tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Wakazi apata wakati mgumu baada ya kusema kuna rappers wengi Tanzania wakali kumshinda Ngwair

    Msanii wa Hip Hop, Webiro Wakazi Wassira maarufu kwa jina la "Wakazi" amejikuta akiwa katika wakati mgumu baada ya kuandika katika mtandao wa Twitter kuwa Albert Magwear alikuwa ni rapper mzuri lakini haelewi watu waliona nini ndani yake, maana kuna rappers wengi nchini wenye uwezo mkubwa zaidi...
  2. britanicca

    JamiiForums Tanzania Msaada wa data na gharama za Kujenga Healthy centre Bukoba Tanzania

    Wataalamu nimepata kamtaji fulani nataka Kujenga kituo Cha afya BUKOBA VIJIJINI TANZANIA Matazamio yangu Kituo kitakuwa na vifuatavyo First Phase ni Kujenga Msingi/foundation ya kituo ambacho kitakuwa na Size: 28'x60' Square Feet: 1,680 Private Offices: 1 Restrooms: 2 Breakroom 1 Exam...
  3. HISTAMINE

    JamiiForums Tanzania Mamlaka husika chunguzeni hili la Ziwa Nyasa

    Katika kuperuzi peruzi kwenye google map nimeshtushwa kuona mpaka na jina la ziwa Nyasa vikionekana kama nilivyoattach hapo juu. Hii imekaaje wadau? Naomba mamlaka husika itupe ufafanuzi. Nawasilisha.
  4. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan media claims Tanzania has hunger!

    Hunger stalks 20m in East Africa as 2030 nears SATURDAY FEBRUARY 05 2022 A caravan of camels. The dire hunger situation is the result of a toxic cocktail of the climate crisis, Covid-19, a desert locust invasion and increasingly severe and protracted violent conflicts. PHOTO | COURTESY...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa Spika Wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia

    Mungu tunajuwa Wewe ni Mungu mwaminifu sana. Naniukweli usio pingika ktk malango yako ya siri haikuwa Rahisi kwa Dr Tulia kupita nakuwa. Spika wa Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tz. Mlinde na ufunike ktk kipindi hiki waovu wameongezeka ktk uso wa dunia. Unajuwa yakuwa anamitego na majukumu...
  6. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Hali ya uwekezaji kwenye nyumba za kuhamishika katika mji wa Tukuyu, jijini Mbeya Tanzania

    Nyumba za kuhamishika zimekuwa zikitumika kwa ajili ya makazi na biashara. Lakini kwa mazingira ya kwetu Tanzania nitakushirikisha zaidi kuhusu fremu za biashara. Hii ni kwa sababu karibu nyumba zote za kuhamishika hutumika kwa ajili ya biashara tofauti tofauti. Sababu za kumiliki nyumba za...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Makanisa Nchini Mjitafakari

    DELETED
  8. Informer

    JamiiForums Tanzania Tanzania’s Anti-Money Laundering Act to be amended

    - Money laundering to remain unbailable - Introduces counter terrorist financing and counter proliferation financing - Beneficial ownership definition to be expanded - Even 5% shareholding is an indication of direct shareholding - Reporting persons proposed to now include auditors, tax...
  9. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Orodha yangu binafsi ya wachekeshaji bora wa muda wote Tanzania

    Hii ni orodha yangu. Tafadhali iheshimiwe Ubora umepangwa kwa mfuatano wa namba:- 1. King Majuto (Pumzika Kwa Amani) 2. Mpoki 3. Joti. Nimemaliza, prove my list wrong. Orodha tayari Uzi tayari Over & out Bye...
  10. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awatumbua Wakurugenzi wa Halmashauri wanne kwa ubadhirifu wa Fedha zikiwemo za UVIKO-19

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa njiani kutoka Mwanza kwenda mkoani Mara, leo Ijumaa ametangaza kutengua uteuzi wa wakurugenzi wanne wa Halmashauri ya Buchosha, Iringa, Mbeya na Singida Mjini baada ya kubainika kutumia vibaya fedha za UVIKO-19. --- Rais Samia Suluhu Hassan...
  11. Informer

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani nchini Tanzania atembelea Ofisi za JamiiForums

    Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Donald Wright leo Februari 4, 2022 ametembelea Ofisi za JamiiForums na kukutana na watendaji na mwakilishi wa Bodi ya Wakurugenzi Balozi Wright na timu yake wamepata kuelezwa namna Jamii Forums ambayo ni Asasi ya Kiraia inavyoendesha shughuli zake katika...
  12. Leak

