tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Tanzania nilidhani hii Tabia za Kishamba na ya Kijinga pia mmeiacha kumbe hadi Leo bado mnayo tu?

    Acheni kuwachagulia Watoto wenu Fani ambazo nyie mmezifanya huku hadi kuwatishia kuwa wasipofuata basi mtawavulia Nguo zenu kwa Kuwalaani. Hivi inaingia Akilini kabisa Wewe Mzazi ni Injinia na kila Siku unaona Mwanao katika Masomo ya Sayansi anatepeta / hayawezi ila kule katika mengineyo ya...
  2. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Hatma ya Demokrasia Tanzania: Madhara ya Tamisemi Kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Hatua Muhimu kwa Serikali na Upinzani

    Katika mfumo wa kidemokrasia, uchaguzi huru na wa haki ni kiini cha utawala bora na uwajibikaji. Katika muktadha wa Tanzania, uchaguzi wa serikali za mitaa una nafasi muhimu katika kuwezesha ushiriki wa wananchi katika mchakato wa maamuzi na kusimamia maendeleo katika ngazi za chini. Hata hivyo...
  3. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Zurab Pololikashvili: Tanzania is set to host the 2nd United Nations World Tourism Organization (UN Tourism)

    Secretary General of the United Nations World Tourism Organization (UN Tourism), Zurab Pololikashvili said Tanzania is set to host the 2nd United Nations World Tourism Organization (UN Tourism), Regional Forum on Gastronomy for the year 2025. He said that during the opening of the 1st UN...
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa mwenyeji wa kongamano la pili la umoja wa mataifa kuhusu utalii wa vyakula vya asili barani afrika

    Na Mwandishi Wetu- Zimbabwe Tanzania inatarajiwa kuwa Mwenyeji wa Kongamano la Pili la Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN Tourism), Kanda ya Afrika kuhusu utalii wa vyakula vya asili katika Bara la Afrika kwa mwaka 2025. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Shirika la Umoja wa...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa hotel, Bar na migahawa Tanzania wana shida gani?

    Hawa watu huwa wa kusukumwa sana ili wakupe huduma ambazo ni wajibu wao kuzitoa, ni nadra sana kupata Hotel, mgahawa au Bar bongo ambapo wahudumu wake sio wa kususuasua na wako on point muda mwingi na kwa wateja walio wengi Shida ni kwamba hawalipwi vizuri, wako kwenye hizo kazi kupoteza muda...
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Magereza ya Tanzania kuwa katika hali mbaya, ni kwa sababu ya umasikini au kukosa utu?

    Kwa nchi zilizoendelea, mtu kukaa gerezani humaanisha kukosa uhuru tu, lakini mahitaji mengine karibia yote ya muhimu huyapata. Watanzania waliowahi kufungwa gerezani nchini walishasimulia mikasa na mateso waliyokutana nayo gerezani. Ni hali mbaya sana. Wafungwa hawajaliwi kama ipasavyo...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Investing in Our Future: Women and Children in developmental aspect of Tanzania

    Today, we have gathered to reflect upon the most essential part of the journey in the State of Tanzania towards empowering its women and children. Absolutely no doubt that the rise witnessed in every country is attributed mostly to the potentials of the entire populace, and our women and...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere: Katiba haikatazi Mzanzibar kushika nafasi yoyote kwenye serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

  9. J

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi ashinda kesi dhidi ya Tanganyika Law Society. Ruksa kugombea Urais wa Chama hicho

    Kesi ya Boniface AK Mwabukusi kupinga kukatwa kwenye Uchaguzi wa Rais wa Tanganyika Law Society kutolewa hukumu leo pale Mahakama kuu ya Tanzania Jumaa Mubarak 😃 ---- Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam leo, Ijumaa Julai 26.2024 imetoa hukumu ya kesi iliyokuwa imefunguliwa na...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kwani urais Tanzania unatokea kama zari? Kwa nini mtu akijiandaa nao anaonekana amekosea sana! Which is which, zai ka la jpm au kuniandaa?

