tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. K

    JamiiForums SoC04 Tanzania tuitakayo: Kliniki mwendo (mobile clinic): Suluhisho ya vifo vya mama wajawazito, watoto, makundi maalum sehemu za pembeni na vijijini nchini

    Kliniki mwendo (mobile clinic): Suluhisho ya vifo vya mama wajawazito, watoto,makundi maalum sehemu za pembeni na vijijini nchini Utangulizi WAKATI nchi nyingi duniani zikiendelea na mkakati wa kuboresha sekta ya afya ili kufikia agenda ya 2030 Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) lengo 3...
  2. Damaso

    JamiiForums SoC04 Tulitunze Ziwa Victoria kwa maendeleo endelevu

    Ziwa Victoria, ziwa kubwa zaidi la maji baridi barani Afrika na ziwa la pili kwa ukubwa duniani baada ya , linatumika kama mshipa muhimu kwa Tanzania. Eneo lake kubwa la maji hutoa manufaa mengi, yanayoathiri mazingira, uchumi, na jamii kwa ujumla. Insha hii inahoji kuwa Ziwa Viktoria si sifa ya...
  3. GoldDhahabu

    JamiiForums Wasomi wa Tanzania ni vigeugeu?

    Nilipokuwa "mdogo", niliaminishwa kuwa wasomi si wanasiasa na hata wakiwa kwenye siasa husimamia misimamo yao ya kisomi. Lakini baada ya kuanza kufuatilia mambo ya kisiasa, nilibaini kuwa si wasomi wote wanaoweza kusimamia misimamo yao nyakati zote, hasa misimamo yao inapohatarisha "ugali" wao...
  4. Edson Eagle

    JamiiForums SoC04 Serikali ifanye haya kwenye kilimo kuhakikisha taifa linapiga hatua

    Serikali itizame katika mambo yafuatayo ili kuhakikisha Tanzania tunapiga hatua katika kilimo kwa miaka ijayo. 1. Kuhakikisha wakulima na wafugaji wanapewa elimu itakayowaongoza katika kutengeneza kilimo kilicho bora na chenye manufaa makubwa. 2. Kuwe na utaratibu mzuri utakao wainua wakulima...
  5. N

    JamiiForums SoC04 Uwekezaji wa viwanda vya uzalishaji na utengenezaji simu ni muhimu kwa maendeleo ya Tanzania

    Utangulizi Zipo teknolojia nyingi sana ambazo ni kama zimetupita barani Afrika hususan nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara ikiwemo Taifa la Tanzania. Katika teknolojia hizi zilizotupita kidogo, ipo teknolojia ya kifaa cha ajabu ambayo hatupaswi tuendelee kuiacha itupite, na kifaa hiki si...
  6. Damaso

    JamiiForums SoC04 Tanzania Tuitakayo: Je, tupo tayari kwa AFCON 2027?

    Septemba 27, 2023 huko Cairo, Misri katika Kikao cha Kamati ya Utendaji ya CAF walitangaza kuwa Tanzania, Kenya pamoja na Uganda watakuwa wenyeji wa michuano ya Afcon 2027. Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika ya 2027, ambayo pia inajulikana kama AFCON 2027 au CAN 2027, imeratibiwa kuwa ni...
  7. A

    JamiiForums SoC04 Sekta ya elimu ikiwa hivi naiona Tanzania mpya baada ya miaka kumi na tano(15)

    Utangulizi, Sekta ya elimu Tanzania ndio inaandaa wadau wote wa maendeleo, Kila mmoja katika nafasi yake akijengwa kujua kitaaluma kuino nafasi yake katika maendeleo ya taifa kuna uhakika wa mabadiliko chanya katika katika sekta zote za kiuchumi Tanzania. Mapungufu ya sekta: Kwa bahati mbaya...
  8. GoldDhahabu

    JamiiForums Watawala wa Tanzania wana akili kuwazidi Watanzania wote?

    Nauliza hivyo kutokana na kadhia za Muungano. Ingawa manung'uniko yamekuweko tokea mwanzo wa Muungano, watawala wekuwa kama vile wameziba masikio! Hawaambiliki, hawasikiki wala kushaurika. ~Wasomi wameshauri lakini wakapuuzwa ~ Wanasiasa wamepiga kelele lakini nao wakapuuzwa ~ Wananchi...
  9. Mr Mwanzo

    JamiiForums SoC04 Tanzania tuitakayo itatimia na mfumo bora wa elimu

    ELIMU: MSINGI, KING'AMUZI NA KICHOCHEZI CHA MAENDELEO KATIKA NYANJA ZOTE AMBAZO TUNAHITAJI ZIJENGEKE. Chanzo: Google Help Nchini Tanzania, suala sio kutoa elimu juu ya umuhimu wa elimu, Wala kuelekeza nguvu kubwa katika kunadi sera za elimu pekee, bali tunahitaji kufanya mchanganuo na...
  10. T

    JamiiForums SoC04 This is what I believe Tanzania should look like in the next five years

    My initial thoughts were, if we wanna project where will this country be in the next five years we have to project where the world will be in the next five years, if we project were the world will be in the next five years in all aspects such economic, environmental, political and even...
  11. Kulwa Paschal Martin

