Ukweli mtupu wa Rihanna kutokuja Tanzania

Rashda Zunde

Senior Member
May 28, 2022
199
231
Naona comments everywhere watu wanalalamika kwanini Rihanna hajaiona Tanzania kuleta vipodozi vyake vya Fenty, wengine wanasema kwanini ameiacha Tanzania wakati Babaake alikutana Rais Samia kwenye Royal Tour.

Mnataka awaletee Tanzania kuna soko? Jiulize we unayelalamika ushawahi kuagiza hata product yake moja ya Fenty hata ya $100 tu? Yeye anajua Africa kuna nchi 54 ila amechagua kuanza na 8 za kuzisogezea huduma kwakuwa ameona kuna soko! Waafrika wengi wananunua kutokea huko. Sisi mafuta ya kawaida tu tunalalamika mpaka tunataka kulia, hayo Mafuta ya Rihanna ya kupaka mwilini yanayouzwa kikopo laki 2, laki 3, laki 5 akiyaleta atampata nani kwa Tanzania hii nayoijua mimi? Mnataka alete yadode baada ya miezi 3 atangaze kufunga biashara Tanzania?

4. Kama kweli tunataka product za Fenty zije tuanze kununua kwa wingi kutoka Marekani ili aone Tanzania kuna wateja wengi asogeze huduma. Otherways tuendelee tu na mafuta ya nazi na baby care zetu.

Mambo ya Royal Tour subirini akishajifungua atatembelea Serengeti & Zanzibar, kuja kwake kutaitangaza Tanzania, ila sio alete biashara yake ije idode haiwezekani! Mjielewe Watanzania sio kukurupa kurusha lawama.
 
"I personal decided to came to the countries which has shown much interest where graphs reads higher but I Love you all my fellows african especially women"
°Tatizo linaweza pia kuwa hakukuwa na specific agent wa bidhaa zake wafanyabiashara kazi kwenu
 
Attachments

  • IMG_20220528_143056_022.jpg
    IMG_20220528_143056_022.jpg
    49 KB · Views: 8
Naona comments everywhere watu wanalalamika kwanini Rihanna hajaiona Tanzania kuleta vipodozi vyake vya Fenty, wengine wanasema kwanini ameiacha Tanzania wakati Babaake alikutana Rais Samia kwenye Royal Tour.

Mnataka awaletee Tanzania kuna soko? Jiulize we unayelalamika ushawahi kuagiza hata product yake moja ya Fenty hata ya $100 tu? Yeye anajua Africa kuna nchi 54 ila amechagua kuanza na 8 za kuzisogezea huduma kwakuwa ameona kuna soko! Waafrika wengi wananunua kutokea huko. Sisi mafuta ya kawaida tu tunalalamika mpaka tunataka kulia, hayo Mafuta ya Rihanna ya kupaka mwilini yanayouzwa kikopo laki 2, laki 3, laki 5 akiyaleta atampata nani kwa Tanzania hii nayoijua mimi? Mnataka alete yadode baada ya miezi 3 atangaze kufunga biashara Tanzania?

4. Kama kweli tunataka product za Fenty zije tuanze kununua kwa wingi kutoka Marekani ili aone Tanzania kuna wateja wengi asogeze huduma. Otherways tuendelee tu na mafuta ya nazi na baby care zetu.

Mambo ya Royal Tour subirini akishajifungua atatembelea Serengeti & Zanzibar, kuja kwake kutaitangaza Tanzania, ila sio alete biashara yake ije idode haiwezekani! Mjielewe Watanzania sio kukurupa kurusha lawama.
Amejifungua wiki iliyopita kama sikosei. Labda sasa ndiyo anajipanga kuja kutembelea Tz na mtoto wake mchanga.
Ah sahihi
Wabongo sie walalamishi
 
Mbona iphone tunanunua wingi lakini hatutambuliki kwao na hana wakala nchini.
 
Back
Top Bottom