tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. P

    JamiiForums Tanzania Serikali kuleta ndege mpya nchini Machi 26, 2024

    Ndege mpya ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Boeing 737-9 Max, inatarajiwa kuwasili nchini Machi 26 mwaka huu kutokea nchini Marekani, hii itakuwa ndege ya 14 kutoka ATCL.
  2. Edward Mwesongo

    JamiiForums Tanzania Tunauza miche ya aina mbalimbali Tanzania nzima

    Agri acress farm kutokea Morogoro mjini Tanzania wanakuletea huduma bora ya miche mbali mbali ikiwemo miche ya matunda, mbao, maua na migomba. Wasiliana na mmoja wa wanna bustani kutoka Agri acress farm Morogoro na tuna kusafilishia moche yako Tanzania nzima popote ulipo. Piga simu au tuma...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mazingira hatarishi zaidi kwa Rushwa Nchini Tanzania

    Rushwa inaweza kustawi katika Mazingira mengi ikiwemo Pale ambapo hakuna Mfumo wa Uwajibikaji unaofanya kazi kwa ufanisi, Watu wanaweza kujisikia huru kufanya vitendo vya Rushwa bila hofu ya kufuatiliwa au kuchukuliwa hatua Aidha, panapokuwa na Udhaifu wa Taasisi za Sheria Rushwa inaweza...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Gharama za kufanya Full Body Check-up katika Public and Private Hospitals Tanzania

    Itabidi ujikaze kupima tu, hakuna namna mzee! 😄, kila la kheri!
  5. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Tanzania Afrika walimbwende wapo South Africa na Nigeria, kwamba Tanzania wamejaa sura za baba tu how come?

    Afrika ni Nchi tatu tu zilizo Pata mataji ya walimbwende duniani south Africa, Nigeria na Egypt. 👸🏻 Miss World titles: 🇮🇳 India: 6 🇻🇪 Venezuela: 6 🇯🇲 Jamaica: 4 🇬🇧 UK: 4 🇿🇦 South Africa: 3 🇺🇸 USA: 3 🇮🇸 Iceland: 3 🇸🇪 Sweden: 3 🇨🇿 Czechia: 2 🇵🇱 Poland: 2 🇵🇷 Puerto Rico: 2 🇨🇳 China: 2 🇷🇺 Russia...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Juma kuu gumu sana la majonzi na vicheko kwa Klabu za soka za Tanzania

    moja, ni timu bora kabisa barani Africa, Simba S.C. hawa jamaa, wana ijumaa moja ngumu sana kiroho na kimwili. Ijumaa ya kushika moyo, huku jua nalo likififizwa na wingu zito la roho ya itakuaje uwanjani, dhidi ya mafarao wagumu na wabishi sana wa misri, ambao hawapendi kabisa nyavu zao...
  7. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya tathmini ya Moody's yaipandisha daraja Tanzania kutoka B2 kwenda B1

    Kampuni ya kutoa tathmini ya nchi juu ya uwezo wake wa kukopa na kulipa madeni, credit rating agency iitwayo Moody's imeipandisha daraja nchi ya Tanzania kutoka B2 kwenda B1. Pamoja na hilo nchi yetu bado iko kwenye kundi la nchi ambazo hazitabiriki. Yaani kuikopesha na kulipwa ni bahati...
  8. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Uelewa wa masuala ya kisheria ni mdogo sana Tanzania

    Binafsi nadhani kuna haja ya jambo kufanyika ili kuongeza uelewa wa masuala ya kisheria baina ya watanzania. Najua sheria ni noble professional lakini hii haimaanishi ni wale waliosoma sheria tu ndiyo wanapaswa kuijua sheria, NO kila raia anatakiwa awe japo na uelewa wa msingi kuhusu masuala ya...
  9. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Dumuzi aendelea kukitafuna Chama cha Walimu Tanzania

    Chama cha walimu Tanzania ndio chama kikubwa kuliko vyote vya Wafanyakazi hapa nchini japo leo hii kina sura tofauti mbele ya jamii. Yanayojitokeza hivi sasa ni muendelezo tu wa vurugu zilizoanza baada ya kifo cha aliyekuwa katibu mkuu Alhaj Yahya Msulwa 2017. Hiki ndicho kipindi ambacho...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ninaumia moyo kila ninaposikia serikali ya Tanzania imeagiza ndege mpya ya biashara

    Wiki ijayo tunapokea ndege nyingine ya fedha nyingi sana ambayo itaungana na ndege zingine za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL). Ununuzi wa ndege za mabilioni si tatizo, tatizo ni pale tumeruka hatua muhimu. Tulipaswa kutatua masuala ya maji, umeme, elimu, na afya kwanza kabla ya kufikiria...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Nane ya pamoja ya Biashara (JTC) Kenya na Tanzania zakutana kutatua changamoto za Kibiashara

    JUMUIYA YA MKUTANO WA KAMATI YA NANE YA PAMOJA YA BIASHARA (JTC) KATI YA JAMHURI YA KENYA NA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUSHUGHULIKIA MASUALA YANAYOATHIRI BIASHARA TAREHE 18 - 22 MACHI 2024, KISUMU, KENYA. 1. Mheshimiwa Dkt William Samoei Ruto, Rais wa Jamhuri ya Kenya na Mheshimiwa Dkt...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna sheria inaruhusu au kukataza binadamu kumwita mwenzake KAFIRI?

