tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

    Leo Mabigwa wa Kihistoria Yanga Sports Club naingia dimbani kupepetana na Tanzania Prisons, mchezo unatabiriwa huenda ukawa na ushindani wa pekee ukizingatia zinapokutana timu hizi, Tanzania Prisons hukamia sana. Game hii inaanza saa moja kamili usiku saa za Afrika Mashariki. Yanga wakijua...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania yajiweka mguu sawa Kuandaa Tuzo za MTV Afrika mwaka 2023

    Tanzania yajiweka Mguu Sawa Kuandaa Tuzo za MTV Afrika Mwaka 2023 Na Shamimu Nyaki - WUSM, Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu leo Mei 09, 2022 jijini Dodoma ameongoza kikao cha awali kati ya Wizara na Wawakilishi wa Waandaaji wa Tuzo za MTV...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Bei na masoko ya Garnets na Tourmaline Tanzania

    Habarin wana JF, naombeni wenye uealewa na soko la garnets na tourmaline kwa sasa 2022, dealers wazur na mengineyo anisaidie. Pia mm ndo first time nimeupata huu mzgo chimbo na nimeuchimba mwenyew, n mzgo wa ukwel? From the picture
  4. T

    JamiiForums Tanzania Bei na masoko ya Garnets na Tourmaline Tanzania

    Habarin wana JF, naombeni wenye uealewa na soko la garnets na tourmaline kwa sasa 2022, dealers wazur na mengineyo anisaidie. Pia mm ndo first time nimeupata huu mzgo chimbo na nimeuchimba mwenyew, n mzgo wa ukwel? From the picture
  5. G

    JamiiForums Tanzania Yapi ni Maono ya Taifa la Tanzania huko tuendako?

    Tanzania kama Taifa mojawapo hapa Duniani lazima iwe na Dira na Maono yanayoonyesha jinsi na namna itakavyojiendeleza kitaifa na kimataifa. Kuna vipindi tumeshuhudia tukiletewa mipango ya muda mfupi,kati na mrefu ya Taifa Letu,tatizo ni maono,dira na mipango gani hiyo tuliyoweka? Hayo maono...
  6. Mesja

    JamiiForums Tanzania Kuna bus linalotoka Tanzania hadi Ghana?

    Naomba kujua kuna bus Linalotoka Tanzania hadi Ghana
  7. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mjadala wa dharura kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Mbunge asema tozo mbili zinaongeza 792 kwenye bei

    Leo May 5, mbunge Kilindi, Omary Kigua ametoa hoja ya kuahirisha shughuli zake za kawaida ili kujadili dharula ya ongezeko la bei ya mafuta. Kigua amesema kuna changamoto ya kupanda kwa haraka sana kwa mafuta ya taa, dizeli na petroli ambapo hivyo vikipanda ni kimepandishwa kila kitu na...
  8. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Unafahamu lolote kuhusu mchezo wa kukimbizwa na Ng'ombe? Je, Kwa Tanzania huu mchezo upo??

    Ni wakati muafaka sasa wananchi wa Tanzania wachangamkie fursa ya huu mchezo kama baadhi ya nchi za ulaya na America ya kusini wanavyo Fanya Faida zake:- 1: chanzo cha kipato 2: Burudani N.k Hasara zake:- 1: Kuumizwa (Hasa hasa ukutane na ng'ombe ambae hataki masikhara kabisa) 2: Ongezea...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling

    Wanabodi, Hili ni bandiko la hojaji kuhusu uhusiano kati dini ya mtu na IQ yake, dini ya mtu na longevity?, dini ya mtu na udikiteta, na IQ ya mtu na elimu yake, na mwisho ni IQ ya mtu na kudanganyika kirahisi. Naomba Kuwatumia Marais wa Tanzania as Sampling factors. Haya ni maswali valid...
  10. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 ijayo, majina ya Asili Tanzania yatakuwa yamefutika kabisa

    Miaka 20 ijayo majina ya Asili Tanzania ya makabila kama Ngonyani, Mkude, Kimaro, Haule, Maduhu, Mwita, Wambura, Mabada, Sumari, Kiondo nk yatakua ni ya kuhesabu ana ni ya kutafuta ama yatakua yameisha kabisa. Leo 95% ya watoto wanaozaliwa majini ni James, John, Abdalah, Mohamed, Abdrazak...
  11. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Juma Nkamia: Hayati Magufuli alitaka nifukuza CCM, kwakuwa alipenda sifa nikaja na hoja ya miaka 7 ya Urais

