tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Ni manufaa yapi tunayapata kuwa Raia wa Tanzania?

    Habari, Leo nimekuwa katika tafakuri ya kuangalia ni privilege zipi tunazipata kama Raia wa Tanzania. Hapa namaanisha katika nyanja zote za maisha Mtanzania anapata unafuu upi? Nitoe mifano kidogo Kwa mfano katika huduma za kijamii - Mtanzania anapata unafuu gani katika huduma ya maji...
  2. JamiiForums Tanzania Tumetoka mbali. Iangalie Tanzania ya mwaka1999

    Kwenye makala ya hawa jamaa tunaona Dar es salaam ya zama hizo, barabara ya Dar kwenda Kilwa, Reli ya Dar Kigoma, meli ya MV Mwongozo zama hizo na mengine mengi. Kweli tumetoka mbali. Hebu tuambie, unakumbuka nini cha enzi hizo? Ulikuwa wapi? Unadhani jambo gani limebadilika kwa kiasi kikubwa...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania tunazidiwa kila kitu na majirani zetu wanaotuzunguka

    Tanzania tupo underperformance sana tunazidiwa kila kitu na majirani zetu wanaotuzunguka. Elimu: Kwenye Elimu tunazidiwa na Kenya na Uganda karibia kila kitu. 2. Kwenye viwanda: Tunazidiwa na Zambia, Uganda, Kenya hadi Malawi. 3. Miradi ya Mikubwa ya Taifa ya viwanda: Huko ndio tupo chali...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 20 Embu Members of County Assembly Go to Tanzania to Learn Good Manners

  5. B

    JamiiForums Tanzania DC Mwenda awafunda vijana jinsi miaka 60 ya uhuru uchumi wa Tanzania ulivyobadilika

    DC MWENDA AWAFUNDA VIJANA JINSI MIAKA 60 YA UHURU UCHUMI WA TANZANIA ULIVYOBADIRIKA Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru mkoani Singida vijana wamefanya Kongamano Vijana na wametakiwa kuenzi miaka 60 ya uhuru wa Tanzania bara na miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanziba kwa kuangalia mabadiliko katika...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania tuige mfano wa Uganda kuwajengea DRC barabara Ili kufungua biashara

    Hello members. Hivi karibuni nchi ya Uganda imeanza ujenzi wa barabara za kimkakati zinazolenga kukuza biashara baina yake na nchi ya DRC Congo.. Barabara hizo zinajengwa ndani ya Mipaka ya DRC kwa makubaliano maalumu na kuharakisha kukuza biashara na uchumi. Kwa mtizamo wangu ,hili ni wazo...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Magorofa yote Tanzania yakaguliwe

    Hizi ajali zinatokanna na kuwa na mafundi uchwara ambao hawafuati maelezo ya egineers. Kupunguza cement, nondo chini ya kiwango na vitu vingine vingi. Lakini ukijenga Gorofa inabidi uwe na engineers wa kukagua. Usikofanya usimamizi mzuri utajuta. Serikali kwa sasa waweke ukaguzi kabla ya majengo...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nitaendelea kuzunguka kuwaambia wawekezaji waje Tanzania

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, "Kama nimekubali kubeba mzigo wa kuongoza hii Nchi, kuna mambo kadhaa yaliyoelekezwa ndani ya Ilani niyatimize. Sitayatimiza kwa kukaa Ofisini Dodoma au hapo Magogoni, lazima nizunguke nitoke nikaonane na watu" Ameeleza hayo leo katika Uzinduzi wa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Hadaa kwa Dunia

    Mh. Spika Ndugai amesikika akiwa kaambatana na mbunge wa upinzani kwa mabeberu: Sikia wizara ya afya nao: Abiria katokea Tanzania. Yaliyobaki yanachukua muda gani kufahamika? Seriously? Hivi kama si vipaji adhimu kabisa ni nini?
  10. JamiiForums Tanzania Serikali: Hatujabaini Kirusi cha Omicron mpaka sasa

    Serikali imesema Maabara ya Taifa imekuwa ikichunguza mabadiliko ya kirusi ili kuangalia uwepo wa anuai zinazotokana na mabadiliko ya COVID-19, ikiwemo Omicron na mpaka sasa haijabaini aina hiyo mpya ya Kirusi Imesema haijajulikana kama abiria kutoka Tanzania aliyeripotiwa kubainika na Kirusi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania inawahitaji wawekezaji kuliko wawekezaji wanavyoihitaji Tanzania?

