tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Picha ya kufikirisha: Nini kinaendelea Tanzania?

    Baada ya kuangalia hii picha ya ujio wa Rais Tshekedi nimejiuliza maswali mawili, 1.Yuko wapi Makamu wa Rais wa JMT? 2.Nini kinaendlea Tanzania nyuma ya pazia.
  2. JamiiForums Tanzania SI KWELI Kikwete aomba Tundu Lissu kuachiwa ndani ya wiki hii maana Tanzania tuna amani.

    Kumekuwepo na machapisho yanayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii yenye nukuu mbalimbali zinazodaiwa kuwa zimetolewa na viongozi wa nchini Tanzania.Moja ya kurasa hizo ni mjadala tv na siasa za kweli ambazo huchapisha maudhui hayo mara kwa mara
  3. JamiiForums Tanzania Kumbe inawezekana kujenga barabara kutoka Zanzibar kuja Tanzania Bara?

    Baada ya kuangalia ramani inayoonesha kina cha bahari, nimegundua ya kwamba kuna eneo la magharibi ya Zanzibar ambalo lina mwambatano wa kina kifupi sana cha bahari na visiwa vidogo vidogo ambavyo inanipa ishara kwamba huko mbeleni miaka ijayo inaweza kufanyika land reclamation ya kujaza vifusi...
  4. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya Tanzania: Je, Tatizo Liko Kwenye Katiba au Kwenye Watu Wanaoiendesha?

    Tanzania imekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu umuhimu wa kuwa na Katiba mpya. Wapo wanaoamini kuwa baadhi ya changamoto za kisiasa, uwajibikaji na mgawanyo wa madaraka zinatokana na mapungufu yaliyopo kwenye Katiba ya sasa. Lakini wengine wana hoja kwamba hata Katiba nzuri zaidi inaweza...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Tanzania yafungua milango ya uwekezaji kwa Saudia Arabia, yasisitiza uchakataji wa bidhaa nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Mheshimiwa Prof. Kitila Mkumbo, amewakaribisha rasmi wawekezaji kutoka nchini Saudi Arabia kuwekeza katika sekta mbalimbali za kimkakati nchini Tanzania. Prof. Mkumbo amebainisha kuwa Tanzania ipo katika nafasi nzuri ya kuisaidia Saudi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya dunià kutoka Tanzania

    General elections in Africa Maajabu ya dunia kutoka Tanzania Data By Liberatus Mwang'ombe Registered voters: Zambia – 8.7 million Kenya – 22.1 million Tanzania – 37.6 million Counting speed: Tanzania “counted” 32 million votes in two days… with no internet and no electricity. Kenya needed...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wasaudia wanataka kuwa na hifadhi ya mafuta hapa Tanzania / wataka kuwekeza kwenye kilimo pia ufugaji Tanzania

    17 August 2026 WASAUDIA WANATAKA KUWA NA HIFADHI YA MAFUTA HAPA TANZANIA / WATAKA KUWEKEZA KWENYE SEKTA ZA MADINI, KILIMO PIA UFUGAJI https://m.youtube.com/watch?v=ZSNh7sy6MD8 Source : Jambo TV HABARI KWA KINA: Kongamano la Biashara kati ya Saudi Arabia na Tanzania August 16, 2026...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yasisitiza Kuimarisha Ushirikiano wa Kimkakati na India

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amesema Tanzania imedhamiria kuimarisha ushirikiano wa kimkakati na India, hususan katika sekta za biashara na uwekezaji, ili kuchochea maendeleo endelevu na kuboresha maisha ya wananchi...
  9. JamiiForums Tanzania Wiki ya Ubunifu Tanzania 2026 (IWTz2026) yazinduliwa Dar, kuangazia DIRA 2050

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Mipango na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dk. Tausi Kida (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa ubunifu wakati wa uzinduzi rasmi wa Wiki ya Ubunifu Tanzania (IWTz 2026) inayotarajiwa kufanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Tshisekedi atua Tanzania kuimarisha uhusiano

    Rais Tshisekedi atafanya ziara ya siku 3 nchini Tanzania kuendelea Kuimarisha Uhusiano wa Kihistoria na Ushirikiano wa Kikanda Ujio wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Félix Tshisekedi, nchini Tanzania kuanzia Agosti 17 hadi 18, 2026, kwa mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan...
  11. JamiiForums Tanzania Je Tanzania inahitaji Chama Dola au Dola Huru?