    JamiiForums SoC04 Namna ya kutatua tatizo la ajira Tanzania

    UTANGULIZI. Kuna Msemo unasema kuwa "Ajira ni chache ila kazi ni nyingi". Hii inatupa tafsiri kuwa, ajira zinapatikana kwa uchache sana ila kazi (Kujiajiri)/Fursa, zipo nyingi na hii inategemea na uwezo wa mtu (Taifa) kuziona fursa hizo na kuzibadili kuwa fedha na kutengeneza ajira kutoka katika...
  12. S

    JamiiForums SoC04 Katika miaka mitano ijayo Tanzania kufanye mabadiliko katika sekta

    STORY OF CHANGE MSIMU WA NNE (4) Andiko linahusu Tanzania tuitakayo Tanzania tuitakayo iwe bora katika mambo yafuatayo ni lazima tuifanyie mabadiliko katika sehemu zifuatazo ambazo ni; Afya: Tanzania kma nchi ni lazima tufanye mabadiliko katika sekta hii ya afya hili tumpunguze adui mkubwa...
  13. Janma

    JamiiForums SoC04 Tanzania ya baadae: Kuelekea Mfumo Bora wa Elimu ya Ufundi Tanzania

    kama nchi nyingine nyingi, Tanzania inakabiliwa na changamoto za kimfumo katika mfumo wake wa elimu. Kuzingatia mabadiliko ya kiuchumi na teknolojia, kuna haja ya kuboresha mfumo wa elimu ili kukidhi mahitaji ya sasa na ya baadaye ya taifa hili. Moja ya njia ambazo Tanzania inaweza kutumia ni...
  14. GoldDhahabu

    JamiiForums Mbwa ana akili kuzidi punda au punda wa Tanzania ana huruma kuzidi mbwa?

    Punda wa Tanzania bado hajampata mtetezi. Ukikutana na punda wa Kanda ya Ziwa, ni kawaida kuona michubuko migongoni na shingoni. Michubuko hiyo imetokana na ama vipigo, au kubebeshwa mizigo mizito iumizayo au vyote kwa pamoja. Asipokuwa na hizo alama, ujue huyo punda anamilikiwa na msomi...
  15. M

    JamiiForums Picha: Tanzania vs Marekani

    A Professor in Wisconsin was BRUTALLY ARRESTED for OPPOSING GENOCIDE!
  16. Mad Max

    JamiiForums Unavyotafuta gari ya kununua, RANGI huwa unaipa kipaumbele au kanyaga twende?

    Wakuu, kwema. Kwa wale ambao wamewahi kununua gari, kwa kuagiza, kwa mtu au showroom, hivi rangi ya gari uwa unaiweka katika options zako za muhimu au? Kwa upande wangu, rangi ya gari nilikua naichukulia poa. Nikakutana na Runx nyeusi, nikanunua fresh. Shida ikaja, AC kuna kipindi ilizingua...
  17. Damaso

    JamiiForums SoC04 Tanzania Tuitakayo: TMDA endelevu dhidi ya Vita ya Dawa Feki

    TFDA ilibadilishwa kisheria na kuwa TMDA tarehe 1 Julai, 2019 baada ya marekebisho ya Sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi, Sura ya 219 na Sheria ya Fedha Na. 8 ya 2019. ya bidhaa za chakula. Hivyo kuwepo kwa TMDA ambayo majukumu yake makuu ni kudhibiti usalama, ubora na ufanisi wa dawa, vifaa...
  18. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums SoC04 Tanzania Tuitakayo: Serikali na wananchi wake tumejipanga vipi kwendana na dunia ya leo na kesho?

    Tanzania, kama nchi nyingine, inakabiliwa na changamoto na fursa za kuendana na mabadiliko ya dunia. Kujipanga kunahitaji juhudi za pamoja kutoka kwa serikali na wananchi ili kuhakikisha maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Tumeona nchi nyingi ambazo zilizopo afrika na zengine zikikabiliwa na...
  19. Damaso

    JamiiForums SoC04 Tanzania Tuitakayo: NHC katika Kujenga Mustakabali Endelevu

    Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) la Tanzania, lililoanzishwa kwa lengo mapana la kuboresha upatikanaji wa makazi, pamoja na malengo ya kuhakikisha kila Mtanzania anapata nyumba tena ya bei nafuu. Lakini ni ukweli mchungu kubwa NHC ni shirika ambalo limeshindwa kufikia uwezo wake. Ingawa...
  20. Hassan Amin

    JamiiForums SoC04 Tanzania Tuitakayo: Mawazo ya Kibunifu kwa Mabadiliko

    Tanzania Tuitakayo: Mawazo ya Kibunifu kwa Mabadiliko Tanzania ni nchi tajiri yenye rasilimali nyingi na watu wenye jitihada na uwezo mkubwa. Hata hivyo, ili tuweze kufikia Tanzania Tuitakayo tunahitaji kuwa na mabadiliko halisi na ya kudumu katika nyanja mbalimbali. Kuna mambo kadhaa ambayo...
Back
Top Bottom