tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Uwekezaji Tanzania: Mkutano wa Rais Suluhu na Dangote

    Kukutana kwa Rais Suluhu na mmoja wa wafanyabiashara wakubwa Afrika, Aliko Dangote kumeonesha kuwa Tanzania inaendelea kuwa eneo lenye mvuto wa uwekezaji. Hii hutuma ujumbe chanya kwa wawekezaji wengine wa ndani na nje kuwa Serikali ipo tayari kushirikiana na sekta binafsi.
  2. JamiiForums Tanzania Bado business partnership ni ngumu sana kufanikiwa hapa Tanzania

    Sisi kuungana kuanzisha biashara pamoja kisha kuikuza na kufanya idumu ni ngumu sana. Partnership nyingi huishia kwenye uadui wa kudumu. Nilishawahi kuungana na jamaa zangu in my early 20s lakini haikudumu ila kwa bahati nzuri tuliachana kwa amani kabisa kupitia mwanasheria wetu. Mimi naona...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania imara itajengwa na Vijana wenye Uzalendo na Mapenzi kwa nchi yao

    Umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini TAHLISO wameamuakupaza sauti na kusema #NeverAgain kwa machafuko na uharibifu. Kwa pamoja Tuipende, Tuitunze na Tuilinde nchi yetu.
  4. JamiiForums Tanzania Othman Masoud, amesema Tanzania ipo katika mkwamo wa kiuongozi na tusipoangalia tunaweza kuingia kwenye mkwamo mkubwa zaidi

    Salama. Huu mkwamo wa kiuongozi ni kweli upo? Umesababishwa na nini? Je hatua gani zimechukuliwa ili kuweza kutatua changamoto ya huu mkwamo uliopo ? Pengine ni mawazo ya mtu mmoja ,je ndugu mtanzania ni kweli Tanzania ina mkwamo wa kiuongozi na kama upo ni kwa namna gani?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Tanzania siyo nchi ya kuamuliwa na Wanaharakati

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, wakati wa mahojiano na Bongo FM Mei 15, 2026, amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayojiongoza kwa mujibu wa katiba, sheria na kanuni zake, na haitakubali kuendeshwa au...
  6. JamiiForums Tanzania Unaitazama na kuitathimini vipi Tanzania ya baada ya miaka 50 kutoka leo?

    Karibuni🇹🇿
  7. JamiiForums Tanzania Je wajua Tanzania ndo nchi ya pekee Africa yenye visima /hifadhi ya gesi kubwa lakini karibu hifadhi au visima vyake vyote haina umiliki navyo?

    Tanzania imemilikisha au kuuza hifadhi za gesi kwa mashirika au kampuni za nje na haina umiliki wa asilimia zozote badala yake wamegewa haki ya kushiriki kupitia TPDC ila hawana umiliki, na baadhi ya visima/hifadhi wameficha taarifa za umiliki, ni huzuni sana. Visima au hifadhi...
  8. JamiiForums Tanzania Akufukuzae Akwambii Toka, Kundi la Tanzania Kombe la dunia wanawake 2026 Poland

    Tanzania imepangwa Kundi B kwenye fainali za Kombe la Dunia kwa Wanawake U20 Poland 2026 #fifawomensworldcup @fifawomensworldcup @tanfootball
  9. JamiiForums Tanzania Nchi yangu Tanzania haina tena THINK TANKS wa muelekeo wa kiuchumi, ni bora liende!

    Rais wa Awamu ya kwanza , Mwalimu Nyerere aliwaweka watu waliobpbea kiuchumi kuwa washauri wake. Mwalimu aliweza kubishana na IMF kwa kipindi kirefu kutokana na misimamo inayotokana na ushauri wa kitaalam toka kwa washauri wake wa kiuchumi. Mwalimu alishauriwa na magwiji kama Dr Mwaluko, Prof...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tujiulize Kwanini Tanzania haialikwi kwenye mikutano ya uwekezaji

    Mkutano unafanyika Kenya tumejaza majinga nchi nyingine za Africa zinapiga deal https://youtu.be/lf6WeLrKFLs?si=V5VWdGRa4KjbECbY
  11. JamiiForums Tanzania DAR: Tanzania Na Marekani Kuimarisha ushirikiano katika sekta ya Afya

