tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. BOB LUSE

    JamiiForums Elimu ya Tanzania siyo bure, CCM someni alama za Nyakati

    Watanzania wamesoma, miaka takribani 60 Sasa toka uhuru .sio wajinga kwakuwa ni wakimyaa wanaopenda kushughulikia na mambo yao yasiohusu siasa,japo maisha yenyewe ni siasa. Ni jambo la Hatari kufikiria mtu aliyekaa kimyaa kuwa ni Mjinga. Watu wanaonufaika pakubwa na chama na Serikali ni familia...
  2. T

    JamiiForums Night Clubs kufa sio kwa Tanzania tu, Dunia nzima night club culture inakufa kwa sababu kizazi Z hakipendi Clubs

    Watu wengi wamekua wakijiuliza kwa nini siku hizi night clubs zinakufa sana, mfano Maison na nyinginezo hapa Tanzania. Ukweli ni kwamba night Clubs Dunia nzima zinakufa kwa sababu kizazi Z ambao ndio walipaswa kua wanaruka majoka usiku kucha hakipendi kwenda night Clubs. Sababu nyingine ni...
  3. Ketoka

    JamiiForums Siku akitokea Mzanzibar mwenye hila mbaya akawa Rais wa Tanzania, nani atalinda maslahi ya Tanganyika?

    Kuna haja kwa kipindi hiki kuangalia katiba zetu upya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hairuhusu Rais aliyopo madarakani au kustaafu kushtakiwa kwa kosa lolote lile Je siku akitokea Mzanzibar akawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa makusudi ya kulindwa kisheria na...
  4. Said Shagembe

    JamiiForums SoC04 Tanzania Tuitakayo ni ile itakayojengwa juu ya misingi ya elimu, kujiamini, na ubunifu

    Tanzania Tuitakayo ni ile ambayo inajengwa juu ya misingi ya elimu, kujiamini, na ubunifu. Ni Tanzania ambapo vijana wanatumia elimu yao kama nyenzo ya kuleta mabadiliko chanya, wakihoji na kushiriki kikamilifu katika siasa na maendeleo ya jamii. Tanzania yenye vijana waonajiamini na walio...
  5. Sun Wukong

    JamiiForums Nisaidie kutoa pesa kuleta kwenye account yangu tanzania

    Habari nina pesa mahali na njia pekee ya kutoa ni paxum au webmoney WMZ je nitapokeaje kama naweza kupata hizi account then direct to my m-pesq with no verification or someone can help me to withdraw i have $70 i need it to pay some stuffs
  6. RASHID ELLY KENAN

    JamiiForums SoC04 JamiiForums ijitanue katika utetezi wa watu wenye uhitaji maalum

    Jamii Forums ni jukwaa na chombo cha kupasha habari kilicho nchini Tanzania ambacho kipo ndani ya sera ya habari na mawasiliano nchini. Habari na mawasiliano ni taasisi huru kimazungumzo lakini kuna sheria kandamizi katika chombo cha habari katika utoaji wa taarifa. Jamii Forums miaka sita...
  7. dr namugari

    JamiiForums Mkutano wa makamu mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi Tanzania bar

    Makamu mwenyekiti mzee kinana anahutubia taifa kwenye mkutano mkubwa ulioandaliwa katika ukumbi wa CCM Watu wa kila kada Ni wengi Sana Tazama TBC ujione mwenye jins anavyo pqngua hoja za chademq
  8. Evelyn Salt

    JamiiForums SoC04 Tanzania tuitakayo: Maboresho makubwa yafanyike idara ya elimu kwani hii ndio idara mama

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Elimu ya sekondari imekua ni muhimu kwa watu wote (elimu msingi), lengo ni kuwa kila mtu walau afike kidato cha nne. Ni jambo jema....lakini kumekua na changamoto nyingi kiasi cha kushindwa kufikia malengo kwani pamoja na kwamba kila mtu...
  9. Yuzzo01

    JamiiForums SoC04 The Vision for Tanzania: Building a Sustainable Future

    Introduction: Tanzania stands at a pivotal moment in its history, poised to shape its future for generations to come. As we embark on this journey, it is imperative to envision a Tanzania that thrives in all aspects of life – education, health, technology, economy, environment, infrastructure...
  10. X

    JamiiForums SoC04 Kufikia ndoto ya Tanzania bora zaidi, tunahitaji kufikiria kimkakati na kuchukua hatua za kubuni mbinu mbadala za maendeleo

    Tanzania, nchi yenye utajiri wa maliasili, utamaduni mzuri, na watu wenye bidii. Hata hivyo, ili kufikia ndoto yetu ya Tanzania bora zaidi, tunahitaji kufikiria kimkakati na kuchukua hatua za kubuni mbinu mbadala za maendeleo. Hapa, ninapendekeza mawazo yenye ubunifu ambayo yanaweza kuleta...
  11. P

    JamiiForums SoC04 Enhancing quality education in Tanzania coming 10 years

    Introduction: Education is fundamental for the growth and development of any nation. In Tanzania, despite significant progress in increasing access to education, challenges persist in ensuring quality education for all. This proposal aims to address key issues in the education sector and suggest...
  12. Mtambuzi

    JamiiForums Hivi Tanzania hatuna taasisi inayochunguza ubora wa huduma zinazotolewa kwenye hii mighahawa hapa nchini?

