tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa kuna uhaba wa wadada wanaojielewa kwa ajili ya kuwa wake za watu

    Wadau salama, kuna jambo moja naona linazidi kuwa gumzo mitaani, awali nilijua labda ni mtaani kwetu tu lakini naona asilimia kubwa ya wanaume wanalalamika kuhusu hili suala. Nina rafiki yangu mmoja leo ametoka kunitumia sms analalamika kuhusu wadada, nakumbuka sentensi yake moja kaniambia...
  2. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya waipatia Tanzania msaada wa shilingi bil.469.4

    Kazi iendelee. Umoja wa Ulaya umeridhishwa na mwenendo wa mahusiano Kati ya Serikali ya Tanzania chini ya Rais SSH na Umoja huo na hivyo Ili kuunga mkono juhudi hizo wamesaini mkataba wa msaada wa sh.bil.469.4 .. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Wizara ya fedha,fedha hizi zitatolewa ndani ya...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania mtu anaweza kuwekwa kizuizini nyumbani kwake?

    Wakuu salama? Naimbeni mnijuze, kwa nchi ya Tanzania, mtu anaweza kuwekwa kizuizini nyumbani kwake? Kama ndio ni sheria ipi hiyo inaruhusu katika katiba yetu?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mifugo na Uvuvi, unakubali vipi nchi kuingiza pesa kidogo hivi na kisha kujisifia?

    Katika taarifa ya jana ya saa mbili kupitia runinga nilimshuhudia Mhe. Waziri wa Mifugo na Uvuvi akihabarisha umma kuwa tumepata meli itakayopeperusha bendera ya Tanzania na akatamba kuwa kwa mwaka tutakuwa tukipata $400,000 na samaki tani 500 na mengineyo mengi. Binafsi ninamshangaa sana...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini kimepelekea sarafu ya Tanzania kulingana thamani na sarafu ya Kenya hivi karibuni?

    👇👇👇👇
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania yafatilia uwapo wa aina mpya ya kirusi cha UVIKO-19

    Waziri wa Afya nchini Tanzania , Ummy Mwalimu, amesema serikali ya nchi hiyo inafuatilia uwapo wa aina mpya ya kirusi cha UVIKO-19 kilichothibitishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO). Alisema kirusi hicho, kinajumuisha kirusi cha Delta na Omicron, ambacho kimejiunda na kuwa kirusi kipya cha...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Majirani zetu wanazo The so called 'Tume Huru', hawana migogoro? Auliza nini kinafatwa kwenye tume huru

    Rais Samia akiwa anapokea ripoti ya kikosi kazi alichounda ameongelea Tume huru ya uchaguzi na kuhoji uwepo wa kuendelea migogoro kwenye nchi za jirani zinazotajwa kuwa na tume huru. Rais Samia ametaka kujua 'Definition' ya tume huru na ipi kiu itakayopatikana kwenye tume huru. ====== Samia...
  8. JamiiForums Tanzania Kama Kiswahili ndio lugha ya Taifa, Serikali ihakikishe kinatumika katika nyanja zote muhimu ikiwemo Elimu

    Kiswahili na Kiingereza, ni lugha mbili ambazo zipo kwenye mitaala ya elimu yetu nchini, lakini asilimia zaidi ya 80 ya watanzania hawajui lugha zote mbili Kwa ufasaha. Au hata lugha Moja tu kwa ufasaha na usahihi. Ni kwa sababu ya uwepo wa lugha mbili ambazo, hupokezana na huingiliana kwenye...
  9. L

    JamiiForums Tanzania “Marafiki wanaotegemewa na wenzi wa dhati” miaka hii ya uhusiano kati ya China na Tanzania

    Pili Mwinyi Tarehe 24 Machi mwaka 2013, rais Xi Jinping alikanyaga kwa mara ya kwanza ardhi ya Tanzania tangu awe rais wa Jamhuri ya Watu wa China. Katika kipindi chote hicho cha miaka tisa yameshuhudiwa mabadiliko makubwa ndani ya nchi pamoja na mchango mkubwa alioutoa katika nchi za nje hasa...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli ukikopa benki ukashindwa kurudisha pesa zao hakuna Benki Tanzania itakayokukopesha tena?