    Hii tamadani inayojijenga tanzania siyo nzuri kabisa. Mtu akijiandaa kwa mda mrefu kwa ajiri ya urais ataundiwa zengwe mpaka ataonekana ni jambazi. Ninachofahamu mimi kila position huwa ina maamdalizi kwa anayetaka siyo kumlazimisha kama alivyolazimishwa jpm. Na ndo mana uongozi wake kulikuwa...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Vilabu vyetu vya Tanzania vinazidi kufeli kwendana na kasi ya soko la kuzinduwa jezi mpya za msimu husika

    Tunaendelea kuviona Vilabu vingi vya mpira hapa Tanzania vimekosa kuwa na jicho la ziada katika Jezi mpya katika msimu husika kuzitoa mapema hata kabla msimu mpya kuanza. Eneo la Jezi ni moja ya sehemu ya kupata mapato ambayo yatachangia kwa kiasi kizuri kuendesha klabu katika matumizi yao ya...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mipaka yetu ina shida ndio maana vitu feki vimejaa nchini

    The borders are are porous all over na ndo mana vitu fake vimejaa mtaani. Inaeleweka wazi kazi ya jeshi ni kulinda mipaka lakini tanzani mipaka iko wazi sana. Ni ama kuna rushwa au jeshi halifanyi kazi yake ipasavyo. Au kazi yao ni nini jamani?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hati ya Makubaliano kati ya Serikali na Baraza la Wakristo na Baraza la Maaskofu Tanzania imepitwa na wakati?

    1. Hivi sasa kuna bodi ya Mikopo ya elimu ya Juu kila mtanzania anapata mkopo ili aweze kusoma. 2. Vyuo vikuu kama UDOM, SUA na vyengine vimeengeza vituvo, curriculum imebadilika, Teknolojia imepanuka. 3. Serekali imeanzisha zahanati, hospital na Maabara kila sehemu nchini kwa lengo la...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Visiwa vya Comoro zimesaini Hati nne za Makubaliano kwenye kilele cha Mkutano wa Kwanza wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC)

    Tanzania na Visiwa vya Comoro zimesaini Hati nne za Makubaliano kwenye kilele cha Mkutano wa Kwanza wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Comoro uliofanyika tarehe 24 Julai, 2024 jijini Dar es Salaam. Hati zilizosainiwa katika kikao hicho zinazojumuisha nyanja za...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Udidimizaji wa Haki za Wahandisi wanaofundisha Shule za Sekondari za Ufundi ni changamoto inayohitaji utatuzi wa haraka

    Habari, Mimi ni mhandisi ambaye niliajiriwa ajira za waalimu kwa tangazo la mwaka 2020 kwa niaba ya wenzangu wahandisi kutoka shule za ufundi tunapenda kutoa masikitiko yetu juu haki zetu kama watumishi wa umma. Ikumbukwe serikali ilituajiri tukiwa wahandisi lakini mambo yalibadilika...
  16. Accumen Mo

    JamiiForums Tanzania The Chanzo: Makosa ya Kulawiti, Kubaka Yameongezeka Tanzania

    Makosa ya kubaka na kulawiti yameendelea kuongezeka Tanzania, ambapo kwa mwaka 2022 makosa ya kubaka 6,827 yaliripotiwa polisi, hata hivyo kwa mwaka 2023 makosa haya yameongezeka kufikia 8,691. Matukio ya kulawiti pia yameongezeka kutoka matukio 1,586 yalioripotiwa mwaka 2022 mpaka matukio...
  17. Gilbert Prudence

    JamiiForums Tanzania Kuna hatari kubwa ya kuja kutokea maandamano ya vijana kutaka kazi kwa maana ajira hakuna na mikakati hairidhishi

    Kuna hatari kubwa ya maandamano ya vijana kwa sababu ajira ni chache na mikakati ya serikali kupambana na tatizo hili ni ndogo ukilinganisha na ukubwa wa tatizo. Sioni mikakati madhubuti ya kusaidia vijana wanaomaliza kidato cha nne na kufeli. Sioni mikakati ya kusaidia vijana waliomaliza vyuo...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania The Joint Permanent Commission between Tanzania and Comoro as Covered by TBC

    The Joint Permanent Commission between Tanzania and Comoro as Covered by TBC
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Watalii wamiminika Tanzania badala ya Kenya, ni baada ya Maasai Mara kupandisha kiingilio karibu mara tatu

    Kasi ya watalii kuichagua Serengeti inazidi kuongezeka huku Masaai Mara ikizidi kupoteza. Watalii hawa ambao wana hamu kubwa kwenda kushuhudia uhamaji mkubwa kabisa wa Nyumbu wanazidi kuichagua Serengeti. Kenya ilifanya mapitio ya kiingilio kutoka usd 70 kufikia $200. Hoteli za kitalii zilizo...
  20. Kanye2016

    JamiiForums Tanzania Fursa Kwa Madada WA Kitanzania ambao hawajaolewa.

    Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Kwenye pita pita zangu huko mtandaoni nikakutana na Habari ya kijana Mmoja WA ki Jerumani anataka msichana WA Kitanzania Kwa lengo la ndoa. Nimeweka screenshot hapo chini inajieleza kabisa. Mkitaka maelezo zaidi mnaweza kwenda kwenye account yake ipo...
Back
Top Bottom