tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. mtungu

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa JKT Tanzania pale Mbweni

    Nasikia simba watacheza apo sasa kama huo uwanja unaweza kuchezewa ligi kuu kwa nini na sisi tusicheze pale bunju upi mzuli kati ya uwanja wao na wetu
  2. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Vijiwe vimekua dawa ya stress kwa majobless Tanzania

    Vishukuriwe vijiwe Tanzania wanaume tunainjoi maisha Japo account zinasima zero. Majobless huo tunakutana vijiwen tunapiga story na kupeana michongo ya kazi mbalimbali za kutumia nguvu nyingi n'a malipo kidogo Ila kimtindo life linasonga.
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Nini kimesababisha kifo cha Edward Lowasa? Kenya wadai ni saratani, Tanzania wanasema ni ugonjwa wa mapafu, shinikizo la damu, na utumbo kujikunja!

    Chanzo cha vifo vya viongozi wetu huwa kinaleta mkanganyiko, sasa ni kuhusu nini hasa kimesababisha kifo cha Lowasa.
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aidhinisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote, sasa ni Sheria rasmi

    Najinasibu kwa kuwa consistent on issues! Kwa muda mrefu nimeulizia na kushawishi juu ya uwepo wa sheria ya bima ya afya kwa wote ...ikiwa ni mbinu ya kistratejia kufikia uhuru wa kweli na kujitegemea katika maswala yahusuyo afya. Mchakato huu ni mrefu sana na uligubikwa na vikwazo vingi...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tanzania hawataki utawala wa haki na Sheria. Matendo yao ndiyo yanathibitisha. Binafsi sioni umuhimu wa katiba mpya, hii inatosha

    Habari za asubuhi! Katiba ya Tanzania sio kikwazo cha maendeleo, katiba ya Tanzania sio kikwazo cha haki za binadamu. Yet, mapungufu madogo madogo yapo lakini si makubwa. Nchi zote duniani katiba zao zina mapungufu kulingana na muda. Hivyo nashauri marekebisho kufanyika kidogo kidogo kadri siku...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakongo wengi wanapendwa Tanzania na kuaminiwa zaidi ya majirani wote

    Naomba kuwasilisha juu ya namna wacongo wanavyo kula na kunywa Tanzania bila kuhofiwa wala kutiliwa mashaka yoyote. Yapo yanayosemwa kama wacongo ni ndugu zetu wa damu maana Tangu awali wameishi kwetu na kufanya shughuli zao kwa raha mstarehe. Naomba kuelimishwa kuhusu majirani wengine wakija...
  7. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Clinical Excellence Lead Tanzania at Africa Healthcare Network Tanzania Limited February, 2024

    Position: Clinical Excellence Lead Tanzania Reports to: Country Medical Director Location: Dar es Salaam (Travel between regions will be expected) Job Summary: The Clinical Excellence Lead is responsible for driving quality initiatives within the Clinical Operations team and supporting other...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tazama Barabara za Ivory Coast, linganisha na Barabara za Tanzania

    Tazama hizi ni barabara za Ivory Coast kwa uchache. Ivory Coast ni nchi imekuwa kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe hadi miaka ya hivi karibuni. Angalia miundombinu yao ya barabara. Jiulize Tanzania tunakosea wapi?
  9. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Picha ya vatican: Nini kinaendelea hapa?

    Wajuzi wa usomaji wa picha na matukio, hapa namuona madame president ameketi pamoja na ndugu Papa ila kuna tukio sijalielewa kwa mkao wa madame president kutokana na uwekaji wa mikono hapo kwenye meza. Nahisi kama kuna mtu anaapishwa hapa
  10. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Finance Manager at Media Council of Tanzania February, 2024

    Position: Finance Manager Reports to: Executive Secretary Overall Responsibility: To ensure that accounting and financial management of MCT’s operations are in strict compliance with MCT financial policies, regulations, procedures, donor agreements, IFRSs/ IPSAs and best practices. Provide...
  11. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Padre Nyenyembe on Francis-Samia agenda on Church-State Cooperation: Will the Pope’s Agenda for Peaceful and Credible Elections Come True in Tanzania?

