tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Crusher Mechanic at Fabec Investment Limited

    Position: Crusher Mechanic Heavy Equipment Mechanic Responsibilities: Inspecting trucks, cranes, bulldozers, and other heavy equipment for proper performance. Diagnosing faults using computerized testing equipment. Adjusting equipment and replacing faulty parts. Repairing damaged equipment...
  2. JamiiForums Tanzania Crusher Supervisor at Fabec Investment Limited

    Position: Crusher Supervisor Responsibilities The Crusher Operations Supervisor will be responsible for two to three operating crews once production is under way as set out below: Responsible for shift operations at crushing sites. Supervise the work of personnel engaged in performing...
  3. JamiiForums Tanzania Crusher Operator at Fabec Investment Limited

    Position: Crusher Operator Responsibilities: Setup and Material Management Ensure the crusher is level at all times Maintain site cleanliness, and perform general labor activities, including but not limited to shoveling in and around the belts and crusher Checks stockpile to ensure product...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali: Tunatoa angalizo wanaowekeza kwenye cryptocurrency, mifumo ya Tanzania haiwezi kubainisha fake na genuine

    Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba akizungumza leo Jumatatu Julai 10, 2023 kwenye Uzinduzi wa Ripoti mpya ya FinScope Tanzania 2023, Jijini Dar es Salaam amesema: Huduma za cryptocurrency hazipo kwenye uratibu mzuri na tumekuwa tukitoa tahadhari kwa watu wanaotumia uwekezaji...
  5. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tahadhari jiji la Mwanza

    Miongoni mwa Mikoa ambayo nimewahi kutembelea nchini Tanzania ni Mkoa wa Mwanza 'rock city' ambao umebarikiwa vitu vingi vizuri; Ziwa Victoria lenye samaki pendwa na watamu aina ya Sato na Sangara lakini mbali na Ziwa Victoria, Mkoa wa Mwanza pia umebarikiwa miamba na mawe makubwa (rocks) yenye...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Tanzania iliyokuwa imeshikiliwa Uholanzi yaachiliwa kwa kuilipa Eco Energy US$ 165M (403bn Tsh)

    By MMM Watu wamepiga kelele kutaka kujua ndege imeachiwa kwa masharti yapi. Leo MMM ametutonya kama ilivyo hapo juu Walitaka walipwe US&500M (1.2 Trillion) wamelipwa 403 Bn Tsh. Magufuli kwa ubabe alivunja mkataba na EcoEnergy ulioingiwa na Kikwete. cae no. ICSID No. ARB/17/33 Serikali ya...
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Ukuzaji vipaji vya wanamichezo Tanzania

    MICHEZO ni mazoezi yahusuyo mwili, ambayo huhusisha ushindani ndani yake. Ushindani huo hua na taratibu na kanuni kutokana na jamii au mchezo husika. Kumbuka:michezo ni ajira Michezo ni afya pia huweza kuondoa msongo wa mawazo. Kuna wachezaj mbali mbali walio jiajili na wana...
  8. JamiiForums Tanzania Swali: Je, Tanzania ni nchi ya Wajinga?

    Habari! Je, Tanzania ni nchi ya Wajinga? Je, ni wananchi ndio Wajinga au viongozi ndiyo wajinga? Leo ni miaka 62 tangu tumpoke Mwingereza Tanganyika lakini jiji kubwa la Dar es Salaam bado kuna mitaa hakuna maji safi na salama. Leo hii barabara za kuunganisha wilaya na mikoa yake nyingi ni za...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Malawi Na Tanzania Za Saini Hati Ya Makubaliano

    Malawi Na Tanzania Za Saini Hati Ya Makubaliano Malawi kutumia mkongo wa intaneti unaopita chini ya ardhi kuunganisha Tanzania na Malawi hatimaye dunia unaokatisha chini ya bahari ya Hindi. Mkongo huo wa ardhini Tanzania unamilikiwa na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano(NICTBB) wa Tanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna Klabu Tanzania ilijipanga Kuharibu CAFCL ili iangukie CAFCC ibahatishe kama ilivyobahatisha 2022/2023

    Asanteni sana CAF kwa Uamuzi huu kwani kwa Tanzania kuna Timu moja tu yenye DNA ya Kufanya vyema CAFCL kwa kufika hatua za Juu ila kuna Klabu nyingine ya Tanzania GENTAMIYCINE naionea mno Huruma kwani itacheza Mechi zake Mbili tu za Awali na Timu za maana za CAFCL na siyo zile Nyepesi ( Mchekea...
  11. JamiiForums Tanzania Mbona wanawake wa Marekani wapo very happy 24/7 to compare na hawa wa huku Tanzania?