    Habari JF? Naomba tufahamishane kuhusu hili suala? Mfano nimekopa Sh laki 5 pale NMB branch Ya Igoma, baadae nikashindwa kurejesha mkopo wao wakaja wakabeba dhamana. Je, Taarifa zangu za kushindwa kurejesha mkopo zitapelekwa kwenye system za benki nyingine za Biashara Tanzania ili nikienda...
  11. JamiiForums Tanzania Tuache siasa, ajira zipo za kutosha Tanzania kwa wanaojua Kiingereza kwa ufasaha

    Members, Msipende kusikiliza maneno ya sisi wanasiasa kuwa lugha ya Kiswahili ni bora na elimu ya shule za kata ni bora sana. Hakuna mwana siasa wa zama hizi ambaye mtoto wake anasoma shule ya kata au anasoma masomo ya msingi kwa lugha ya Kiswahili. Usahili au Interview za sasa anayejua...
  12. JamiiForums Tanzania Timu inayofungwa 3-0 inakuzaje utalii nchini?

    TANAPA kuweni makini na vitendo vinavyokinzana na jitihada zetu za kuvutia utalii nchini. Timu inayoandika kwenye jezi yake "visit Tanzania, then inafungwa bao 3-0 kwenye mechi inayotazamwa dunia nzima kunapunguza utalii wetu. Timu ameandika Visit Tanzania, then unanunua waamuzi wachezeshe...
  13. JamiiForums Tanzania Je, na Marais Wastaafu wa Tanzania Visiwani nao hujaliwa kwa 'First Class Treatment' kama waliobakia Tanzania Bara?

    Na je, na hao wa huko Tanzania Visiwani (Zanzibar Isles ) na Wao Nyumba zao zote (hata zile ambazo) hazikujengwa na Serikali (kwa mujibu wa Sheria) pia huwa zinalindwa sana hata kama Mstaafu yuko zake Kijijini anakula Mananasi au Mihogo na Nyumba zake za Mjini ziko tu na Mbwa wa Kijerumani? Na...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania imekutana na Umoja wa Ulaya (EU) kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi (EPA)

    Serikali ya Tanzania imekutana na Umoja wa Ulaya (EU) kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi (EPA) kati ya Umoja huo na Tanzania. Akiongea wakati wa kikao cha wataalamu kutoka Tanzania na EU kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Uwekezaji...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Utaratibu uendeshaji wa Uchaguzi Tanzania wadaiwa kudorora miaka ya karibuni

    Vyama Vikubwa vya Siasa nchini hasa vya upinzani vimekuwa vikilalamikia mchakato mzima wa uchaguzi kwenye nyanja zote, madai yao makubwa ni kuwa chama Tawala (CCM) kimekuwa kikibebwa na kupewa upendeleo wa wazi na mamlaka. Vyama vingine vimekuwa vikinyimwa uhuru na haki sawa ya kuweza kufanya...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanza: Uingereza yapongeza uhuru wa vyombo vya habari na demokrasia ya kisiasa Tanzania

    Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concar amekutana na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (MPC) na kufanya mazungumzo mafupi juu ya mwenendo wa vyombo vya habari Nchini. "Uingereza imeridhishwa na uimarikaji wa hali ya uhuru wa vyombo vya habari Nchini Tanzania...
  17. JamiiForums Tanzania Enterprise Operation Support Engineers-L1 (5 Positions) at Airtel Tanzania

    Airtel Tanzania PLC wishes to recruit for Enterprise Operation Support Engineers-L1. The role reports to the NOC Assurance Manager. He/She will be responsible to ensure a 24/7 rota the highest achievable service availability through proactively performing correct network fault detection...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Tuzo za muziki Tanzania, ivi bongo tuna matatizo gani jama

    Juzi wizara husika kwa kushirikiana na vyombo vengine vya kisanaa vilitangaza shortlist ya majina wanaogombea tuzo mbalimbali ikiwemo tuzo za wasanii bora wa muziki Tanzania. Kinachoshangaza sana, wasanii wanaoiwakilisha nchi kimataifa i.e. diamond, alikiba, zuchu, rayvanny etc hawajajitokeza...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania bado tuna tatizo la upangaji vipaumbele vyetu, baada ya Elimu, Afya na kilimo, ilipaswa ije nishati!. Ni aibu na hatari kupikia kuni na mkaa!

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu ya Nipashe Jumapili Tanzania tulipopata Uhuru ile Desemba 9, 1961, sisi Tanzania tukiwa na rasilimali lukuki, lakini sasa hapa tulipo, tukijilinganisha na baadhi ya wenzetu nchi tulizopata nazo uhuru, wengi with nothing compared, kiukweli kabisa, sisi tumeachwa...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ipo tayari kuwa Mwenyeji wa Taasisi ya Fedha Ya Afrika Mashariki (EAMI)?

    Ndugu WanaJF, Kuna taarifa njema hapa. Kuelekea uanzishwaji wa Sarafu ya Pamoja na Benki Kuu ya Afrika Mashariki, Waziri wa Fedha amepigia chapuo Taasisi ya Fedha (East African Monetary Institute - EAMI) iliyoanzishwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki iwepo Arusha na Tanzania ipo tayari kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…