Swali: Je, Tanzania ni nchi ya Wajinga?

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,705
36,154
Habari!
Je, Tanzania ni nchi ya Wajinga?

Je, ni wananchi ndio Wajinga au viongozi ndiyo wajinga?

Leo ni miaka 62 tangu tumpoke Mwingereza Tanganyika lakini jiji kubwa la Dar es Salaam bado kuna mitaa hakuna maji safi na salama.

Leo hii barabara za kuunganisha wilaya na mikoa yake nyingi ni za vumbi.

Miaka 62 ya uhuru wananchi wenye pass za kufasiria hata milioni 2 hawafiki. Inamaana wengi wapo tu kupiga Dona na dagaa daily.

Kaja Nyerere hamna alichoacha zaidi ya mwenge.

Kaja Mwinyi kapambana kaacha mitumba.

Kaja Mkapa kapambana kawaletea tv na simu.

Kaja Kikwete kawaletea Watanzania zawadi ya matajiri wezi.

Kaja Magufuli kawatumbukiza wananchi kwenye ufukara kwa mgongo wa kuwaletea Maendeleo.

Kaja Samia kawaleta wakoloni wawinde wanyama.
 
Nchi ya wavaa jezi za timu za Yanga na Simba, ManU, ....N.K 😂
 
nimecheka sana hapo, Kwamba kuna mtu katuletea matajiri wezi.

Tanzania kila Tajiri konakona hajanyooka, mabiashara mengi mapichapicha tu.
 
Na mwarabu anawinda bandari ili afaulishe magendo ya rasilimali wakiwemo wanyama aliopewa huko walikofurushwa wamasai wakafanyiwe ibada ya kuchinja huko uarabuni, Tanganyika imekuwa kama haina mtetezi vile......wameanza kuchukua mbuga za wanyama kwa kuhamisha wamasai, leo bandari, kesho na keshokutwa hatujui nini kitafuata.​
 
Ipo siku askari police watakuja kukugongea na kukupa taarifa kuwa mke wako ameuzwa kwa Waarabu.
😝😝😝😝😝
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom