tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania yaomba kuandaa Kombe la Dunia

    WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa, amesema Tanzania ipo tayari kuwa mwenyeji Kombe la Dunia kwa soka la watu wenye ulemavu (WAF) baada ya kumalizika inayofanyika Oktoba, 2022 nchini Uturuki. Tanzania ni moja ya nchi iliyofunvu kushiriki Kombe la Dunia, 2022 kupitia timu...
  2. JamiiForums Tanzania Ubelgiji kuipatia Tanzania dozi 115,200 za Johnson & Johnson

    Serikali leo inatarajia kupokea chanjo aina ya Johnson & Johnson dozi 115,200 kutoka Ubelgiji ili kuchangia kuongeza kasi ya kampeni ya kuchanja. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Ubalozi wa Ubelgiji na kuthibitishwa na serikali ya Tanzania, chanjo hizo zitachangia kuongeza kasi ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Op-Ed: David McAllister’s remarks on Tanzania are misleading

    Dr. Naike Muhando Dar es Salaam Tanzania I am opening this short op-ed with Mwalimu Julius Kambarage Nyerere’s quote that, “No nation has the right to make decisions for another nation; no people for another people.” My reference is today’s Chair of the European Parliament Foreign Affairs...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia akemea urasimu Kituo cha Uwekezaji Tanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna kasumba ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC) kutoa kipaumbele kwa wawekezaji wa nje na kuweka urasimu mwingi kwa wawekezaji wa ndani. Amesema hayo alipokuwa akizindua kiwanda cha Faddy Fiber wilayani Mkuranga ambacho ni cha nne kwa ukubwa Afrika, na...
  5. JamiiForums Tanzania Wawekezaji zaidi ya 140 kutoka Italia wawekeza katika miradi mbalimbali nchini Tanzania

    Wawekezaji zaidi ya 140 kutoka Italia wamewekeza katika miradi mbalimbali nchini Tanzania Takwimu hizo zimetolewa na Naibu Waziri Wizara ya Madini, Prof. Shukrani Manya alipokuwa akifungua jukwaa la biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Italia lilifanyika Jijini Roma, Italia leo. Prof. Manya...
  6. JamiiForums Tanzania Sherehe za miaka 60 ya Uhuru, Temeke mmejipangaje?

    Naandika haya nikiwa napita jirani kabisa na uwanja wa Uhuru (Uwanja wa Taifa), naona vikosi vya ulinzi na usalama vikijtaarisha kuanza mazoezi ya gwaride na mambo mengine, vijana wa halaiki nao hawajaachwa nyuma, naona kundi kubwa linaingia. Ama kwa hakika kwa maataarisho haya, tutegemee...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia amwagiwa sifa kwenye Bunge la Ulaya

    Moja kati ya mijadala iliyojadiliwa kwenye Bunge la Ulaya ni hali ya Tanzania hususan katika eneo la Demokrasia. Mbunge wa Bunge hilo David McAllister alionekana kupotosha Bunge hilo kwa makusudi baada ya kueleza mambo ambayo alionekana hana ufahamu nayo. David McAllister, alipotosha kwamba...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanajeshi mstaafu wa Ujerumani na nia mbaya dhidi ya Tanzania

    David James McAllister, aliyezaliwa January 12 mwaka 1971, ni mtu wa kutiliwa mashaka makubwa anayehudumu katika Bunge la Ulaya (European Parliament) kutokea Ujerumani. McAllsiter ambaye ana doa kubwa la kuwa mbaguzi wa rangi ana mtetezi mkubwa wa ndoa za jinsi moja (Ushoga) ameonekana kwenye...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viongozi wetu waliogomea suala la kuunganisha Tanzania, Uganda na Kenya waliona mbali

    Kuna siku mzee fulani alinisimulia jinsi Nyerere alipambania sana Afrika Mashariki iwe nchi moja, ila viongozi wa Kenya wakasuasua na hatimaye wakapiga chini hilo wazo. Nikawaona viongozi wetu kama ambao hawakua na upeo wa kuona mbali, ila nimekua nasoma hizi taarifa za mkanganyiko wa Zanzibar...
  10. JamiiForums Tanzania EU kutaka kesi ya Freeman Mbowe ifutwe hawajui kuwa Tanzania is a free State?