    Pope Francis posing with President Samia for a photo I. Abstract "Since the Church is present across the different stages of the election process, readers might wonder whether it is permissible in its advocacy to recommend a specific candidate to the Christian faithful. The answer is no. The...
  12. OLS

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu kuwa na ukomo wa umri wa mtu kuwa Rais Tanzania

    Nchi kadhaa zimekuwa na mijadala juu ya ukomo wa umri ambao rais anatakiwa kutovuka ili kuendelea kutawala. Hata hivyo, baadhi ya marais wamekuwa wakibadili katiba zao ili kuhakikisha wanabaki madarakani. Hii sio shida lakini ni muhimu ukomo wa umri uwepo ili kutokuwa na marais wazee ambao...
  13. Shagiguku

    JamiiForums Tanzania TBS na TMDA mikate ya maziwa ina ubora na viwango stahiki kuliwa na binadamu?

    Hello wananzengo wa Tanzania popote mlipo duniani. Nautupia huu uzi humu ili tuujadili kwa pamoja. Kumeibuka wimbi la "Mikate ya Maziwa" hapa nchini. Kila sehemu ipo inauzwa. Maswali yangu machache kwa mamlaka za udhibiti ubora (TMDA na TBS) ni haya: 1. Je, tuna taarifa za kutosha juu ya...
  14. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna mgawo, South Africa inatisha, mgao ni wa kutisha!

    The blackouts, commonly referred to as load-shedding, are a critical measure aimed at preventing a complete collapse of the strained electricity grid. Eskom, the state-owned power utility, has announced the implementation of load-shedding from 5 am to 4 pm on Tuesday, exacerbating the...
  15. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania itoe VISA free kwa wahindi, wachina, wakorea, wajapan katika hatua za mwanzo

    Napendekeza serikali ya Tanzania ichukue hatua katika haya mapendekezo yangu. 1. Napendekeza serikali ya JMT itoe visa free kwa raia kutoka India, China, Japan na Korea - katika mchakato wa visa free kwa mataifa mbalimbali tuanze na hayo mataifa manne kwanza kwa miaka 20 ya mwanzo. 2...
  16. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania 9 out of 10 married women don't reach orgasm in Uganda? How the situation is in Tanzania?

    By Kabakura Jean Bosco Ceusi Orgasm is the peak of sexual arousal, which culminates into ejaculation in men. Therefore, men or even their sexual partners may be aware it has happened. Only a few women ejaculate fluid at orgasm with yet a few others getting intense feelings of sexual release...
  17. comte

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Lowassa ni funzo kwa midomo michafu ya wanasiasa wa Tanzania

    Lowassa kaondoka. kaenda zake akitupa mda wa kuangalia alimopita Ameonewa sana na kaonea na kila mtu Tulimfitini ili tupate tulichotaka wakati tulipokitaka lakini yeye alibaki yule yule wa kutafuta alichokusudia kupata mwisho wa siku sidhani kama alipata alichokusudia kupata
  18. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini Tanzania haijawaji kukumbwa na uhaba wa chumvi?

    Nimeshuduia mara kadhaa nchii ikiingia kwenye uhaba mkali sana wa sukari na bei kupanda juu sana. Sasa je, ni kwanini uhaba huu haujitokezi kwenye chumvi? Je utoaji wa vibali vya kuagiza chumvi ni tofauti na utoaji wa vibali vya kuagiza sukari? Je, viwanda vya chumvi nchini vina ufanisi...
  19. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania taarifa za wikipedia tanzania zipo nyuma kuliko za channeli za afrika youtube

    ukitaka kumficha mtanzania siri yako we andika kwenye kitambaa cha kupengea makamasi sio kitabu maana utakuwa umemtesa. kwanza wote poleni kwa msiba mkubwa kuondokewa na waziri wa zamani lowasa.ila nashangaa mpaka sasa wikipedia imebaki na wasifu wake tu ujabadilishwa. ukiingia chaneli za...
  20. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Mama unayefungua nchi muandikie Barua Rais huyu atutembelee anamashabiki wengi Tanzania na jina tumempa

    Tanzania ni taifa rafiki na babu yake mzee Kim il sun na kumbukumbu zake nyingi sana za utawala wa Juche zipo maktaba ya kibaha. Karibu Tanzania Kim jong kiduku un
Back
Top Bottom