    Siku hizi ukiingia kwenye mitandao ya kijamii utakutana na manung'uniko mengi kutoka kwa watu hususan sisi wazawa wenye rangi nyeusi yakituhumu ubaguzi katika kutoa huduma kwa wateja wenye ngozi nyeusi kwenye hii mighahawa ya kitalii. Ukisoma maoni kutoka kwenye malalamiko ya mtoa hoja unakuja...
  13. TODAYS

    JamiiForums Kiongozi wa Serikali ya Tanganyika Soma Hii; kwa Nini Viwanda Vidogo Nchini Pakistan ni Vingi?

    Viwanda vile huitwa Cottage au SSI's kiufupi ni households industries, Karibia asilimia 45 ya vijiji vya Pakistan vinajitosheleza kwa mahitaji ya Viatu, Pamba kutoa nguo, spare za pikipiki, Cherehani, na vifaa vya kilimo, Kila familia ina Kiwanda kidogo na havifanani bidhaa. IPI NI FAIDA YA...
  14. N

    JamiiForums SoC04 Wageni ni Tunu kwa Taifa

    Utangulizi Kila mwananchi wa taifa fulani, hupenda kuona taifa lake likiwa kinara kwenye uchumi. Hii ni kwasababu, mafanikio ya taifa lolote duniani huanzia kwenye uimara wa uchumi kwanza, kwani hakuna chochote katika dunia hii unaweza kufanya bila uchumi imara, bila fedha, bila mtaji wa...
  15. Tanzanized S

    JamiiForums SoC04 Tanzania 2044: Miaka Ishirini ya Kujiimarisha

    Tanzania iko katika wakati muhimu sana katika safari yake ya maendeleo. Kama Taifa ni muhimu kuandaa ramani ambayo itakuwa muongozo wetu kwa miaka 20 ijayo, ramani ambayo itagusa sekta zote muhimu katika ustawi wa nchi. Katika makala hii nimeelezea mpango wa maendeleo tunaoweza kuutumia...
  16. C

    JamiiForums Naomba kujua kama online courses serikali ya Tanzania inazi acknowledge kwenye soko la AJIRA

    Naomba kwa mtu anayejua kama hizi course zinatambulika au laa linapokuja swala la kutafuta AJIRA bongo maana nimeona course Fulani zinatolewa na GOOGLE, MICROSOFT,COUSERA,IBM,UDEMY N.K ziko vizuri na certification wanatoa Je, nikipiga hii course na Cheti nikapata nitatambulika kwenye soko la...
  17. M

    JamiiForums Tanzania kuna vituko!

  18. H

    JamiiForums SoC04 Kufikia Tanzania tuitakayo: Uwajibikaji mzuri wa Viongozi na Matumizi mazuri ya Rasilimali

    Tanzania Ni Nchi ambayo imebahatika kuwa na Kila kitu hivyo 1: Uwajibikaji mzuri wa Viongozi Tanzania ni nchi mojawapo ambayo inatumia demokrasia katika kuongoza, hivyo viongozi wanaichaguliwa ni vizuri wakawa wawajibikaji zaidi na kuwa wabunifu katika kuhakikisha Wanatenda vyema Yale yote...
  19. T

    JamiiForums SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Matumizi ya Sayansi na Teknolojia Katika Uchaguzi Mkuu na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Utangulizi: Uchaguzi ni Haki ya msingi katika nchi yenye utawala bora ambao ni utawala unaofuata misingi ya sheria, haki, usawa, uwajibikaji, ushirikishwaji, demokrasia katika kuchochea uhuru binafsi katika ushiriki wa wananchi kuchagua viongozi wanaowahitaji na kuwaona wanafaa katika kuwaletea...
  20. L

    JamiiForums SoC04 Siasa za Tanzania na utawala wa kesho

    TANZANIA TUITAKAYO: SIASA ZA TANZANIA NA UTAWALA WA KESHO Siasa ni njia ya kufanya maamuzi katika njia tofauti tofauti katika jamii kwa mfano Miji, Taifa au hata dunia nzima, katika demokrasia kila mtu ana kiasi Fulani cha nguvu, Hivyo tunahitaji mwanasiasa awe na ukweli na uwajibikaji kwani...
Back
Top Bottom