tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. jikuTech

    JamiiForums Tanzania Ndoto za kuwa mtu flani kwenye Tehama Tanzania

    NDOTO ZA KUWA MTU FLANI KWENYE TEHAMA Kirefu Cha neno Hilo ni Teknolojia ya habari na mawasiliano, taaluma AMBAYO Hadi mwaka huu 2024 hazija waingia watu wengi na waliyo nayo wengi nchini Tanzania ni wa binafsi wa maarifa na wenye kukatisha tamaa wale wanao taka kujifunza. Na hii ni sifa...
  2. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Gen Z Tanzania watangaza maandamano makubwa Jumatatu Agosti 5/2024 kutumia haki yao kikatiba kupinga ukosefu wa huduma mbalimbali nchini

    Kutoka katika Vyanzo mbalimbali vya mitandao ya kijamii pamoja na baadhi ya mitaa, joto na vuguvugu la maandamano ya vijana wa kitanzania linaendela, chanzo ikisemekana ni kuchoka na hali ya ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira, kulinda rasilimali za taifa ambazo siku za karibuni zimeonekana kuwa...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania ni kudhani kwamba Watoto wa viongozi nao wanaweza kuwa viongozi

    Hapo ndipo tunapojikuta tunataabika na kuokota Magarasa na kuyapa uongozi. Uongozi ni Karama kutoka kwa Mungu, haujawahi kuwa urithi wa Ukoo, sasa hapa ndipo ambapo Mamlaka za Uteuzi zinapoboronga
  4. B

    JamiiForums Tanzania Gen Z wa Tanzania wapewe ajira maana ukosefu wa ajira ni chanzo cha maandamano tunayoshuhudia Kenya na sasa Uganda

    Wadau Asalam aleykum. Wanasema mwenzako akinyolewa zako tia maji. Nawashauri viongozi wangu mlioko kwenye vyombo vya kutunga sera, mfanye kuwaajiri vijana walioko mtaani wenye ujuzi na wasio na ujuzi pia watafutiwe kazi za kufanya. Hii itawafanya kuwa bize na hivyo kuwasahaulisha na ugumu wa...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje wa Comoro awasili Tanzania

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu, Julai 23, 2024 amempokea Mhe. Mbae Mohamed, Waziri wa Mambo ya Nje wa Comoro anaeshughulikia Nchi za Kiarabu, nchi zinazozungumza Kifaransa, Diaspora na Utangamano wa Afrika ambae amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ikiwa ni pamoja na kuongoza...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Balozi Shelukindo afungua JPC ya kwanza kati ya Tanzania na Comoro

    Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Samwel Shelukindo amefungua Mkutano wa Kwanza wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Visiwa vya Comoro katika Ngazi ya Wataalam unaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 22-24 Julai 2024...
  7. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tanzania yagoma kujifunza kwa Sudan Kusini

    Sudan Kusini wamefuzu kushiriki michuano ya Olympics upande wa wanaume leo 22-7-2024 Miaka 14 iliyopita Taifa hili lilijipatia Uhuru kutoka kwenye mikono ya Sudan ya Kaskazini ile ya Dikteta Al Bashir. Leo hii wamekabiliana vikali sana na timu ya taifa ya Marekani, inayo ogopwa dunia nzima kama...
  8. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Uongo wa wazee wa zamani wa Tanzania kuhusu mpira

    Hivi nyie wazee huwa mnatuchukuliaje vijana utakuta mzee anasifia wachezaji wa zamani unaweza kusema hao wachezaji waliipa Tanzania ubingwa wa dunia yaani katika vitu vinanikera mizee kusifia magarasa ya zamani eti zamani kulikuwa na mpira sio Sasa. Hiyo zamani yenyewe waulize hata kombe la...
  9. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Vyombo vingi vya habari havina taarifa za kutosha za yanayoendelea nchini. Tunategemea hawa ndio wahabarishe umma juu ya mambo ya msingi?

