tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kwa nini vijana wanataka aletwe Tanzania Msanii Sharukhan

    Habari za Sabato! Nimeshangazwa Sana na mawazo ya vijana. Mnawaza nini vijana? Mnataka nini Vijana? Mkoje ninyi vijana? Katika hali ya kustaajabisha GenZ wanasema wao tatizo lao sio Soka, tatizo lao sio ajira, ajira hawana tatizo nalo. Nikajiuliza kivipi tena wakati vijana ninyi ni jobless...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna import maji kutoka nje baada ya miaka 64 ya uhuru

    Hii chupa ya dripu ina nusu lita ya kimiminika aina ya ‘maji’. Lebo hapo inasema "0.9% w/v" Sodium Chloride (chumvi). Kwa kifupi, maana yake ni kwamba 99.1% ya hii chupa ni maji. Kwenye hii dripu ya 500 ml, kuna gram 4.5 ya chumvi. Kilichobaki 495ml ni maji. Haya maji yamekuja kutoka India kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Rio asilaumiwe sana kuja Tanzania kwa mgongo wa serikali

    Ukifuatilia utagundua ni nadra au haiwezekani wadau na mastaa wa michezo hasa wa mpira wa miguu kujitenga na utawala au watawala wowote wale hata wawe madikteta katili kiasi gani. Sijajua sababu ya jambo hili ni nini ila kwa kiasi kikubwa mpira wa miguu una mafungamano makubwa sana na watawala...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania US Yaibana Tanzania Kufuatia Human Rights Abuse na Sakata la Boniface Mwangi na waathira wengine kutoka kenya na Tanzania

    Marekani imechukua hatua kali dhidi ya mkuu mmoja wa polisi nchini Tanzania baada ya kumwekea sanctions kutokana na madai ya ukiukaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu uliopita. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na serikali ya United States, Kamishna Msaidizi Mkuu wa Polisi, Faustine...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi Indira Gandhi alipomwambia Nyerere, "nitaimeza hiyo Tanzania yako ndani ya India yangu", alimaanisha nini? 🤔.

    Wakuu, aliyekuwa waziri mkuu wa India bibie Indira Gandhi, alipomwambia baba wa Taifa letu kuwa, "nitaimeza hiyo Tanzania yako ndani ya India yangu", alimaanisha nini? Kama Kuna anayejua kile alichomaanisha Indira binti Jawaharlal Nehru, anijuze tafadhali 😎. Mshana Jr Mbaga Jr Mzee...
  6. JamiiForums Tanzania Gerson msigwa :Serikali haiwalipi mastaa kuja Tanzania wanakuja kutokana na ukaribu na mheshiwa waziri Makonda

    Msigwa wadanganye watoto wako tu star mkubwa wa ball duniani aje bure ajilipie gharama zote za passport kuja tanzania kisa ameitwa na Makonda? Usikute hata ulaya hawamjui msukuma Makonda 😂 😂 na hilo trako lake kubwa 😂 Tusifiche ukweli tuwambie watanzania pesa zao za kodi wanalipwa hawa mastaa...
  7. JamiiForums Tanzania Hakuna na wala hapatakuwepo na mgogoro wa kidiplomasia baina ya Tanzania, Marekani na EU, Puuzeni upotoshaji wa wafuata mkumbo waliokosa agenda.

    Uhusiano wa Tanzania na washirika wake wa maendeleo na kidiplomasia kote ulimwenguni ikiwa ni pamoja na serikali ya Marekani, Umoja wa Ulaya EU, Urusi, Japan, China n.k ni mzuri sana na unaendelea kuimarika kila uchwao kwa maslahi mapana ya wananchi wa nchi zote husika. Porojo na upotoshaji...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania Defies Propaganda on Coexistence

    Tanzania remains committed to peace, economic growth, regional integration, and religious freedom. No amount of propaganda can erase the country’s longstanding record of coexistence.
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania: United for Peace & Sovereignty

    Tanzanians are united in defending their country’s dignity, sovereignty, and peace. External campaigns built on misinformation will never define Tanzania’s identity or future
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania: A Model of Religious Harmony

    Tanzania remains one of the most peaceful and stable nations in Africa. Millions of Christians and Muslims live side by side in harmony every day. Claims of “Christian persecution” are politically manufactured narratives with no reflection of reality on the ground. Tanzania protects freedom of...
  11. JamiiForums Tanzania Maisha yamekuwa mazito Tanzania, lakini wananchi hawatakiwi kufanywa wajinga

