Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 621
- 557
Tanzania inaendeleza nishati ya nyuklia kama sehemu ya mkakati wake wa muda mrefu wa kubadilisha vyanzo vya nishati na kuunga mkono ukuaji endelevu wa uchumi. Ili kuongoza juhudi hizi, tumeandaa mpango kabambe wa kitaifa wa maendeleo ya nishati ya nyuklia ili kuongeza uwezo wa megawati 1,200 za nishati ya nyuklia ndani ya muongo ujao, kwa kuzingatia mbinu za hatua za IAEA." Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Soma Pia: Rais Samia Kushiriki Mkutano wa Nishati ya Nyuklia, Rwanda
Soma Pia: Rais Samia Kushiriki Mkutano wa Nishati ya Nyuklia, Rwanda