tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa vijana Tanzania: Spika Ndugai achunge ulimi wake

    Rais wa vijana nchini ndugu Jackson Mbinjembinje amemjia juu spika wa bunge la JMT na kumtaka achunge kauli zake. Aidha amehoji uhalali wa yeye spika kuionea uchungu nchi hii ili hali huko nyuma amefanya blunder nyingi zinazolizamisha taifa hili kiuchumi na kidemokrasia. Ametolea mfano kauli...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania tunaathirika na udhaifu wa fikra (Inferiority Complex) wa viongozi wetu wakuu

    Tukianza na Rais yeye anafikiri kuna watu wanamdharau kwa kuwa yeye ni mwanamke. Mawazo haya amekuwa nayo hata kabla hajaapishwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Na mara baada ya kuapishwa hotuba yake rasmi kama Rais alitamka kwa msisitizo kuwa yeye ni Rais mwanamke! Hali...
  3. JamiiForums Tanzania Benki ya Kilimo Tanzania haina faida yoyote kwa Mkulima

    Wadau wenzangu wakilimo hiki kinachoitwa benki ya kilimo naona Kama hakina tija yoyote kwa mkulima halisi,najua mkulima yupo kijijini Lyazumbi, Katonto,Muze,Mtowisa,Chikumbulu huku au Ngulugulu huko Ileje ndani na vijiji vyote vinavyohusika na kilimo hawana taarifa na namna ya kunufaika na benki...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Salamu kwa Kamishna Mkuu wa Uhamiaji, Passport za Tanzania zinakimbilia mikononi mwa wageni kupitia viongozi waandamizi na askari

    Tanzania imezungukwa na maadui wengi kuliko marafiki, Tanzania imezungukwa na nchi zisizo na amani kama taifa letu. Ulinzi wa Tanzania upo mikononi mwetu Watanzania. Tusiposema hakuna atakayesema Kesho Wala Kesho kutwa. Nchi yetu imevamiwa Sana na wageni wanaotaka kuifanya nchi hii ni Mali Yao...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Chama Tawala nchini Tanzania Chawatakia Wananchi wake heri ya Mwaka mpya 2022

    === Chama Cha Mapinduzi Tanzania ambacho ndio Chama Tawala cha nchi hiyo kimewatakia heri Wananchi wa nchi hiyo katika kuufika mwaka mpya wa 2022, CCM chini ya Mwenyekiti wake Mhe Samia Suluhu Hassan ambae pia ni amiri Jeshi mkuu na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kimewatakia heri raia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Tanzania kama hamna Upendo na nia ya kweli dhidi ya Kuwakomboa Wakulima acheni Kuwapenda Kinafiki kwani inakera!!

    Sasa ni mwaka wa 20 huu nawasikia tu Wanasiasa wa Tanzania kila mara wakisema wanawapigania Wakulima na wanawapenda lakini kila Siku nasikia mpaka Kushuhudia Vilio vya Wakulima kiasi cha mpaka kutia Huruma. Tanzania ingekuwa na Viongozi imara tena wasio na Unafiki mwingi ndani yake nina uhakika...
  7. JamiiForums Tanzania Wachezaji maarufu wa mpira Tanzania, ni nani aliyewaroga?

    Wakuu, Tumekuwa Tukiona Wasanii Wa Tanzania Wakisign Deals na Kampuni mbalimbali ya Kuwa Mabalozi wa kampuni husika na Kujiingizia Kipato kikubwa kwenye Mifuko Yako, Hii inatokea hata kwa Wale wasanii ambao wanavuma na Nyimbo 2 au Tatu wamekuwa Wakilamba Baadhi Ya Deals Katika kampuni. Ipo kwa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuwepo na vibarua (deiwaka) Tanzania wakati hawana haki zozote kisheria kama sio unyanyasaji?

    Habari wakuu Naomba niwasilishe hii hoja kwenu. Kima cha chini cha mshahara wa deiwaka kilichowekwa kisheria ni tsh 4400 kwa siku hapa nchini kwetu Tanzania. Kwa mkoa wa dar es salaam, mtu ukimlipa hela iyo kwa siku ni kumuonea kulingana na kazi ngumu wanazofanya. Lakini mshahara huo sio hoja...
  9. JamiiForums Tanzania Did Kilwa Kisiwani influence any ancient history?