    Kila siku bei zinapanda. Mafuta yakipanda, nauli inapanda. Nauli ikipanda, chakula kinapanda. Chakula kikipanda, maisha yote yanakuwa magumu. Halafu ukiuliza sababu unaambiwa “kuna vita ya Iran na Israel.” Sawa, vita vinaweza kuathiri mafuta duniani, hilo kila mtu analijua. Lakini swali la...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Muswaada wa Marekani kuhusu Tanzania wamsahau Mwenyekiti Mstaafu japo anashutumiwa na wengi kushauri na kunufaika na maovu ya dola

    Muswada wa Bunge Marekani umetaja maadui wanne wa Tanganyika watakaowekewa vikwazo na kumulikwa. Uongozi wa Juu wa 1. Serikali 2. CCM 3. Jeshi la Polisi 4. Usalama wa Taifa Na familia zao. Hilo nyavu linanasa yule kijana kwa saab ni familia lakini Mwenyekiti Mstaafu halimkamati. Japo...
  13. JamiiForums Tanzania Mali 2 - 1 Tanzania | CAF U-17 AFCON | Morocco | 20/05/2026

    Michuano inaendelea. Group C ndio tuliopo. Dakika ya 30 ngoma imelala, tumepigwa 1 bila
  14. JamiiForums Tanzania Pamoja na kuja Tanzania uso wa Rio Fernand hauna Tabasamu

    Guys inaonekana kalazimishwa kuja TZ.body language imekataa kabisa aha hanha ila sisi ndo tunashoboka hatari. Ukimwangalia yaani kama haelewi kinachoendelea endelea anabaki kushangaa shangaa tu.na madrama yenu. .
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumekosa mabilioni kwasababu ya tamaa na ubinafsi wa Mama Samia

    Wizi wa kijinga wa kura umeharibu mahusiano ya watanzania wenyewe kwa wenyewe , majirani zetu kama Kenya, nchi za south Africa. Lakini imeharibu mahusiano na wadau wanao tusaidia kwenye afya, barabara, na uwekezaji. Kwasasa mfano hakuna visa tena zinatoka kwa wafanyabiashara wetu kwenda Marekani...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Tanzania inapendeza, ziko picha Watanzania wamepiga kwenye barabara na madaraja yetu, unaweza ukadhani uko Dubai

    Wakuu, Ni ya kweli haya au ndo Ulega anapenda kujiamulia mambo :BBRUHH: Sasa kwa nini watu wanasafiri kwenda Dubai wakati tayari tuko Dubai, Na lile vumbi la Nanjilinji je? -------------- Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega (Mb.), akiwasilisha Bungeni Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya watatu wakamatwa Tanzania wakielekea Mozambique kujiunga na kundi la ISIS

    Yusuf Mbashir (19), Ahmed Shaban (21) na Abdul Karim Salim (22) walizuiliwa Horohoro border kabla ya kukabidhiwa kwa maafisa wa Kenya huko Lunga Lunga, Kwale. Polisi wanasema vijana hao hawakuwa na travel documents na walikuwa wakielekea kwa magaidi wa ISIS-linked militants huko Mozambique...
  18. JamiiForums Tanzania Trump kavurugwa. Vitu gani anapost bila caption?

    Nani anamchanganya huyu mzee? Ni AI generated lakini hadi rais wa nchi kubwa hivi anapost? Tf? Source: https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/posts/116591901587847680
  19. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Ghafla ya Vyombo vya Habari na Uhuru wa Kisiasa Tanzania

    Kuna hivi vyombo vya habari vya machawa navyo siku hizi wanazungumza siasa, wasafi tv, clouds media na vyombo vingine vya habari zikiwemo youtube channel za machawa, nao siku hizi wanachambua siasa na matukio ya MO29. Ila naona serikali inaendelea kutumia hivi vyombo na lengo kuu lao si kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania Kuelekea Nishati ya Nyuklia

    Tanzania inaendeleza nishati ya nyuklia kama sehemu ya mkakati wake wa muda mrefu wa kubadilisha vyanzo vya nishati na kuunga mkono ukuaji endelevu wa uchumi. Ili kuongoza juhudi hizi, tumeandaa mpango kabambe wa kitaifa wa maendeleo ya nishati ya nyuklia ili kuongeza uwezo wa megawati 1,200 za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…