    Aliyekuwa Mbunge wa Chemba mkoa wa Dodoma amenukuliwa na Dar Mpya (blog) akisema kuwa alikataa Muswada wa Habari ambao ulilenga kuweka mazingira magumu kwa waandishi wa Habari. Namnukuu Magufuli alitaka kunifukuza @ccm_tanzania baada ya kukataa muswada wa habari ambao ulilenga kuwakandamiza...
  12. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kupanda bei kiholela kwenye uchumi na namna mfumo wa kiutawala wa Tanzania unavochangia uwepo wa hili tatizo

    Wasalaam Wanazengo, Kwenye uchumi kuna concept huwa tunaiita kwa kiingereza ‘Demand destruction’ ambapo hii huwa hutokea pale ambapo mlaji au consumer anapungukiwa nguvu ya kuweza kufanya manunuzi ya biadhaa au huduma zinazotengenezwa kwenye uchumi kwa sababu aidha, bei za bidhaa hizo ni kubwa...
  13. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ishushe mafuta - sekta ya usafirishaji inategemea mafuta

    UCHAMBUZI WA MAKATO NA MAPENDEKEZO MAPYA KWA KILA LITA MOJA YA MAFUTA YA PETROLEUM NCHINI TANZANIA 2022 Zimejitokeza mikanganyiko mbalimbali kutokana na bei za mafuta kuwa juu sana. Baada ya sintofahamu hii juu ya mafuta, ni vyema Serikali ikaondoa au kupunguza baadhi ya kodi ambazo...
  14. marco polo jr

    JamiiForums Tanzania Watanzania 38 waukana uraia wa Tanzania

    Habari zaidi angalia kiambatanisho
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani Tanzania vinaongozwa na madikteta

    Hawa watu ukiwaangalia bila bias utaona ni madikteta wakubwa sana. Cha kushangaza wafuasi wao hawaoni hilo kuwa ni tatizo. Moja ya sifa kuu ya udikteta ni kung'ang'ania madaraka. Cheki wanavyofanya. 1. Mrema ni mwenyekiti wa TLP toka 1999-leo. Miaka 23 2. Zitto amakuwa kiongozi wa ACT toka...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Ndoto yangu ni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kuwa ndoto yake siku moja ni kuiongoza Tanzania akiwa katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. "Mimi urais nautaka, sababu naamini nina uwezo, nina maarifa, nina uzoefu wa kutosha katika siasa kuweza kuiongoza nchi yetu kupiga...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kwanini pato la Taifa (GDP) la Tanzania linashika nafasi ya 9 Afrika wakati pato la kila Mtanzania linashika nafasi ya 31

    Pato la Taifa (GDP) ni thamani ya soko ya bidhaa na huduma zote za mwisho kutoka kwa taifa katika mwaka fulani. Nchi za Afrika zimepangwa kulingana na data kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa. Takwimu zilizowasilishwa hapa hazizingatii tofauti za gharama ya maisha katika nchi mbalimbali, na...
  18. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado ni nchi maskini sana

    To be honest Watz 90% Bado tunaishi Maisha ya kuunga unga Hiyo 10% ndo kidogo wanaishi Maisha Mazuri yenye Nafuu . Mafuta yamepanda kidogo lakin watu wameamua kupaki Magari ndani huku wengine wakiomba msaada was kuchangiwa Mafuta . Yaani nashangaa watu wanawatukana jobless lakin still na. Wao...
  19. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Filbert Bayi Adaiwa Kufisadi Fedha za Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Yeye Akanusha Asema Anachafuliwa

    KATIBU Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, Filbert Bayi anadaiwa kuhusika na ufisadi wa fedha zinazotolewa na Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) kwa ajili ya maendeleo ya mchezo wa riadha hapa nchini. Taarifa zilizoifikia Tanzania PANORAMA Blog kutoka kwa wadau wa mchezo wa riadha walio...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nilishawahi kuishauri Serikali juu ya energy security ila haikunielewa

    Mwaka 2020 nilishauri serikali juu ya energy security ila haikunielewa. Energy security ni muhimu sana kwa taifa lolote duniani maana huwezi jua ni wakati gani hali ya usalama wa dunia inaweza kuchafuka. Na ikichafuka tusidhani kwamba viongozi ndio tutapona, hapana wote tutaathirika. Kuna...
Back
Top Bottom