    Nilikuwa YouTube Muda huu naangalia video za Jack wa USA this guy anaweka content za wanawake wa Marekani most of them wapo happy kwanza wazuri wakipewa salamu wanaitikia kwa bashasha kubwa Sana. Njmegundua huku Tanzania umasikini wa uchumi umewafanya mademu kuwa watu wa hovyo Sana Hawana raha...
  12. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Bandari Dar es Salaam na anayehusika

    NENO LA MUNGU LINASEMA: "Kila mtu na aitii MAMLAKA iliyo KUU; kwa maana HAKUNA MAMLAKA ISIYOTOKA KWA MUNGU; na ile iliyopo umeamriwa na MUNGU. Hivyo amwasiye mwenye MAMLAKA hushindana na AGIZO LA MUNGU; nao washindanao watajipatia hukumu. Kwa maana watawalao hawatishi watu kwa sababu ya matendo...
  13. JamiiForums Tanzania SoC03 Ajira Lukuki za Vijana Kupitia Sekta ya Utalii Nchini Tanzania

    Utangulizi Wakati ninasoma, nilidhani kuwa watalii ni lazima wawe wazungu kutoka Ulaya, na pia nilidhani utalii unafanyika katika mbuga za Wanyama pekee. Nikiwa bado shuleni, nilibahatika kwenda pamoja na wanafunzi wenzangu kutembelea mbuga za Wanyama Manyara na Ngorongoro, tulipokuwa tunakutana...
  14. JamiiForums Tanzania DP World hawakutaka kuwekeza Tanzania, walilazimishwa

    Baada ya kuona watanzania wamekataa mkataba wao uliohusu umiliki na uendeshaji bandari zote nchini Tanzania, DP World wameamua kufichua ukweli kwamba walilazimishwa kuwekeza Tanzania kutoka kwa Rais Samia, hivyo wamesema iliwabidi kuweka mkataba wa hovyo na usiokubalika ili kukataa uwekezaji...
  15. JamiiForums Tanzania Toka tupate uhuru, Dubai ama falme za kiarabu (UAE) imewahi kuisaidia nini Tanzania?

    Nimejaribu kuangalia orodha ya washirika wetu wa maendeleo ama development partners toka tupate uhuru waarabu wa Dubai ama falme za kiarabu hawapo. Nimejaribu kutafiti ni mradi gani wa maendeleo hata choo cha shule ambacho tumewahi kujengewa na waarabu wa Dubai nimekosa. Kwenye ulimwengu huu...
  16. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwamposa ni nani Tanzania hii hadi anaruhusiwa Kubomoa Uzio uliojengwa kwa Ajili ya Matamasha yake Tanganyika Packers Kawe?

    Tena akiwa na Matamasha yake Makubwa ( hasa ya Mkesha ) huwa anawaambia Watu wa NHC Wanaoendelea na Ujenzi wa Nyumba za Samia Housing Scheme kuwa anaomba abomoe Kuta na akimaliza anawaambia atajengea. Haya Mamlaka Mwamposa anayatoa wapi? Na kwanini au kwa Faida ipi? Je, Wengine nao wakiamua...
  17. JamiiForums Tanzania SoC03 Kilimo ni Uhai wa Tanzania, tusikikwepe

    Utangulizi Kama nchi nyingine za Afrika, Tanzania ina rasilimali nyingi sana ambazo kama zingetumika vizuri, nchi ingeendelea na Maisha Bora kwa kila Mtanzania yangewezekana. Wakati Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete anaingia madarakani kama Raisi wa Tanzania mwaka 2005, Maisha Bora kwa Kila Mtanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Meli ya Tanzania inashikiliwa na vikosi vya Iran kwa wizi wa mafuta

    Habari wana jukwaa? Inasemekana meli moja inayopeperusha bendera ya Tanzania imekamatwa na vikosi vya wana maji vya Iran ikiwa na shehena ya mafuta ghafi ipatayo tani 900 ambayo ni ya wizi. --- Iran's Revolutionary Guards seized a tanker holding 900 metric tons of "smuggled fuel" and 12 crew...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashuhudia Utiaji Saini Mkataba wa Makubaliano Kuhusiana na Mashirikiano kwenye (TEHAMA) Kati ya Tanzania na Malawi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera kwenye picha ya kumbukumbu na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye pamoja na Waziri wa Habari na TEHMA wa Malawi Moses Kunkuyu Kalongashwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kama tungekuwa tunakemea mafisadi na viongozi wabovu kama tunavyowashughulikia mafundi wanaovurunda kazi tunazowapa, Tanzania ingekuwa wapi leo?

    Wabari wakuu, Nimekuja kwenu na swali la kusindikiza 77. Ikitokea umempa kazi fundi, inaweza kuwa kukujengea kibaraza nyumbani, kukushonea nguo, kutengeneza kabati, kurekebisha gari lako nk halafu fundi akazingua, tuseme kazi ilikuwa ya wiki mbili, siku ya kukabidhi fundi hajafanya chochote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…