tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna data zozote kuhusu ugongwa wa Zika Tanzania?

    Hivi kuna data zozote kuhusu ugongwa wa Zika Tanzania? Ninakumbuka kuwa sababu kubwa iliopolekea hayati dr Mwele kuachishwa kazi Mhimbili ni kutangaza kuwa Tanzania ina wagongwa wenye virusi vya Zika. Baada ya hapo hatukuwahi kusikia lolote tena kuhusu ugonjwa huo. Sasa kwa vile pande zote mbili...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kubali ama kataa, ukweli ni kwamba kwa hapa Tanzania mtu asiyejua Kiingereza hajaelimika

    Kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kuelimika na kujua kiingereza hapa nchini kwetu. Kwasabb lugha yetu ya kufundishia ni kiingereza. Hivyo ili mtu aweze kuipata elimu kwa kiwango kikubwa lazima aifahamu vema lugha ya kiingereza maana ndiyo iliyobeba taarifa zote zinazotakiwa na mwanafunzi...
  3. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais wa Tanzania anasafiri tu hata kama kuna hatari ya vita muda wowote?

    Haofii hata usalama wake tu kwanza achilia mbali wa nchi? I mean, kwa hali ilivyo kwa sasa muda wowote dunia inaweza kuwa nyingine kabisa, ila Rais yuko Uarabuni, hii ni sawa kweli?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Dubai: Rais Samia ahudhuria Siku Maalum ya Tanzania (Tanzania Day) ya maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Biashara na Uwekezaji ya Dubai Expo 2020

    Leo Jumamosi Februari 26, 2022 huko Dubai kwenye maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Biashara na Uwekezaji ya Dubai Expo 2020 ni Siku Maalum ya Tanzania (Tanzania Day) kuonyesha fursa zake za uwekezaji, biashara, utalii n.k. ambapo Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni rasmi leo Jumamosi...
  5. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Ama kweli, Tanzania itauzwa kwasababu ya mikopo

    Wanabodi, Misaada na mikopo iliwahi kuwa mizuri katika kuleta maendeleo haswa katika kipindi cha baada ya vita vikuu vya pili vya dunia. Nchi kama Uingereza na Ufaransa zilipata maafa makubwa sana vitani na kwasababu hiyo ilibidi wapate misaada kujenga uchumi wao upya. Mpango wa misaada hii...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta imefika 105 USD kwa pipa. Tanzania tutafute mafuta yetu, kuna siku tutalia na kusaga meno

    Bei ya mafuta imefika 105 USD kwa pipa Tanzania tutafute mafuta Yetu. Kufuatia Mzozo unaoendelea kati ya Ukraine na Urusi bei ya mafuta imepanda na kuvuka dola mia moja kwa mara ya kwanza tangu miaka saba iliyopita, ambapo ongezeko hilo limesababishwa na hofu baada ya mzalishaji mkubwa Urusi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Faida ya Tanzania kushiriki katika maonyesho makubwa ya Dunia ya 'Dubai Expo 2020'

    Faida ya Tanzania kushiriki katika maonyesho makubwa ya Dunia ya 'Dubai Expo 2020'. Kesho Jumamosi ndo siku yetu Tanzania na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza tukio.
  8. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatoa tamko la muongozo kwa Watanzania waliopo Nchini Ukraine

    Serikali ya Tanzania imesema kuwa hakuna Mtanzania ambaye amepata madhara yoyote nchini Ukraine kutokana na taifa hilo kushambuliwa na majeshi ya Urusi, ambapo imewataka kuzingatia maelekezo kutoka kwa mamlaka za Ukraine. Aidha, wametakiwa kuwasiliana na Ubalozi wa Tanzania Nchini Sweden ambao...
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe, You are smart, you are potential, liangalie zao la Cocoa Tanzania

    Mimi sio mpenzi sana wa siasa za watu ila napenda kukiri kuwa so far, kati ya watu ninaowaona wana akili na wanaweza kushika vizuri kijiti kutoka kwa Mama Samia coming 2030 ni Ndug. Hussein Bashe. Ana vision zisizotofautiana sana na Mama Samia hasa kwenye uwezeshaji, uwekezaji na biashara ivo si...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndani ya Dubai EXPO 2020 kutangaza fursa za biashara na uwekezaji Tanzania

    Na Bwanku M Bwanku. Kwenye Gazeti la TANZANIA LEO la Leo Ijumaa Februari 25, 2022 kwenye ukurasa wa 3 nimechambua hatua ya Rais Samia kushiriki maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Uwekezaji na biashara ya Dubai Expo 2020 huko Dubai. Kesho Februari 26, 2022 ni Siku ya Tanzania (Tanzania Day)...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje inawasaidiaje Watanzania walioko Ukraine?

