tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Driver at SOS Children’s Villages Tanzania - 3 Posts

    SOS Children’s Villages Tanzania is a local non-government organization affiliated to SOS Children’s Villages International, a worldwide child care and protection organization that provides orphaned and destitute children with a permanent home and educational opportunities. Established 60 years...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia ahitimisha ziara yake Misri leo na anarejea na Air Tanzania

    Nimeangalia muda huu live coverage mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan amehitimisha ziara yake nchini Misri. Kilichonifurahisha kumbe this time mama amekwenda na air Tanzania, angalau hii mindege ifanye kazi zilizokusudiwa badala ya kupaki tu pale kipawa. Ni hayo tu.
  3. JamiiForums Tanzania Pumzika kwa amani Emsley "Baba T" Smith

    Emsley "Baba T" Smith Picha: Ukurasa wake wa Facebook Miaka kadhaa iliyopita nilipata fursa ya kuonana na Baba T pale East Africa Radio. Tulishikana mikono. Alikuwa ni pande la mtu, na kiganja changu kilimezwa mkononi mwake. Nilikuwa mtembeaji tu na kijana mdogo niliyependa kusikiliza Reggae na...
  4. JamiiForums Tanzania Kinachoiponza Tanzania kwenye michezo ni "DUA TU"

    Narudia tena, Tanzania kwenda kombe la dunia labda kwa viti maalumu lakini sio kupambana ili kupata nafasi. Inashangaza sana kuona kila mtu anategemea dua na kudra za mwenyezi Mungu!!!. Hivi huyu Mungu atasaidia timu gani? Au huyu Mungu yeye ni timu gani? Wazungu wangekuwa na akili kama hizi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania The effective informative channel in Tanzania ni JF ambapo mtu anaandika bila unafiki

    JF ni ukumbi ambao mtu anaandika dhamira halisi ya moyo wake bila unafiki. Tuitumie JF kuwaambia watawala yanayotukera. Tuandike sana wasome, wajue yanayokera, wananchi tunahitaji nini etc etc.
  6. JamiiForums Tanzania Kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC kimepoteza mvuto

    Wadau habari za usiku !! Mbali na mabadiliko waliyo fanya TBC bado kituo hicho kinakosa vipindi vyenye mvuto kabisaa pamoja na watangazaji pia hawana bashasha na haiba. TBC wana kipindi kinaitwa Jambo Tanzania (Good morning Tanzania) hiki kipindi hivi karibun kimekuwa kina endeshwa kiajabu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nividharau Vipindi vyote vya Michezo vya Redio, Watangazaji na Wachambuzi wa Michezo Tanzania?

    Walichokuwa wakisema Wiki Moja kabla ya Kucheza na Congo DR leo na kupokea Kichapo cha Kishalubela ( Kikatili ) ni..... "Congo DR ya sasa si lolote na chochote kwani Wachezaji wao wengi tunawajua na tunao hapa Tanzania. Congo DR watakufa kwa Mkapa na Kipigo Kwao hakikwepeki kwani kwa sasa...
  8. JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania ordered to pay TRA Sh3 billion’

    Dar es Salaam. The Court of Appeal said Vodacom Tanzania must pay the Tanzania Revenue Authority (TRA) Sh3 billion withholding tax on purchase of a computer software from Siemens Telecommunications (Pty) Limited. The highest court in the land has upheld decisions of the Tax Revenue Appeals...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania 0-3 DR Congo | 2022 FIFA WC Qualifiers | Benjamin Mkapa Stadium

    Leo kutakuwa na Mchezo wa Kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2022 pale Qatar, kati ya Tanzania dhidi ya DR Congo katika dimba la Benjamin Mkapa hapa Dar Es Salaam. Taifa Stars wataingia dimbani wakitafuta point 3 muhimu ili waendelee kutengeneza mazingira mazuri ya kufuzu kombe la Dunia. Ni mchezo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania January Makamba, Lissu, Mbowe na Profesa Assad kwa akili walizonazo hawakupaswa kuzaliwa Tanzania

    Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini kwenye taifa hili la wajinga. Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizindua kampeni...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani ya kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania?