    JamiiForums Tanzania Japan yaipatia Tanzania mkopo wa Shilingi bilioni 761.8. Zanzibar yapata mgao wa Tsh bilioni 218

    Serikali ya Japan imeipatia Tanzania mkopo wa shillingi billion 761.8 kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbali mbali ya maendeleo nchini! Katika mkopo huo kisiwa cha Zanziba kimepewa mgao wa Tsh billion 218+ Kazi iendelee... ===== Serikali ya Tanzania na Japan zimesaini mikataba mitatu ya...
  13. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Watu 76 kati ya 100,000 hugundulika kuwa na saratani. 68% wamefariki 2021

    Kwa takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la Tafiti za Saratani (IARC) za 2018, zinaonyesha kuwa tatizo la saratani nchini Tanzania limekuwa likiongezeka siku hadi siku ambapo inakadiriwa kuwa katika kila watu100,000, watu 76 hugundulika kuwa na ugonjwa wa Saratani. Kwa hiyo nchi yetu...
  14. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Wagonjwa wengi wa Saratani Tanzania ni wa Tezi Dume, koo

    Taarifa za mwaka 2021 kutoka kanzi data ya wagonjwa iliopo Taasisi ya Saratani ya Ocean Road inaonesha kuwa Saratani zinazoathiri wanaume zaidi ni: Saratani ya tezi dume“Prostate cancer” (21%), Saratani ya Koo (Esophageal Cancer) (11.8%),Saratani ya utumbo mkubwa na mdogo (9%) na Saratani ya...
  15. kadyuwegeyeson

    JamiiForums Tanzania Je, hii simu niliyoinunua Amazon inaweza kusoma line za huku?

    Jamani habari ndugu? Nimenunua simu Amazon nikakimbilia bei nimekuja kungudua shinda wakati ikiwa imekwisha tumwa kuwa hii simu niyakampuni ya total wireless je, kwa hapa bongo inaweza kusoma laini za huku?
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuadhimisha miaka 100 ya Julius Kambarage Nyerere

    TANZANIA KUADHIMISHA MIAKA 100 YA MWALIMU NYERERE WIZARA ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na wadau imeandaa na kuzindua programu ya Maadhimisho ya miaka 100 ya kuzaliwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ikiwa ni sehemu ya kuenzi na kusherehekea urithi wa maisha yake...
  17. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Chaneli 15 za YouTube zinazoongoza kwa kutazamwa Tanzania. Diamond Platnumz azidi kukimbiza

    Orodha hii ni kwa mujibu wa mtandao wa Social Blade kwa kutazama idadi ya kutazamwa maudhui ya chaneli husika; 1. Diamond Platnumz – 1,665,769,709 2. Millard Ayo – 1,418,005,282 3. Global TV Online – 1,122,433,417 4. Rayvanny – 694,793,379 5. Harmonize – 683,915,867 6. Wasafi Media –...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Tanzania iliwaza vyema, umeme mkubwa uliopita sokoni umeua watu 26 Kongo

    Nchini Tanzania hairuhusiwi kujenga au kufanya shughuli chini ya miundombinu ya umeme inayobeba umeme mkubwa(High voltage). Wachache wanaelewa lengo, wengine wakijaribu kuishi chini ya njia hizo na mara kadhaa tumeshuhudia bomoa bomoa. Pia TANESCO wakijenga njia mpya wako radhi kulipa fidia...
  19. Third Eye

    JamiiForums Tanzania Mbinu za Kuidhoofisha CCM

    Habari za asubuhi wanajamvi. Nimekuwa nikitafakari sana hali ya kisiasa nchini. Ni ukweli ulio wazi kuwa Chama tawala (CCM) ni chama kikubwa, chenye rasilimali watu na fedha pamoja na kufanya kazi kwa ukaribu na vyombo vya ulinzi na usalama, bila kusahau tentacles zake ziko kwenye kila eneo la...
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Karibuni tujadili Ibara za kubaki, kuondolewa au kufanyiwa marekebisho kwenye Katiba ya Tanzania

    Wakuu nawasalimu kwa jina la jamhuri ya JMT. Nataka tujadili katiba iliyopo kwamba vitu gani vibaki, viondolewe kabisa au kufanyiwa marekebisho. Mimi ninawaleteeni ibara tatu ambapo ya kwanza naona ibaki ilivyo, ya pili ifanyiwe marekebisho na ya tatu iondolewe kabisa. Ukizisoma ibara hizo kwa...
Back
Top Bottom