    Kila wakati huwa ninajiaminisha kuwa umma mkubwa wa watanzania hawako informed kabisa, yaani wako kwenye gizo totor kuhusu mambo ya nchi yanayogusa maisha yao. Hii inakuwa reflected na idadi ya ounline news outlets tulizonazo. Jambo kubwa lililotokea kwenye serikali jana ni mabadiliko ya...
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Silaa ukishaapishwa, tunaomba utuletee Star Link Tanzania

    Habari za majukumu Waziri Mteule wa Habari, Sisi wananzengo, tunakuomba ukishaapishwa tu, jambo la kwanza la kutilia mkazo katika vipaumbele vyako ni Internet ya Elon Musk. Tunaomba Star Link wapewe vibali hapa Tanzania maana mtangulizi wako alikataa kata kata. Tunaomba usije ukawekwa mfukoni...
  11. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kushabikia mpira wa Tanzania

    Sijui Kuna watu wa aina yangu yaani nikiangalia mpira wa Tanzania naona kama uchafu Fulani hivi jumlisha na viwanja vyao wanavyochezea kama kwenye matuta ya viazi basi naona kama jalalani mfano hizi timu za simba na yanga naonaga watu wanabishana mpaka kutukanana na kununua vijezi vyao ambavyo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Comparative Analysis of Common Laws in Tanzania and Nigeria

    Tanzania and Nigeria, two prominent countries in Africa, share numerous similarities in their legal frameworks due to their colonial histories and subsequent legal evolutions. Both countries have developed robust legal systems that aim to promote justice, protect human rights, and ensure the...
  13. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kule Kenya Gen Z wanadili na Wakusanya Kodi wa Kenya, Tanzania tunadili na Mbowe ambaye hakusanyi kodi

    Gen z wanadili na Ruto ndio anaye kusanya kodi na kuzitumia vibaya, Raila wala Kalonzo hawakusanyi Kodi, Raiala yuko enzi za Moi na hakusanyi kodi za Kenya waka hapangi bajeti ya Kenya. Tanzania SAMIA ndio anaye kusanya kodi na tozo na kuzitumia kwa anasa huyu wajinga hawamuini. Wanaoambana...
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada: Interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na BoT ikoje? Huwa inakuwa na maswali ya aina gani?

    Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)? Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza? Kwa anayejua anisaidie.
  15. USSR

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Hakuna watoto waliotekwa, kuuawa na kunyofolewa viungo, puuzieni wazushi hao

    Jeshi la polisi makao makuu limetoa taarifa ya kupinga taarifa za taharuki mitaani za watoto kutekwa ,kuuwawa na kunyofolewa viungo.
  16. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Dr John Pombe Magufuli: A Visionary Leader Who Changed Tanzania Once and for All

    Dr John Pombe Magufuli, the late President of Tanzania, is remembered as a transformative figure whose leadership left an indelible mark on the nation. Dubbed "The Bulldozer" for his uncompromising approach to development, Magufuli's presidency was characterized by bold initiatives aimed at...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania wameamua Tanzania ni CCM na CCM ni Tanzania

    Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji na uchaguzi mkuu wa 2025 watanzania wameamua kwa kauli moja kuja na kaulimbiu ya kishujaa ya "TANZANIA NI CCM NA CCM NI TANZANIA", ni kauli inayochangiwa na imani kubwa waliyonayo kwa CCM, uthubutu wa uongozi wa Ndg.Samia ambaye ni...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Indonesia Kuimarisha Ushirikiano Katika Sekta ya Madini

    TANZANIA NA INDONESIA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA MADINI - Kuongeza nguvu katika utafiti wa madini - Wawekezaji kwenye viwanda vya kuongeza thamani madini mkakati wakaribishwa. - Mpango wa kuwaendeleza wachimbaji wadogo wajadiliwa Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde leo...
  19. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Mfahamu aliyetunga wimbo wa taifa wa Tanzania

    Wimbo wa taifa wa Tanzania "Mungu ibariki Afrika" ulibuniwa na mtunzi kutoka Afrika Kusini Enoch Sontonga. Wimbo huu asili yake ni wimbo Nkosi Sikelel’i Afrika aliotunga mwaka 1897. Tafsiri ya jina hilo kwa kiswahili ni Mungu ibariki Afrika. Ni wimbo maarufu zaidi Afrika ukitumika pia katika...
  20. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee tukio la uvunjaji wa sheria linakuwa back up na tukio lengine la uvunjaji wa sheria

    Kuna mambo mengi hutokea katika hivi viwanja vya mfumo wa kisiasa,kimsingi hua ni hitilafu/utata wa sheria au uvunjaji wa sheria unaofanya na moja watendaji wa kiserikali may be kwa kujua au kutokujua. Kwa bahati mbaya zaidi,hutumiwa propaganda za wasanii,timu za mipira au uvunjaji wa sheria...
Back
Top Bottom