tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Wilhelm Gidabuday is Fed up with Tanzania Olympic Committee Leaders

    Tumsikilize huyu Mwamba, Mwanaharakati wa michezo Tanzania hususani Riadha.
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia karibu Kusini mwa Tanzania

    Imekuwa muda mrefu sana, Watanzania waishio Kusini mwa Tanzania pia wanatamani uwatembelee hata kama utakwenda mikono mitupu. Hakuna makuu kule, 2025 si mbali.
  3. JamiiForums Tanzania Ufanisi wa madaktari wa Tanzania umeshuka, tatizo ni nini?

    Hivi madaktari wa siku hizi wana shida gani! mbona kama ni hawajui kitu tena!? Yaani siku hizi ukienda hospitali utapata tiba ya haraka kama unaumwa magonjwa yaliozoeleka kama malaria,typhoid, u.t.i nk lakini kama unaumwa kitu ambacho hakijazoeleka unaweza ukafia hapo wanakuangalia. Yaani...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania yajiandaa kupokea ndege tano ilizozinunua hivi karibuni

    Siku chache baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuwasilisha bungeni taarifa yake ya utekelezaji wa shughuli kwa mwaka 2021/2022 ilieleza kuwa Shirika la Ndege la Tanzania limepata hasara jumuishi ya Sh152.96 bilioni tangu mwaka 2015/16. Leo Jumatano, Februari 23, 2022 Naibu...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Chuo cha Uongozi Mwalimu Julius Nyerere

    Wakuu Mama Amesema Hakuna Kupoa Wala Kutulia Chini. . Rais Samia Kesho Jumatano atafungua ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Julius Nyerere kilichopo Kibaha mkoani Pwani. . Viongozi mbalimbali wa chama tawala na Serikali wameshiriki Ufunguzi huo, wakiwemo viongozi mbalimbali wa vyama vya ANC (Afrika...
  6. JamiiForums Tanzania Mradi wa LNG: Tukicheza Vizuri wakati huu ni hakika Umasikini tutausahau Tanzania na Samia anaweza kuwa Rais Bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania

    Amani iwe nanyi wadau, Hali ya bara ya Ulaya na Asia sio nzuri kwa sasa, Urusi anaonesha ubabe wa waziwazi kwa kuanza kurudisha maeneo ya uliokuwa Umoja wa nchi za kisovieti. Wiki hii imeanza kwa moto baada ya Rais Putin kutangaza kuyatambua maeneo ya Donesk na Luhansk kuwa nchi huru ikiwa ni...
  7. JamiiForums Tanzania Una mapendekezo gani juu ya biashara ya maharage kwa sasa hapa Tanzania?

    Nina mtaji wa tani zaidi ya 15 za maharage kutoka mkoani Songwe (maharage ya njano) na ninahitaji kupata soko la uhakika hapa jijini Dar es salaam, kama unadetails za biashara hii ninaomba tushare tafadhari, asante.
  8. JamiiForums Tanzania Aina ya Polisi anayehitajika na Watanzania

    Hakika huyu kamanda Mponjoli ndiye aina ya mapolis wanao hitajika hapa nchini. Hana cha kuogopa rangi za chama wala diwani wa chama anacho hitaji ni haki itendeke. Kwa msimamo wa huyu kamanda sijui kama bado yupo au asha staafu. Msikilizeni na mtupatie mrejesho yuko wapi kwa sasa.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yashirikiana na Kampuni ya China kujenga maabara ya kupima virusi vya Corona

    Februari 18, balozi wa Tanzania nchini China Bw. Mbelwa Kairuki alienda kwenye maabara mpya iliyojengwa na serikali ya Tanzania ili kupima virusi vya Corona huko Dar es Salaam. Hivi sasa maabara hii inafanya majaribio ya PCR na kingamwili. Serikali ya Tanzania imeiajiri Kampuni ya BGI ya China...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Samia ameanza kufaulu kuirejesha Tanzania kwenye ramani ya dunia

    Mlikua mumetumbukizwa pabaya...kisa uongozi uliojaa maamuzi ya kijuha na chuki. ======= Samia is a master political player Tanzanian Opposition deputy leader Tundu Lissu and President Samia Suluhu in Belgium on February 16, 2022. PHOTO | COURTESY Tanzania’s President Samia Suluhu is...
  11. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaipa Tanzania mkopo wa Tsh Trilioni 1.5

    Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam TANZANIA na Benki ya Dunia zimetiliana saini mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu wenye thamani ya dola za Marekani milioni 650 sawa na shilingi trilioni 1.5 za kitanzania kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa mradi wa kuboresha elimu ya msingi (BOOST)...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Can Tanzania develop without educational reform and proper land management?