    Nimemsikia mwanasiasa mmoja akitumia neno kafiri katika nyumba ya ibada hapa Mwanza. Pamoja na kwamba tunashirikiana naye kwenye imani na kwamba neno Kafiri limekuwa likitumika sana ila kwa tamaduni zetu Tanzania neno hili lina ukakasi mkubwa hasa katika matamshi ya kiswahili. Ni neno lakukwaza...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania population growth trend. A blessing or curse?

    The history of population counts in Tanzania dates back to 1910. The first modern census was conducted in 1958. After the union of Tanganyika and Zanzibar in 1964, other censuses were conducted in 1967, 1978, 1988, 2002 and 2012. Since 1967, the country has conducted decennial Population and...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea kiongozi akituhumiwa kwa rushwa anajiuzulu, Tanzania viongozi wanakamatwa na vidhibiti lakini hawatishiki hadi watumbuliwe

    Viongozi wa Tanzania wanakiburi sana, wanakamatwa kwa rushwa na tuhuma nyingine za maadili lakini uwezi kusikia wamejiuzulu. Wanasubiri hadi Mh. Rais awatumbue jambo ambalo ni dharau kwa mamlaka. Kujiuzulu ni Ishara ya kuomba radhi na kukaa pembeni ni Ishara ya kufungua milango usafishwe au...
  15. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania halikuwa ujamaa wala vita vya Kagera bali ombwe la uongozi

    Watanzania huwa tunapenda majibu marahisi kwenye maswali magumu. Huwa tunapenda kusingizia haya yafuatayo kwenye umasikini wetu, hasahasa anguko na mdororo wa uchumi wa miaka ya 80's hadi 90's: 1. VITA VYA KAGERA, 2. UJAMAA, 3. HUJUMA ZA KIBEPARI, 4. ANGUKO LA UCHUMI WA DUNIA MIAKA YA 70's 5...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania FCS yasherehekea Miaka 62 ushirikiano wa Tanzania na Denmark

    Taasisi ya Foundation For Civil Society FCS, imeungana na wadau wengine wa Asasi za Kiraia na ubalozi wa Denmark kusherehekea miaka 62 ya mashirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Denmark. Akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika Machi 21, 2024 Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa...
  17. Mad Max

    JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0-1 Bulgaria | Friendlies| 22 March 2024 16:00 Hours | Dalga Arena (Baku, Azerbaijan)

    Vijana wetu wa Taifa Stars leo wanakutana na Bulgaria katika mechi ya kirafiki, uko Baku, Azerbaijan katika kiwanja cha Dalga Arena mida ya saa 10 jioni, masaa ya Africa Mashariki. Ni matumaini yangu Azam watatubariki na hii mechi tuone kama vijana wetu wame improve tokea wacheze AFCON...
  18. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Hatimaye barua imefika Ikulu kwa Rais kuhusu balozi mteule Jen. Patrick Nyamvuba wa Rwanda nchini Tanzania

    Habari Ndugu zangu? Naitwa Lugete Mussa Lugete mchambuzi wa siasa za Kimataifa, Mwanahistoria na Mwanamajumui wa Afrika. Nachukua nafasi hii kuwapongeza wasomaji wangu wote kwa sababu Barua yangu kwa Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kuhusu Balozi mteule wa Rwanda nchini Tanzania Generali...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ya mtoto wa kwanza kuwa makamu wa wazazi ni Tanzania pekee au kote?

    Nilikuwa nasoma sehemu nikakuta kuwa watoto wa kwanza wanalalamikia kuwa "Makamu Mzazi". Yaani ni mtoto anayekabidhiwa jezi kabla mchezo hajauelewa. Mtoto wa kwanza anatarajiwa kulea wadogo zake na wazazi wake at the same time. Nadhani ukiona mtu amekomaa kimawazo, unauliza tu "Hivi wewe ni...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye awateua Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Machi 21, 2024

    UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) Tarehe 21 Machi, 2024 Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Nape Moses Nnauye (Mb) kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 7 (3) cha Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ya mwaka 2003...
Back
Top Bottom