    I have before looked into ancient history of Tanzania and Arabic history of Tanzania, but I am very curious to what I can find out from people who are more adept in the subject. Does anyone know in what way Kilwa Kisiwani or any parts of the Ancient world in the region of Tanzania and Zanzibar...
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaipiga bao Tanzania, yanunua mahindi Tanzania na kuyauza kwa bei ya juu Sudan Kusini

    Kenya imechangamkia fursa iliyotokea hivi karibuni ya uhitaji wa zao la mahindi nchini Sudan Kusini, hii ni baada ya Uganda ambayo ni tegemezi la South Sudan katika mazao kuwa na uzalishaji mdogo wa mahindi. Jambo hili limepelekea bei ya zao la mahindi nchini Sudani Kusini (mwanachama wa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa kiongozi mkubwa, leo hii serikali ya mkoa wa Kilimanjaro na baadhi ya idara wangepata misukosuko isiyosahaulika

    Niliumia sana nilipomsikia yule mkulima wa kiholanzi aliyewekeza mabilioni yake kwenye kilimo cha maua na kuajiri zaidi ya watanzania 1200. Wakati juzi hapa niliona gazetini kuwa serikali ilitangaza nafasi 350 za kazi lkin waliojitokeza kuomba kazi walikuwa 22000. Napata tabu sana kuelewa...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania haina wapinzani bali wajaza matumbo. Tatizo la uhaba wa madarasa limetatuliwa; mnalalama nini kihusu mikopo?

    Miaka ya nyuma kila ikifika January hapa nchini palikuwa na tatizo kubwa sana la uhaba wa madarasa na hii ilisababisha watoto wengi waliochaguliwa kidato cha kwanza kukosa nafasi ya kujumuika na wenzao. Serikali ya CCM kuona hili ni tatizo la kudumu ikaona itumie mkopowa Uviko 19 ili kumaliza...
  13. JamiiForums Tanzania I am seeking advice as an American moving to Tanzania

    I am currently a 17 year old American who has been voluntarily learning Kiswahili for almost a year and a half now. I have been wanting to move to Tanzania for the same amount of time. Another few things to note, I have no family, no friends, no ties at all to Tanzania, I have no talents or...
  14. JamiiForums Tanzania Hayati Gadafi wakati akiongoza alitumia rasilimali ya mafuta kwa kutokuwa na madeni Tanzania inafeli wapi?????

    Salama wandugu tupitie kidogo Utendaji wa huyu mtu weka pembeni kasoro zake. Aliweza kuifanya Libya kuwa nchi inayoongoza GDP kwa afrika,na hakuwa na madeni mpaka waLe jamaa wanauliza mbona hakopi huyu aliifanya Libya yenye jangwa kuwa kilimo kwa kuweka mto wa kutengeneza ,afya bure,mama...
  15. JamiiForums Tanzania Nilitegemea Lissu aje Tanzania kumsaidia Mbowe na kesi ya ugaidi kuliko kutuma salamu za mwaka mpya akiwa Ubelgiji

    Fimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka. Lissu kutuma salamu za mwaka mpya huku akiwa na nafasi ya kuja Tanzania ni kuwasaliti Watanzania. Maana hata tangu Mbowe akamatwe Lissu yupo huko mamton na hata hajajiyokeza kuja kumsaidia mahakamani. Sasa hili la kutuma salamu za mwaka mpya huku akiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu kweli tunaingia 2022 ukiamini Samia Suluhu Hassan haijui Tanzania?

  17. JamiiForums Tanzania Muwekezaji kutoka Tanzania bara apigwa stop kuanzia January

    Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, imeifutia usajili Skuli ya Eden inayomilikiwa na Shirika la Afrika Agape Association kuanzia Januri 3 mwakani. Hatua hiyo imefikiwa baada ya Wizara kubaini mmiliki wa Skuli hiyo kuendesha Skuli kinyume na sheria, miongozo na kanuni za Wizara...
  18. JamiiForums Tanzania Ukomavu wa kisiasa; Wakati Kenya wanaonesha njia, Tanzania kama wafanyavyo mbuni, tumezika vichwa mchangani

    Siku hizi nashindwa hata kuingia JF kwani kwa sasa hili jamvi letu pendwa limekuwa kama kokoro. Hata hivyo hili tukio huko kwa jirani zetu limenizindua kutoka usingizi mzito. Kuna wakati taifa letu lilikuwa la kupigiwa mfano na hata sisi wananchi wake tulitembea vifua mbele bila soni wala aibu...
  19. JamiiForums Tanzania Japo Hakuna Kazi za Kike na za Kiume, Lakini Utangazaji Mpira Redioni, Ni Mwanamke Mmoja Tu Tanzania, Halima Mchuka.

    Wanabodi Kuna huu msemo, "Everything a man can do, a woman can do", kumaanisha hakuna kazi za kike na za kiume, kila kazi inayofanywa na mwanaume, inaweza kufanywa na mwanamke. Moja ya kazi rahisi sana ni kazi ya utangazaji, ila inahitaji kipaji. lakini kwa upande wa utangazaji wa mpira wa...
  20. JamiiForums Tanzania Mabango ya Wakala Tanzania

    Watengenezaji wa Mabango Tanzania kwa gharama nafuu zaidi. karibu tukuhudumie, wasiliana nasi kwa namba 0762399650 kwa maelezo zaidi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…