Biashara zinazolipa mipakani Tanzania na Zambia

John_Anthony

JF-Expert Member
Mar 27, 2024
292
427
Wakubwa ni habari za wakati huu...

Naombeni ufafanuzi wa biashara au fursa za biashara zilizopo maeneo ya mipakani mwenye utaaramu au amewahi kufanya biashara yoyote maeneo ya mipakani tafadhali tuelimishane kama kuna tahadhari zozote au kuna points muhimu za kuzifahamu naomba tufamishane.

Mimi binafsi napenda sana kufanya biashara ya bidhaa ambayo sikai nayo kwa muda mrefu yani napenda kufaulisha bidhaa maeneo ya mipakani lakini nashindwa namna ya kutengeneza mtandao mzuri kwa kifupi nashindwa sehemu ya kuanzia, nimefanya kazi kama kibarua ndipo nilipo pata A.B.C.. lakini sasa natamani nifanye biashara yangu lakini huko mipakani, aliyenielewa vyema naomba anisaidie tafadhali 🙏
 
Biashara ya magendo ndo inayolipa zaidi kwa upande wa boda tunduma mfano sukari, mafuta , vitenge, vinywaji vya zambia vyote vinauzwa ndani ya mkoa wa songwe pia inategemeana na kipindi mfan kipindi cha kilimo watu walipiga pesa kutoka kwenye mbolea ya ruzuku wanachukua songwe wanapeleka malawi kipindi mafuta yamepanda bei yalikuwa yanatolewa malaw yanaletwa songwe aisee walipiga pesa vibaya mno

Ndo hivyo haranu inalipa zingatua haramu inalipa na ni kinyume na sheria
 
Wakubwa ni habari za wakati huu...

Naombeni ufafanuzi wa biashara au fursa za biashara zilizopo maeneo ya mipakani mwenye utaaramu au amewahi kufanya biashara yoyote maeneo ya mipakani tafadhali tuelimishane kama kuna tahadhari zozote au kuna points muhimu za kuzifahamu naomba tufamishane,,
mimi binafsi napenda sana kufanya biashara ya bidhaa ambayo sikai nayo kwa muda mrefu yani napenda kufaulisha bidhaa maeneo ya mipakani lakini nashindwa namna ya kutengeneza mtandao mzuri kwa kifupi nashindwa sehemu ya kuanzia,, nimefanya kazi kama kibarua ndipo nilipo pata A.B.C.. lakini sasa natamani nifanye biashara yangu lakini huko mipakani,, aliye nielewa vyema naomba anisaidie tafadhali 🙏
Chukua sukari Zambia Uza Tanzania. Fanya biashara ya kubadilisha fedha ba kwacha. Chukua mafuta ya kupikia Zambia uza Tanzania
 
Biashara ya magendo ndo inayolipa zaidi kwa upande wa boda tunduma mfano sukari, mafuta , vitenge, vinywaji vya zambia vyote vinauzwa ndani ya mkoa wa songwe pia inategemeana na kipindi mfan kipindi cha kilimo watu walipiga pesa kutoka kwenye mbolea ya ruzuku wanachukua songwe wanapeleka malawi kipindi mafuta yamepanda bei yalikuwa yanatolewa malaw yanaletwa songwe aisee walipiga pesa vibaya mno

Ndo hivyo haranu inalipa zingatua haramu inalipa na ni kinyume na sheria

Nashukuru kwa mawazo yako mkuu nimetake note,, vp kuhusu mazao
 
Mipakani nimefanya kazi za vibarua kama kuli lkn pia nilikuwa napewa kazi za kusimamia ufaulishaji wa mizigo kwenye hii sector ya mazao,, sasa mm nataka nifanye biashara hiyo hiyo ya mazao
Nenda Isongole ipo ileje pale wanauza mazao mengi kutoka Malawi na hasa mnada wao upo Ijumaa kama ntakua sijasahau unaweza kuchukua Karanga pale na kwenda kuuza mpakani na Kenya wowote watanunua ukiweza unapeleka Nairobi na pia hapo Isongole nyuma kidogo panaitwa Ikumbilo nadhani pana Njia ya kwenda Malawi ukivuka kule wanauza hizo karanga kwa bei ya kutupa hasa hiki kipindi cha msimu sasa hivi kule hakuna sana mahindi maana mvua hawajapata kama Tanzania kwa hiyo unaweza kutoa maharage na Karanga na bei ya karanga Arusha kuelekea Nairobi ipo juu sana sema inatakiwa uzijue karanga zenyewe hasa zile nyekundu kubwa na ziwe safi naamini ukifanya kwa muda fulani utapata uzoefu ila usinunulie Karanga mbozi huko nenda Ileje...
 
Nashukuru sana mkuu ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom