tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?

    Wanabodi, Hii ni Nipashe ya Jumapili ya leo. Siku zote, nabii huwa hakubaliki nyumbani, lakini sote tunakubali kuwa Mungu siku zote huwa anazungumza na watu wake, kupitia manabii, na nabii anaweza kuwa mtu yoyote hata usiyemtegemea. Japo mimi sii miongoni mwa manabii hawa wa Mungu, lakini...
  2. JamiiForums Tanzania Balozi wa Uturuki: Shule za Feza zinaidanganya Tanzania, naamini Serikali itachukua hatua

    EXPLAINER: Why Turkish ambassador to Tanzania @mgulluoglu made comments against Feza schools Several African states, including Tanzania, have rejected Turkey's request to close schools linked to cleric Fethullah Gülen, who is accused of involvement in Turkey's failed 2016 coup Pia soma...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndiyo inchi pekee bidhaa zake hupanda bei ghafla lakini kushushwa bei huwa ni kipengele

    Wale tuliozaliwa miaka ya 70 tulikuwa tunaambiwa tukiwa wadogo kwamba " Akili ya Profesa (PhD) inauwezo wa kuona jambo na kulichakata kwa miaka 45 ijayo" Nimekua na hiyo Imani hadi miaka ya elfu 2000 ndipo nilipokuja kugundua kwamba kwa Tanzania hiyo kitu haipo! Nilianza kupata wasiwasi huo...
  4. JamiiForums Tanzania Je, kwa kitendo cha Mwijaku kuchukua fomu kugombea Uspika ni ishara ya ukuaji wa Demokrasia?

    Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza Kuelewa ni kwanini Watanzania na Taifa letu la Tanzania tunadharaulika sana kama siyo mno na Mataifa mengine ( hasa hasa ya Jirani ukiiondoa tu Burundi inayojipendekeza Kutwa kwa Tanzania utadhani imeolewa na Tanzania ) yenye Raia makini, Werevu na wenye kujua...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano wa Kenya kuuza nyama Uarabuni na kupanda bei ya nyama Tanzania?

    Tulisikia kwenye vyombo vya habari kuwa Kenya wamepata tenda ya kupeleka nyama Uarabuni na shehena ya kwanza ya tani 500 imeshaondoka. Kwa uelewa wangu Tanzania ndio yenye mifugo kwa wingi kuliko nchi zote East Africa, ila baada ya kupata tenda hiyo ghafla nyama Bongo ikapanda, je kuna uhusiano...
  6. JamiiForums Tanzania Electrical Engineer at Afroil Tanzania

    JOB PURPOSE: Installation of electrical components, machines and gadgets; maintenance of such machines as well as troubleshooting and repairs whenever there is a breakdown. QUALIFICATIONS & EXPERIENCE: Educated to a degree level in Electrical engineering or a related field from a reputable...
  7. JamiiForums Tanzania Monitoring Evaluation & Learning Manager at Tanzania Cheshire Foundation

    Seeking passionate and ethically motivated Tanzanian professionals. Tanzania Cheshire Foundation (TCF) in partnership with Leonard Cheshire (LC) have been awarded a three-year grant to deliver an innovative Inclusive-Education Project in Tanzania. TCF and LC in partnership, are excited to be...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania - Uganda: Ramani ya Afrika Mashariki ingekuwa tofauti na ilivyo sasa iwapo Idi Amin angeshinda vita vya Kagera

    Vita vya Uganda-Tanzania, vinavyojulikana nchini Tanzania kama Vita vya Kagera na nchini Uganda kama vita vya Ukombozi vilihusisha Uganda na Tanzania kati ya Oktoba 1978 hadi Juni 1979. Matokeo yake yalikuwa kutimuliwa kwa Idi Amin madarakani na mwezi huu wa Juni ambapo vita viliisha...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania World Bank: Tanzania bado haijafika uchumi wa kati Middle Income Country (MIC)

    United Republic of Tanzania bado haijafika kiwango cha kuwa nchi yenye uchumi wa kati a.k.a Middle Income Country (MIC). Nchi ya Tanzania bado iko katika kundi la Least Developed Countries almaarufu LDC. Haya ni kulingana na World Bank na United Nations mashirika ambayo huhusika katika...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Unyanyasaji wa Mchina daraja la Busisi Tanzania

    Swala la Wachina kunyanyasa watanzanja siyo jambo geni. Sikulizen Taarifa Mbaya daraja la Busisi, unyama mkubwa Wabongo na Wachina hapatoshi.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Dr Philip Isdor Mpango, attends The Extraordinary Summit of the Heads of State and Government of the Southern African Development Community (SADC)

