Kwa hii Shida ya Mitandao ya simu iliyotokea leo, turuhusu Starlink iingie Tanzania

Harafu yamejaza mabango nchi nzima yakijifanya mintandao yenye kasi zaidi kuliko yote duniani
 
Harafu yamejaza mabango nchi nzima yakijifanya mintandao yenye kasi zaidi kuliko yote duniani
 
Niliwapigia simu airtel kuna shida ya mtandao
Shida nadhani ni pote maana hapa natumia tigo na Halotel ni hovyo. Nimepata hasira balaa nikijua location yangu imeleta shida au pengine line zimeanza kuchoka maana ni za muda mrefu.

Hapa Nape akija kuulizwa kama waziri atuambie shida ni nini, utaona pumba atakazoongea.
 
Back
Top Bottom