    Habari wakuu! Kama title inavojieleza hapo juu napenda kufahamu ni kampuni gani ambazo zinajihusisha na kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania? Na kama zipo wanatumia njia gani ya anga ama?
  12. JamiiForums Tanzania Utabiri wa kikosi Tanzania vs Congo DR

    Kwa kutambua umuhimu wa mechi ya leo na aina ya wachezaji walioitwa Taifa stars, ungekuwa nafasi ya kocha Poulsen ungekuja na kikosi gani? Mimi ningeanza na hawa hapa
  13. JamiiForums Tanzania Lumbua people go Northern Tanzania and Southern Kenya picture was taken in 1930

    Lumbwa people, The Lumbwa (also Lumbua, Umpua, Humba and Wakwavi) were a pastoral community which inhabited southern Kenya and northern Tanzania. The term Lumbwa has variously referred to a Kalenjin-speaking community, portions of the Maa-speaking Loikop communities since (at least) the...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika(AU) uhamie Tanzania

    Kufuatia mapigano ya Tigray ya TPLF na vikosi vya serikali kuelekea kuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe wakati wowote kuanzia sasa, namshauri Rais Mstaafu Gen. Obasanjo ambaye ni mpatanishi wa mgogoro huo aishauri AU ihamishie Makao Makuu yake Tanzania kwa muda hadi pale amani itakaporejeshwa.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni ghali kuliko nje

    Gharama ya Rais wa Tanzania na deligate yake kusafiri ndani ya nchi ni kubwa kuliko ile yakwenda nje japo Safari zote mbili zinaumuhimu mkubwa kwa Taifa letu, Kipindi flani niliwahi kuhesabu magari ya msafara wa Rais wa JMT sina kumbukumbu sahihi ila yalizidi magari 40 mengi yakiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani waahidi kuwasaidia waandishi Tanzania

    *Ubalozi wa Marekani waahidi kuwasaidia waandishi Tanzania . Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Donald Wright ameahidi kusaidia programu mbalimbali za habari ili kulinda uhuru wa kujieleza na uhuru wa vyombo vya habari Tanzania. Balozi Wright amesema hayo wakati alipotembelea klabu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Nimekosa huduma ya afya kwakuwa sijapata chanjo. Je, chanjo ya COVID-19 ni lazima nchini Tanzania?

    Kwa mwenye kufahamu juu ya Hil naomba anifahamishe. Nimekosa huduma moja ya kituo Cha Afya hapa nchini ,sababu sijachoma Chanjo ya COVID-19. Je, hawa watoa huduma wamepata wapi jeuri ya kupinga kauli ya Mh. Rais Ile kauli ya kuwa Chanjo sio Lazima.
  18. JamiiForums Tanzania Bei kubwa vifurushi vya data mwiba maendeleo ya kidigitali Tanzania

    📍 Wadau walia kila kona vifurushi kupanda maradufu tena kimya kimya 👉 Tasnia ya habari Mitandaoni, elimu, Dini, Burudani waathirika pakubwa Kutokana na kupanda maradufu kwa bei za vifurushi vya interneti nchini, huku GB 1 ya Data ikipatikana kwa zaidi ya dola 1.3 kumesababisha kupungua kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Technical Writer, Tanzania Country Program at PATH

    PATH is a global organization that works to accelerate health equity by bringing together public institutions, businesses, social enterprises, and investors to solve the world’s most pressing health challenges. With expertise in science, health, economics, technology, advocacy, and dozens of...
  20. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetangaza kuwepo kwa ongezeko la joto katika maeneo mbalimbali nchini

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mamlaka hiyo kwa vyombo vya habari imeelezwa kuwa hali hiyo inatokana na kusogea kwa jua la utosi na upungufu wa mvua katika maeneo mengi ya nchi. Aidha imeelezwa pia kwamba vipindi vya jua la utosi itafikia kilele chake mwishoni mwa mwezi Novemba wakati jua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…