Kuna anayewafahamu Yellow Pages Tanzania

Kuna anayewafahamu Yellow Pages Tanzania

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,508
Reaction score
4,361
Mambo zenu hustlers wenzangu!

Hawa jamaa wamenipigia simu niende kwenye interview kesho kwa nafasi ya Data collection,wameniambia ofisi zao ziko Masaki jengo la TPSF.

Kuna mwenye ABC zao humu,yani nataka kujua about mazingira yao ya kazi,mshahara na hiyo nafasi ya Data collection inakua inadeal na collection ya Data za aina gani na kwa namna gani kwa sababu mimi binafsi nina experience ya kukusanya Data from rural areas huko kwa kutumia tablets.

Ni hayo tu wakuu.
mapambano yaendelee.
 
Personally siwajui, ila kwa uzoefu wangu mdogo ukishasikia kampuni ina ofisi masaki au osterbay,basi elewa sio haba.na hiyo kazi ya Data collection malipo mara nyingi huwa ni kwa siku,kuna wanaolipa 50k per day na wengine 30k kutegemeana na kampuni.
 
Mkuu,ukisikia kampuni ina ofisi zake masaki,huna hata haja ya kujiuliza mara mbili mbili kuhusu maslahi yao.kampuni yenye njaa haiwezi kuwa na ofisi maeneo hayo.most NGO's na Auditing firms ndio zina maofisi huko.
 
unaomba kazi kampuni ambayo huijui? au unataka kusema wamekukubali sana wakatafuta namba yako wakakupigia uende wakakusaili
 
Mambo zenu hustlers wenzangu!

Hawa jamaa wamenipigia simu niende kwenye interview kesho kwa nafasi ya Data collection,wameniambia ofisi zao ziko Masaki jengo la TPSF.

Kuna mwenye ABC zao humu,yani nataka kujua about mazingira yao ya kazi,mshahara na hiyo nafasi ya Data collection inakua inadeal na collection ya Data za aina gani na kwa namna gani kwa sababu mimi binafsi nina experience ya kukusanya Data from rural areas huko kwa kutumia tablets.

Ni hayo tu wakuu.
mapambano yaendelee.
Payments systems,Cryptocurrencies,etc
 
Mkuu,ukisikia kampuni ina ofisi zake masaki,huna hata haja ya kujiuliza mara mbili mbili kuhusu maslahi yao.kampuni yenye njaa haiwezi kuwa na ofisi maeneo hayo.most NGO's na Auditing firms ndio zina maofisi huko.
Walikuwepo Sabasaba walinifuata na kunieleza brah brah sikuwaelewa nikaishia kuchukua namba ya binti mmoja ili nimtafute anieleze kwa urefu wanahusika na nini, ila aligusia kuhusu matangazo kama sijasahau.

Mwisho wa siku nilivyomtafuta hata maelezo sikupata nikaishia kumtafuna tu na maisha yakaendelea kwa nature ya wale wadada sidhani kama kuna maslahi mazuri kwenye hiyo ofisi ila nenda ujipimie mwenyewe kama panakufaa ama hapakufai.
 
Yellow pages, agent wao mmoja alishawai kuja ofisin kwangu

Unaenda kuwa agent wa kukusanya details za customers ambao watataka wafanyiwe matangazo katika platform yao ya yellow pages

Wanajitahidi kuzunguka; msasani, magomeni, upanga, kkoo, posta

Wanavaa sare, mnaweza kuwa wawil au peke yako katika kuzunguka

Structural yao ya malipo bado sijajua. Ila nenda hapo masaki ndio ofisi zao zilipo.

SIO MATAPELI
 
Kama umewahi kutumia kitabu kama hicho kwenye picha kutafuta namba za simu za makampuni au maduka, basi wao ndio wanaotengeneza hiyo directory. Kwenye miaka ya 90 kilikuwa muhimu sana ila kwa sasa kila kitu kipo mtandaoni. Kwa upande ea msalahi hiyo kazi inaonekana ni operational level utakuwa unazunguka tu kukusanya taarifa za biashara na makampuni. Kama huna ajira na ishu yoyote yakuingiza hela usiiache bora uzunguke upate chochote maisha yasogee huku unajipanga zaidi.
images (1).png
IMG_20220112_233952.jpg
 
Kama umewahi kutumia kitabu kama hicho kwenye picha kutafuta namba za simu za makampuni au maduka, basi wao ndio wanaotengeneza hiyo directory. Kwenye miaka ya 90 kilikuwa muhimu sana ila kwa sasa kila kitu kipo mtandaoni. Kwa upande ea msalahi hiyo kazi inaonekana ni operational level utakuwa unazunguka tu kukusanya taarifa za biashara na makampuni. Kama huna ajira na ishu yoyote yakuingiza hela usiiache bora uzunguke upate chochote maisha yasogee huku unajipanga zaidi.View attachment 2078758View attachment 2078751
Mambo ya yellow pages niliwahi kuyaona kwenye phone books za Ttcl enzi hizo ninakumbuka!
 
Back
Top Bottom