    Serikali ya Marekani na Tanzania kuimarisha ushirikiano katika sekta ya Afya Tanzania na Marekani mambo safi Dar es Salaam, 14 May 2026 The Minister of Health, Hon. Mohamed Mchengerwa, today met with Chargé d’Affaires of the United States Embassy in Tanzania, Andrew Lentz, to discuss a new...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hebu sikia kilio cha wakulima wa Tanzania kuhusiana na Mbolea. Mfuko mmoja wa mbolea za DAP, UREA na CAN unauzwa 120,000-130,000

    Nimepita mikoani hususani vijijini ila nilichokutana nacho ni vilio vya wakulima kila kona. Hali ya upatikanaji wa mbolea imekuwa ni ya shida mnoooo!!! Kila maduka ya mbolea utakayopita unaambiwa hakuna mbolea huku wale walionazo stoo wakiuza kwa bei ya kuumiza wakulima kwa wastani wa shilingi...
  13. JamiiForums Tanzania Kwasasa, mamluki na wafuata mkumbo ni janga na changamoto mpya ya kitaifa Tanzania

    Sote ni mashuhuda kwamba, katika majukwaa mbalimbali humu JF, kumezuka na kuibuka wimbi kubwa sana la baadhi ya wadau wa JF kujidhirisha pasina shaka yoyote kwamba wao ni kundi la mamluki wa vibaraka fulani wa mabwenyenye ya magharibi,yaliyokita kambi humu nchini, lakini pia ni wazi kwamba wao...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Viongozi wetu wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) hawatetei maslahi yetu sababu wanaogopa kutumbuliwa

    Siku ya Wauguzi Duniani ilikuwa Mei 12 ila wahusika ambao wako kwenye nafasi kubwa za Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) waliogopa kuwasilisha kwa watawala hoja za wanachama wao kwa sababu wanaogopa kuenguliwa nafasi zao. Wanafanya hivyo kwa kuwa wao maslahi yao ni makubwa wanajua wakitumbuliwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu wabunge wa Kanda ya Ziwa: Airport ya Mwanza iboreshwe lakini hoja zenu za kikanda zisiwe sababu ya kupinga ujenzi wa uwanja wa Serengeti

    Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport? https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao. Tumechelewa sana kuweka...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Oktoba 29: Siku ambayo Tanzania iliona kivuli cha Rwanda — lakini bado hatutaki kujifunza”

    Ndugu zangu Watanzania, kama kuna jambo la kumshukuru Mungu kuhusu matukio ya Oktoba 29, basi ni hili: taifa letu lilitikisika—lakini halikuanguka. Na ndani ya mtikisiko huo, tuliona kitu cha kutisha sana. Tuliona nyufa zilizokuwa zimejificha ndani ya taifa letu. Tuliona hasira zilizokuwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania 'Viongozi wastaafu fikirini kama Plato'

    Na. Mwandishi Maalum Siasa chafu, za chuki na fitina zimetakiwa kusitishwa Afrika ili bara hilo liweze kupiga hatua za kimaendeleo. Siasa hizo zinazoripotiwa miongoni mwa wanasiasa vijana na wakongwe kwenye majukwaa na vyombo vya habari, wanaharakati mitandaoni na baadhi ya viongozi wa dini...
  18. K

    JamiiForums Tanzania IMF-Uchumi wa Tanzania utakua kwa 5% na mfumuko wa bei uko thabiti

    Kwa maoni ya wataalamu wa IMF waliokuja hapa Tanzania, tuko vizuri sana
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania bado tunalala Kwenye Diplomasia na Kujitangaza

    Juzi tumemuona Emmanuel Macron akiwa Kenya kwenye summit ya kimataifa. Ukiangalia namna Wakenya walivyotumia hiyo nafasi utaona kabisa wanaelewa mchezo wa diplomasia, branding ya nchi, tourism, culture, na biashara za kimataifa.Kila event kubwa kwao huwa sio tu mkutano wa viongozi ni nafasi ya...
  20. U

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Tanzania ili kufikia Uchumi wa USD Trillion Moja lazima tufikie uwekeezaji wa USD Trillion 3.7 hili haliwezekani kwa Kodi na Mikopo

    === Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Ubia nchini (PPPC), Bwana David Kafulila, amesema kuwa wakati wa kupitisha sheria za ubia, Tanzania iliruhusu kutatua migogoro kwa mamlaka za ndani. Hata hivyo, pale ambapo suluhu haikupatikana, ama kwa upande wa mwekezaji au taasisi ya umma, kulihitajika haki ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…