    In Africa we have educated people since colonial era till to date, Tanzania Got its independent since 1961, to date its 70 years plus. despite having educated people both studied in Africa and abroad, we are still struggling economically and politically. we has mentality that we can develop...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mawasiliano ya Makerere University au Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda?

    Habari zenu wakuu. Hizi taasisi mbili nimeshatumia njia za email kuwafikia naona hawajibu. Sijui ubusy au email zimekuwa nyingi sasa naomba aliye na mawasiliano ya pale au ubalozi anisaidie
  14. I

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Tanzania wawezeshwe vipi kununua matrekta kwa ajili ya kilimo cha kisasa?

    Wakuu, siku hizi naona kuna makampuni mengi Tanzania yanajitangaza kuuza matrekta. Je sisi wakulima wadogo tutanunuaje hayo matrekta ili kufanya kilimo cha kisasa wakati mtaji wetu ni mdogo. NB: Trekta ndogo ni takribani Milioni 20 za kitanzania kwa nilivyoulizia.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kunionesha Tanzania chama cha siasa kinachoweza kupigania uhuru wa kiuchumi na kufanya mapinduzi ya kiuchumi?

    Naandika kwa uchungu sana, vyama vyote kwa wakati huu havina maono wala ajenda ya kuisimamia, wanachama wake na viongozi wake, wamejaa unafiki na uwongo wa hali ya juu, nadhani ifike mahari tuwe na mgombea au wagombea binafsi katika nyanja mbali mbali za kisiasa, kijamii, na kiuchumi. Msaada...
  16. L

    JamiiForums Tanzania China itaendelea kuwa fursa muhimu ya diplomasia ya uchumi kwa Tanzania

    Fadhili Mpunji Hivi karibuni balozi wa Tanzania nchini China Balozi Mbelwa Kairuki alipohojiwa kwenye kipindi cha Dakika 45 cha kituo cha televisheni cha ITV, alifafanua vizuri kuhusu fursa inazotoa China kwa Tanzania, iwe ni katika sekta ya viwanda, kilimo, biashara na hata uwekezaji. Baadhi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Joram Johan Paulo msanii wetu wa Tanzania anayekaribia kuuteka ulimwenguni wa muziki

    JJ Paulo - Type ( Directed by Sara Jordan) Source : JJ Paulo Joram Johan Paulo is known under the artist name JJ Paulo and is from Tanzania. Most popular songs; Most recently played songs : JJ Paulo - Type and JJ Paulo - Sawa Wale ( Official Music Filmed in Bujora, Tanzania) Joram Johan...
  18. JamiiForums Tanzania Ipo haja kwa Serikali kuja na mkakati mahsusi wa kuwawezesha matajiri wa Tanzania

    Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikisafiri njia ya Arusha-Dar na huku nimeshuhudia mabasi maarufu kutoka Mkoa wa Tanga kwenda maeneo mbalimbali nchini hususani Dar. Basi maarufu la "SIMBA MTOTO" limeweza kusurvive regimens kadhaa za uongozi wa kisiasa ikimaanisha hawa ni moja ya legends katika...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania nafasi ya pili kwa usalama wa mtandaoni, nafasi ya 6 kwa gharama nafuu Afrika

    Tanzania imeshika nafasi ya Pili kati ya nchi 43 za Barani Afrika zilizoshiriki kwenye dodoso kuhusu Usalama Mtandaoni, lililoandaliwa na Global Cybersecurity Index (GCI). Pia, kati ya Nchi 155 Ulimwenguni, Tanzania inashika nafasi ya 21 kwa unafuu wa gharama za kununua GB 1. Aidha, Tanzania...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Bajeti inayosomwa bungeni ni bajeti ya Tanzania au ya Tanganyika?

    1. Kwanini hii bajeti inajumuisha wizara zote za muungano na zisizo za muungano? 2. Bajeti inayoishia 2021/2022, trilioni 39 Zanzibar imechangia kiasi gani kwenye makusanyo? 3. Hii misaada na mikopo kuna formula ya mgao kati ya Tanzania bara na Zanzibar Ila sijaona formula ya kulipa mikopo hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…