?

    Siwezi kuamini na nitakataa mpaka Pumzi yangu ya mwisho huyu Kiongozi Mr. Smile Mswahili Pwani BBC na PANDORA PAPER yenu hamjamkuta kuwa amejilimbikizia sana Mali na Kuinyonya mno Tanzania. Kwa nimjuavyo Mr. Smile Mswahili Pwani na alivyokuwa Mjanja Mjanja huku akiwa Kazungukwa na Wapigaji...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania seeks World Bank support for Covid effort, balance of payments

    Tanzania seeks World Bank support for Covid effort, balance of payments SATURDAY OCTOBER 02 2021 Summary In a meeting in Dodoma September 28, President Samia Suluhu held talks with the World Bank’s Regional Vice President for Eastern and Southern Africa, Hafez Ghanem, and discussed her...
  17. JamiiForums Tanzania Hizi chanjo za Corona zinaenda kuondoa herd immunity tuliyoipata nchini

    Ninachosikitika ni kuwa hizi chanjo ambazo baadhi ya watu watazipa nchi zitaenda kuua herd immunity ambayo watanzania wengi kama sio wote nchini tulikuwa tumeipata kwa muda wa takribani miaka miwili. Kwa wasiojua, herd immunity kwa lugha ya kawaida huitwa Kinga Kundi, hii ni aina ya kinga...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mabibo,Manzese,Mburahati : Kisima cha mabondia nchini Tanzania

    Nimefanya uchunguzi na kugundua maeneo hayo tajwa yamesheni mabondia chipukizi waliofufua mchezo wa ngumi kupitia Azam Tv inayoonesha mapambano ya ngumi moja kwa moja chini ya promota Selemani Semunyu. Vijana wengi wanaocheza mchezo wa ngumi wamepata mafanikio makubwa katika mchezo huu hasa ktk...
  19. JamiiForums Tanzania Wageni wa Ulaya, America na Asia hupewa thamani kubwa mno kuliko wazawa wa Tanzania

    Video ya utangulizi hii nasisitiza sana uiangalie mpaka mwisho, utapata picha kamili kabla hujasoma hii maada Tangu nimezaliwa hapa nchini ma hadi sasa nikiwa na miaka 31 kuna mengi nimeyaona na kujifunza katika hii nchi, kitu kimoja wapo ni thamani kubwa mno anayopewa foreigner kuzidi...
  20. JamiiForums Tanzania Ajali za mabasi ya abiria zaanza kuitikisa serikali ya Tanzania

    Kwa kipindi cha awamu ya tano , ajali za mabasi ya abiria Tanzania ilibakia Kurwa historia. Sasa kila kona ya nchi ni vifo vya wapendwa wetu na serikali imepiga kimya. IGP uko wapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…