    Wakati Mataifa ya watu US, Uingereza, Ujeruman, Israel yakiendelea kuwataka RAIA wake watoke Ukraine. Ni wazi pia kuna Watanzania walioko Nchini Ukraine kimakazi, kikazi, kimasomo n.k Mnawasaidiaje sasa, Hasa kwenye kipindi hiki cha mgogoro mkubwa ambao muda wowote Vita inaweza kutokea? Au...
  12. S

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yazidi kuiteka Tanzania

    Kwa kweli hiki chama kimekaa kama cha kichawi kila kinapokwenda maelfu ya watu wanakiunga mkono na sasa kipo mbali sana ,inakuwa ni ile hadithi ya mpiga filimbi, kwa kweli sasa ACT Wazalendo ni tishio kubwa kwa CCM na vyama vidogo vidogo vilivyobakia, tunajua Chama kilichokuwa namba mbili badala...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania PICHA: Putin aliishi Tanzania 1973 hadi 1977 akiwa kama mkufunzi kwa wapigania uhuru

    Pana swala gumu kidogo, Picha ilikuwa ya 1973 lakini google wameandika Putin alimaliza chuo 1975, huenda ni maisha ya kijasusi labda chuoni ilikuwa ni zuga tu huku anaendelea na majukumu mengine. Anyway, nanyi mnaweza kutoa maoni yenu.
  14. nasrimgambo

    JamiiForums Tanzania Sensa na Idadi ya wanaojua Kiingereza nchini Tanzania

    Sensa inakuja hivi karibuni, Moja kati ya takwimu ninazotaka kusikia ni takwimu za lugha. Je, Watanzania wangapi wanaweza kuongea lugha za asili? Je, Watanzania wangapi waliopo wana zungumza Kiswahili kama lugha ya pili? Yani si lugha waliyoanza kuongea kama lugha yao ya kwanza. Je...
  15. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania imeokoa Trillion 3 za hasara ya foleni Ubungo flyover?

    Nimepiga hesabu za haraka haraka, kwa makadirio, Tanzania imeshaokoa shs. Trillion 3 ambazo zingepotea kutokana na hasara inayoletwa na foleni, tangu kufunguliwa kwa Ubungo flyover. Je, kiwango hiki cha pesa kina uhalisia?
  16. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Driver at VisionFund Tanzania Microfinance Bank Limited

    VisionFund Tanzania Microfinance Bank Ltd (VFT MFB) formerly known as SEDA is a fast growing and reputable Micro Finance Bank (MFB). It has a loan book of TZs. 17 Billion and 30,000 customer base. More that 5,000 of them being small holder farmers. VFT-MFB is seeking to employ a dynamic and...
  17. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Wilhelm Gidabuday is Fed up with Tanzania Olympic Committee Leaders

    Tumsikilize huyu Mwamba, Mwanaharakati wa michezo Tanzania hususani Riadha.
  18. init

    JamiiForums Tanzania Rais Samia karibu Kusini mwa Tanzania

    Imekuwa muda mrefu sana, Watanzania waishio Kusini mwa Tanzania pia wanatamani uwatembelee hata kama utakwenda mikono mitupu. Hakuna makuu kule, 2025 si mbali.
  19. Mwasapile

    JamiiForums Tanzania Ufanisi wa madaktari wa Tanzania umeshuka, tatizo ni nini?

    Hivi madaktari wa siku hizi wana shida gani! mbona kama ni hawajui kitu tena!? Yaani siku hizi ukienda hospitali utapata tiba ya haraka kama unaumwa magonjwa yaliozoeleka kama malaria,typhoid, u.t.i nk lakini kama unaumwa kitu ambacho hakijazoeleka unaweza ukafia hapo wanakuangalia. Yaani...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tanzania yajiandaa kupokea ndege tano ilizozinunua hivi karibuni

    Siku chache baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuwasilisha bungeni taarifa yake ya utekelezaji wa shughuli kwa mwaka 2021/2022 ilieleza kuwa Shirika la Ndege la Tanzania limepata hasara jumuishi ya Sh152.96 bilioni tangu mwaka 2015/16. Leo Jumatano, Februari 23, 2022 Naibu...
Back
Top Bottom