    Tanzania ni nchi huru tena Uhuru wake ni wa miaka sitini (60) sasa Tanzania kama zilivyo nchi nyingine za EU inayo sheria,kanuni na taratibu za kuongoza watu wake ili waishi na kujiletea maendeleo yao kwa amani na Utulivu Freeman Mbowe na wenzake wanatuhumiwa kutenda kosa la Ugaidi na kesi...
  11. X

    JamiiForums Tanzania Jobs at Tanzania Posts Corporation (TPC) and Marine Services Company Limited (MSCL)

    VACANCY ANNOUNCEMENT On behalf of the Tanzania Posts Corporation (TPC) and Marine Services Company Limited (MSCL) Public Service Recruitment Secretariat invites dynamics and suitable qualified Tanzanians to fill thirty-one (31) vacant post mentioned below. TANZANIA POSTS CORPORATION (TPC)...
  12. X

    JamiiForums Tanzania Jobs at Tanzania Food and Nutrition Centre December 2021

    VACANCY ANNOUNCEMENT On behalf of Tanzania Food and Nutrition Centre (TFNC), President’s Office Public Service Recruitment Secretariat invites competent, experienced, highly organized and self-motivated Tanzanians to fill two (2) vacant posts mentioned below;- TANZANIA FOOD AND NUTRITION...
  13. JamiiForums Tanzania Artisan II at Tanzania Food and Nutrition Centre

    POST: ARTISAN II – 1 POST POST CATEGORY(S): CREATIVE AND DESIGN, ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYER: Tanzania Food and Nutrition Centre (TFNC) APPLICATION TIMELINE: 2021-12-01 2021-12-14 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES To assist in operating printing machines To sort and gather...
  14. JamiiForums Tanzania Nimeona magari yanakuwa na Plate Number Nyeusi, in maana gani?

    Hatujawahi kosa jibu ama solution humu. Nimeona magari yanakuwa na Plate Number Nyeusi zikiwa na format ya namba na herufi za kawaida Mfano T 747 DFY Ila kibao kinakuwa cheusi. Humaanisha nini ?
  15. JamiiForums Tanzania Nissan wakubali sera za Rais Samia. Kujenga kiwanda Cha magari Tanzania

    Kufuatia sera nzuri za uwekezaji zilizoasisiwa na Rais wa awamu ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan, Tayari makampuni mbalimbali yanamiminika kuwekeza Tanzania ikwemo Kampuni hii ya Nissan iliyoonesha nia ya kuwekeza kiwanda cha kuunganisha magari, Tunaposema Rais Samia anaupiga mwingi...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania yafuzu kombe la Dunia mchezo wa soka kwa wenye ulemavu

    Na. John Mapepele Waziri mwenye dhamana ya Michezo nchini. Mhe, Innocent Bashungwa leo Disemba 1, 2021 amewaongoza watanzania kuishangilia Timu ya Tanzania (Tembo Warriors) ambayo imefuzu na kuwa timu ya kwanza miongoni mwa timu nne zinazoingia nusu fainali ya Soka ya Bara la Afrika kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna aliyemuelewa vyema hapa Mchambuzi Oscar Oscar wa E FM na Tv E?

    Kaandika hivi: Muongoza Ligi yuko Mbeya na Mbeba Ubingwa yuko Dar es Salaam. Kazi Kwenu.
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia amaliza mgogoro wa miaka kumi kati ya Tanzania na Afrika Kusini

    Kumekuwa na mgogoro mkali wa kibiashara hasa ya Parachichi baina ya Tanzania na Afrika ya Kusini uliodumu kwa mwongo mzima(miaka kumi) sasa bila muafaka wowote. Mtakumbuka February, 2021 kabla ya ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan Jumla ya tani 3.514 za avocados|parachichi toka Tanzania...
  19. G

    JamiiForums Tanzania There is no free lunch. Why has Yoweri Museveni built a school for Tanzanians?

    The President of Uganda, Yoweri Museveni must be buying something out of this generosity to Tanzanians. He is definitely trying to lure our leader (Madam President Samia Suluhu Hassan) so that can get what he wants. There are so many villages in Uganda which have either poor or no school...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania US ni vituko tupu

    Tunasikitika ubalozi wetu wa Tanzania US unejaa wafanyakazi wasiojua wanachofanya. Ili watu waelewe hili nimewapa barua mbili hapa. Barua yenye kumbukumbu namba moja imetumwa kwenye miji miwili tofauti. Ukipiga simu wanasema Dallas eti hawaendi. Cha kushangaza vilevile pamoja na viongozi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…