peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 17,317
- 29,398
Wakenya! Mungu awabariki kwa kuandaa viongozi
VP wetu amekaza na accent tu na zero zero zero huku Ruto akipiga kwenye mshono.Wakenya! Mungu awabariki kwa kuandaa viongozi
Lipenda rushwa at workHahahahaa!
Manyumbu bwana! Ilivyo milofa ipo tayari kukuza chochote Cha wengine na kudunisha chochote chao sababu tu Wana chuki na Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Mmechelewa, Tanzania inazido kusonga mbele, tafuteni "tutoke vp" nyingine.
rutto ni mzungumzaji sana, kifupi ni mzee wa fixUtaratibu wa kumpata Rais kupitia CCM ,tutaendelea kufeli na kujilaumu kumbe Tatizo ni CCM!
Phd ya darasani Vs Phd ya kupewa chinarutto ni mzungumzaji sana, kifupi ni mzee wa fix
Ndejembi anahutubia kama yupo presentation ya chuo CBE.
Ndg, lini nimekuomba rushwa?!!!!!Lipenda rushwa at work
Mjane hatakwenda kwenye hiyo mikutano kabisaWakipiga marufuku ya kusoma hali itakuwaje?
Wewe uliyemilikisha nchi kwa waarabu una mamlaka gani kujadili chochote?Hao wenye military base za wazungu nchini kwao hawana mamlaka za kujadili chochote cha maana kuhusu Africa.
Tunasonga mbele kwa udr wa mdomoni!
Hata Rutto atakuwa anasoma. Kuna kitu kinaitwa teleprompter huwezi kukiona. Lakini huwezi kwenda UNGA meeting ukateme madini kutoka kichwani. Hii ni hotuba imeandaliwa!Rutto anatema madini kichwani wa kwetu anasoma na bado anachapia chapia...Sijui ni woga au namna gani lkn Kiingereza anakijua sana.
Sasa mnataka utu uheshimiwe Gaza wakati hapa Tanzania hamthamini utu wa watu wenuHahahahaa!
Manyumbu bwana! Ilivyo milofa ipo tayari kukuza chochote Cha wengine na kudunisha chochote chao sababu tu Wana chuki na Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania. Mmechelewa, Tanzania inazido kusonga mbele, tafuteni "tutoke vp" nyingine.
Kasongo(Ruto) yuko level nyingine, huyo Mpemba japo anasoma a written speech ila haina 'matirio' thabiti ukilinganisha na Kasongo.