    Habari za wakati huu; Nachokoza mjadala kidogo ambao naamini kabisa ndio mjadala unaoendelea kwa sasa hapa nchini kwetu. Mara nyingi nimekuwa nikisikia tuhuma kwamba Chama Tawala CCM kimeungana na serikali sana na hivyo kinaitwa chama dola.Katika siasa tunapozungumzia Chama Dola tunazungumzia...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kwa Nguvu Na Ushawishi Alionao Rais Samia Kwa Sasa Ipo Siku Marekani Atakuja Kulalamika kuwa Tanzania Imeingilia Uchaguzi wao na Kupanga Matokeo .

    Ndugu zangu Watanzania, Mti Wenye Matunda ndio Hupigwa Mawe . Tanzania ya Rais Samia Ndio Lulu Ya Afrika, kwa Sasa ndio Taifa ambalo lina uwezo na nguvu ya kuzungumza na likasikika na kusikilizwa . Ndio Taifa lenye ushawishi na uwezo wa kushawishi na kuungwa Mkono na Mataifa mengi. Tanzania...
  13. JamiiForums Tanzania Poleni sana wanywa pombe wa Tanzania Chukueni hatua mamlaka zimelala

    GT Hakuna jambo linalonitia hasira kama energy drinks ..haya ni mauaji ya halaiki na sijui kwa nini haipigwi stop. Pombe nazo ni balaa jingine sasa tangu zamani watu.washasema pombe za TZ nyingi ni fake. Rwanda wamechukua hatua lakini sisi kimya. Walevi poleni sana na mchukue hatua mwafa .
  14. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kuwa na Kituo cha Anga cha Uchunguzi wa Anga za Mbali

    Tanzania Kuwa na Kituo cha Anga cha Uchunguzi wa Anga za Mbali Wakuu kwema, Teknolojia na uchunguzi wa anga za mbali si suala la mataifa ya Magharibi pekee. Wala si lazima tuanze kwa kujenga roketi au roboti za kwenda angani. Tunaweza kuanza na kituo cha kisayansi kama maabara ya uchunguzi wa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ameongeza Ushawishi Wa Tanzania Barani Afrika na Duniani Kote Kwa Ujumla wake. Ingekuwa Ni Nchi Ndiye Angekuwa Rais Wake

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Kwa sasa Tanzania ndio Habari ya Mjini Barani Afrika,Ndio Jina linalotamkika midomoni Mwa Wa Afrika. Ndio Nchi ambayo kila mtu anatamani kuitembelea na kufika na ndio sababu ya kuona ongezeko kubwa sana la idadi ya watalii wanaokuja kutalii na na hata...
  16. JamiiForums Tanzania Mashindano ya miss Tanzania.

    Haya mashindano ya miss Tanzania kwa sasa ni takataka kabisa , binti ana masikio kama popo au kama ya min hapa anashinda ,eti awe anajua kingereza tu , takataka kabisa. Mtu ana komwe lakutisha anashinda eti🤔, mashavu kama puto nae anaibuka na ushindi kabisa🤣 Waandaaji wa hayo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wito kwa TFF: Je, si wakati sasa wa kuleta mfumo wa "Financial Fair Play" (FFP) kwenye Ligi Kuu ya Tanzania?

    Habari zenu wana Jamii forums!! Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) kwa sasa inatajwa kuwa miongoni mwa ligi bora barani Afrika kwa ubora na ushindani. Tumeona uwekezaji mkubwa wa haki za matangazo (TV Rights) kutoka Azam TV na wadhamini wengine, jambo linalofanya ligi yetu kuvutia...
  18. JamiiForums Tanzania Bila CCM madhubuti, Tanzania itayumba

    IMANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI Imani ya Chama Cha Mapinduzi imejengwa katika misingi mikuu mitatu: 1. Binadamu wote ni sawa. 2. Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake. 3. Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru. AHADI ZA...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania Rejects Zambia Election Interference Claims

    The Government of Tanzania is concerned with the false allegations made by the NRPUP Presidential Candidate in Zambia, Mr. Brian Mundubile, claiming that Tanzania sent individuals to Zambia with the intention of interfering with and disrupting the country's general elections held on 13th August...
  20. JamiiForums Tanzania Msigwa: Tuhuma za Tanzania kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Zambia sio za kweli ZIPUUZWE

    Serikali ya Tanzania imekanusha tuhuma za kutuma raia wake kwenda Zambia kuingilia au kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika Agosti 13, 2026. Serikali imesema madai hayo hayana ukweli na imeanza kuyafuatilia kupitia njia za kidiplomasia. Tuhuma hizo zilitolewa na mgombea urais wa chama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…