    COMMUNIQUÉ OF THE EXTRAORDINARY SUMMIT OF HEADS OF STATE AND GOVERNMENT OF THE SOUTHERN AFRICAN DEVELOPMENT COMMUNITY (SADC) 1. The Extraordinary Summit of the Heads of State and Government of the Southern African Development Community (SADC), hereafter called Summit, was held in Lilongwe...
  12. JamiiForums Tanzania Mfumo wa 'Uongozi' Tanzania ungekuwa wa 'Umakini' Kuna 'Wapuuzi' kadhaa waliochukuwa 'Fomu' za Kugombea 'Uspika' kamwe wasingethubutu

    Kuna Mmoja hata Mfumo wake tu wa Elimu ni mbovu ( japo ni Tajiri kwa Ushirikina na Utapeli ) wake halafu naturally tu ni Fool nimeona kachukua Fomu ya Kugombea Uspika. Kuna mwingine Kwanza ana miaka 26 tu halafu 'hajasapua' bado 'Sapu' zake za Chuo Kikuu anachosoma na hata kuandika tu Chapter...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hotuba yako imejitoshela ila naomba nikosoe maeneo mawili Kwa kesho nzuri ya Tanzania

    Naomba kukupongeza Kwa hotuba nzuri inayoeleza kinaga ubaga umefanini na unategemea kufanya Nini huku ukiweka wazi vyanzo vyote vya fedha Kwa Kila mradi, nimependa umekuwa wazi kuonyesha namna tunavyohitaji mahusiano yakimataita kujenga uchumi Pamoja na hotuba nzuri nimejisikia vibaya kusikia...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, sasa ni wakati wa kuunganisha Tanzania Bara na Visiwani kwa kujenga daraja

    Mh.Rais, Kwa kuwa kisiwa cha Zanzibar ni chanzo kikuu cha vivutio vya kitalii, ukizingatia wewe ni mzaliwa wa Zanzibar basi fanya kila unaloweza kabla hujamaliza kipindi chako cha urais wa JMT ujenge daraja kubwa linalopita juu ya bahari kutoka Bagamoyo mpaka Zanzibar ili hata wenye magari...
  15. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Tanzania imarisheni 'Maslahi' kwa Waandishi wenu ili wasiwe wanang'ang'ania ziara za Wakubwa zinazowauwa kwa ajili ya Posho

    Ukweli ni lazima usemwe hata kama ni Mchungu na bahati nzuri pia naisemea Tasnia ambayo naijua, naiishi na nimebobea nayo. Waandishi wa Habari ( hasa mlio Newsroom ) mtakubaliana nami kuwa sasa ni kawaida kwa Waandishi wa Habari Kupenda kutumwa katika Ziara za Wakubwa ( Viongozi na Wanasiasa )...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kuna anayewafahamu Yellow Pages Tanzania

    Mambo zenu hustlers wenzangu! Hawa jamaa wamenipigia simu niende kwenye interview kesho kwa nafasi ya Data collection,wameniambia ofisi zao ziko Masaki jengo la TPSF. Kuna mwenye ABC zao humu,yani nataka kujua about mazingira yao ya kazi,mshahara na hiyo nafasi ya Data collection inakua...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa wapi leo bila Rais Samia?

    Toka ndani ya mioyo yetu tutafakari haya kwa pamoja huku tukimshirikisha Mungu wetu: 1. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu,Je watu wasiojulikana wangekuwa wamepoteza wenzetu wengine wangapi mpaka leo, Wewe unayempinga Rais Samia leo Je umewahi kujiuliza kama ungekuwa hai...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Licha ya kuingia uchumi wa Kati, Tanzania bado tuko chini katika ubora wa Maisha (HUMAN DEVELOPMENT INDEX) tunashika nafasi ya 163

    HDI kwa kifupi inaangalia Afya na umri wa wananchi , pamoja na ubora wa maisha wanayoishi. Pia ndio inayopima kama taifa limeendelea au liko chini. Kwa sasa Tanzania iko katika kundi la chini kabisa nafasi ya 163 , kinachoshangaza hata Comoro na Uganda wametupita. Kwa haraka tu nadhani Watz...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson umepotosha umma: Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi ya Tanganyika, Zanzibar wana mkuu wa nchi yao

    Nimemsikiliza ndugu Tulia Ackson akisema kuwa Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi. Ukweli ni kuwa mamlaka ya rais wa Tanzania yako limited sana huko Zanzibar Hata katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 iliyorekebishwa mwaka 2010 inatamka wazi kuwa Rais wa Zanzibar ni mkuu wa nchi ya Zanzibar. Kwa hiyo...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ni Nani Mwakilishi Bora Wa Muda Wote Wa Muziki Asilia Wa Tanzania...?

    Asante Sana Chacha Maginga TBC..! Kwa kutuletea Kazi mbali mbali za Muziki ambazo Zimewahi kufanywa na Makundi mbalimbali Ya Muziki TZ na Afrika. Leo jan 11 ya 2022 Kipindi chako cha Usiku TBC 'nyumba Ya Dhahabu' umetuletea Kazi za Vikundi anuai Msondo Sikinde Maquiz Ramadhani Lemmy Ongala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…