    Niliposikia/niliposoma maneno hayo, tena toka kwa kiongozi wa nchi sikuamini kabisa nilichosikia au nilichokisoma! Kiongozi kamwe hawezi kamwe kuwa na fikra za namna hii kuhusu suala hili. Pengine labda tuseme alikuwa na maana ya wawekezaji, hasa wa ndani ya nchi, ikihusisha wananchi wenyewe...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake tunaweza. Tanzania ninakupenda nchi yangu

  13. JamiiForums Tanzania India: Delhi yaripoti maambukizi ya Omicron kwa mtu aliyetokea Tanzania

    Mtu mmoja aliyerejea Delhi kutokea Tanzania amegundulika kuwa na kirusi kipya cha COVID19 cha Omicron Waziri wa Afya wa Delhi, Satyendar Jain amesema mtu huyo amlazwa katika hospitali ya LNJP ambapo hadi sasa kuna jumla ya watu 17 waliokutwa na virusi hivyo ======= The national capital...
  14. JamiiForums Tanzania Licha ya kufanya makubwa Tanzania, kampuni ya mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania Limited, yaahidi kufanya zaidi na zaidi!

    Wanabodi, Naomba nianze na facts: 1. Japo Tanzania, tangu tupate uhuru, tuna miradi mingi mikubwa ya uwezekazi iliyoanzishwa, na kuna makampuni mengi yamewekeza Tanzania, hakuna uwekezaji wowote mkubwa, zaidi ya uwekezaji wa kampuni ya mafuta ya TotalEnergies, kupitia mradi wake wa bomba la...
  15. B

    JamiiForums Tanzania EU vs Tanzania: Zijue sababu za EU Kuuma na Kupuliza

    Ifahamike kuwa EU kama watu wana maslahi yao yaliyo wazi kwenye mahusiano yao na nchi yoyote. Ya muhimu zaidi kwenye kuihusu Tanzania ni: 1. Usalama wao hasa dhidi ya Corona 2. Umuhimu wa uhuru, haki, usawa na demokrasia (kiutu). #1 kwao ni kipaumbele. Kauli mbiu ya kuwa hayupo aliye salama...
  16. JamiiForums Tanzania Ujumbe huu unamhusu Rais Samia juu ya waliovunjiwa vibanda vya biashara

    Salama wandugu, Wikiend hii nikiwa nimeamka mapema nikiwa nacheki TBC kufuatiria ziara ya Rais wa nchi Mara kidogo nasikia hodi wife akatoka kidogo akaingia na mwanamke akiwa analia kisa mama huyo alikuwa akiuza mihogo huko kariakoo eneo ambalo hawakujua Kama wanatakiwa kaondoka Mgambo wa...
  17. JamiiForums Tanzania Hongereni JWTZ na Watanzania kwa kuwa na 'Ndege Vita' nzuri zilizokuwa 'zinazurula' tu Anga la Tanzania leo Mchana

    Ni 'Ndege Vita' nzuri sana tena za Kisasa kabisa Rangi ya Udongo ambazo zitasaidia mno Tanzania kuwa juu Kiuchumi, Maji kutopungua Mto Ruvu na hata Umeme kutokatika hovyo Tanzania. Pia ni 'Ndege Vita' nzuri mno ambazo nina uhakika nchi kama Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia, Malawi na Msumbiji...
  18. JamiiForums Tanzania Uchina itaiomba Tanzania (kama bado haijafanya hivyo) iwapatie kituo cha kijeshi (military base)

    Habari zinazotembea hivi sasa ni kuwa punde hivi Uchina itaiomba Tanzania (kama bado haijafanya hivyo) iwapatie kituo cha kijeshi (military base). Kama ilivyoomba nchi kadhaa ikiwemo UAE, Pakistan, Tajikistan (UAE imekwishawapa). Najua ombi hilo likifika Tanzania kuna wale watakaosema 'lakini...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Nissan Tanzania, Toyota Kenya na VW Rwanda

    Kwanza tunawashukuru Nissan kuja kufungua kiwanda cha magari Tanzania. Sasa ukitaka Toyota nenda kanunue Kenya maana huko nasikia Toyota wamefungua/wanafungua kiwanda. Ukitaka VW nenda Rwanda maana huko tayari kiwanda kipo. Ila Nissan, Tanzania ndio zitakuwa zinaundwa. Nasikia hata hao VW...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Makao Makuu ya EU duniani yatoa dozi 115,200 kwa Tanzania bila Masharti

    Wakati Lissu na genge lake wakiipigia chepuo Tanzania inyimwe misaada mbalimbali ya kibinadamu na kimaendeleo toka EU, Mambo ni tofauti kidogo toka Ubelgiji nchi anayoishi Lissu Kwa kula na kulala bure, Kwani imeamua kuisaidia Tanzania dozi 115,200 za COVID-19 bila masharti huku wakiisifu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…