SoC04 Tanzania tuitakayo

Tanzania Tuitakayo competition threads

zealously

New Member
May 5, 2024
2
0
Jamii nyingi za kitanzania zitabadili vitendo endeshi kwa watoto na kuwapa nafasi ya kuchagua maamuzi yaliyo Bora kwao.
1. Mimi Ni mmoja ninayepitia changamoto ya kufikia ninachokitaka kutokana na jamii na familia ninayoiishi.
2. Inakuwa ngumu kwa mtu kuwa na uelewa wa anachokipendelea au kukihitaji mtoto na kumpatia.
Nikiwa Kama mmoja wa jukwaa hili miaka mitano na kuendelea ya Tanzania tuitakayo hakuna Tena mtoto atakaezuiwa kufanya anachokipenda kulingana na mipaka na maadili ya jamii hii Ni kubadilisha fikra za wazazi,walezi na wanajamii ili kuleta uhalisia wa Tanzania huru.
 
Tukitengeneza tu mazingira ambapo kila shughuli inapata thamani yake halisi katika soko basi wazazi watakuwa huru kuwaruhusu watoto wao kuwa chochote.

Namaanisha hadi hicho 'chochote' kiwe na thamani
 
Back
Top Bottom