tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya Tanzania katika Michezo ya Olympic: Mpango wa Miaka mitano.

    Mwaka 1964 ndio ulikuwa mwanzo wa Tanzania kuanza kupeleka wanamichezo kwenye michezo ya Olympic na tumekuwa tukifanya hivyo kila wakati isipokuwa michezo ya Olympic ya mwaka 1976 huku pia tukiwa hatujawahi kushiriki kwenye ile michezo ya Olympic ya Winter. Katika michezo hii toka mwaka 1964...
  2. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Orodha ya kampuni za kubeti Tanzania

    Tasnia ya betting Tanzania imekua Sana kwa Sasa Kuna kampuni za kubeti mtandaoni zaidi ya 30. Hapa nitakuwekea list ya kampuni zote za betting . Tahadhari betting Ni mchezo wa kujifurahisha na sio ajira Wala utajiri. Cheza kwa kiwango ambacho hutaumia endepo utapoteza. Betting inaweza...
  3. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Tanzania huenda kuna hila kuigeuza Congo mashariki kwa ghasia ili wavune maliasili.

    Ukifikiria sana haya mauaji na utekaji watu usio na jibu na kisha chama kimoja cha siasa kuiandama serikali kama ndio inahusika unaweza kujiuliza maswahi mengi bila kupata majibu. Tunavyojua wale tunaojua nchi za magharibi wameazimia nchi za Afrika lazima wasiweze kuendelea kwa kutumia maliasili...
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Namna bora kama Tanzania kuwawezesha watoto wetu kupata elimu bora zaidi kupitia ushirikiano na serikali za nchi rafiki

    Hakuna ambaye hapendi kuona mtoto au kijana wake akipata maarifa bora na elimu ambayo mwisho wa siku itamsaidia katika maisha yake. Elimu ambayo inakwenda kumuinua zaidi mtoto na kumfanya awe msaada kwa familia, jamii na taifa kwa ujumla. Ni jambo zuri sana ukimuona mtoto wako akitumia maarifa...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kila kitu Zanzibar now. Mchezo wa Ligi ya Tanzania bara Azam vs Simba kuchezwa huko

    Ligi ya Tanzania bara Azam vs Simba Ligi ya Tanzania inachezwaje Zanzibar.. Zanzibar wanashiriki mashindano ya CAF, na wametoka. Ila Yanga wameenda kucheza Zanzibar mechi ya Kimataifa vs cbe. Je haya yanayotekea kulikoni? How come Zanzibar wana ligi yao afu ligi ya Bara ichezwe kwao. Hayo ya...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Jean Othos Baleke aje haraka sana atuombe Msamaha Simba SC, akikaidi Kocha Gamondi ataendelea Kumkandia aione Tanzania Chungu

    "Nitakuwa ni Kocha wa ajabu niache Kuwapanga akina Dube na Mzize ambao wananionyesha bidii kubwa kuanzia Mazoezini na hata katika kila Mechi ambazo huwa nawapanga halafu nimpange Baleke ambaye hata nikimpa tu nafasi kwa dakika chache hakuna anachonipa" amesema Kocha Mkuu wa Yanga SC Miguel...
  7. Mel James

    JamiiForums Tanzania Makabila wanayokula karibu wananyama wote nchini

    Naanza na mmakonde hawa jamaa ni kama Wachina Tu hawali Kinyonga tu hicho kimewashinda. Ila Mzoga wowote akiokota lazima uingie tumboni. Wahadzabe, hawa jamaa ni hatari porini hadi nyoka akiwaona anatafuta shimo la kuingia hawaachi kitu. Wasafwa wa Mbeya wanakula karibu kila nyama ila kwa...
  8. Nasdaq

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya Shilingi ya Tanzania baada ya kuporomoka dhidi ya Dola ya Marekani?

    Ukweli ni kwamba tokea mwaka 2023 shilingi ya tanzania imeporomoka kutoka 2330 mpaka 2730 kwa dola moja ya marekani ukilinganisha na shilingi ya majirani zetu KENYA ambao shilingi yao inazidi kupata nguvu dhidi ya dola ya marekani hasa mwaka huu wa 2024 Nini maoni yako, wapi tunakosea...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kabla ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kabla ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika katika uwanja wa Majimaji Songea mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024.
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Tanzania citizens ignored protest by opposition leaders

    #Alternative News# Majority of Tanzanian citizens have ignored the call from Tanzania main opposition leader to protest against President Samia Suluhu Hassan. The incumbent President Samia is known for her endless efforts and resillience towards opposition since came into power. Many...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Wataalam naombeni jibu, Ikiwa Zanzibar itakuwa inatoa maraisi wanne (40%) katika kila Marais 10, kuna madhara yapi positive na negative?

    political scientists naombeni jibu
  12. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Biashara ya solar Panels nchini Tanzania

    Habari za wakati huu wana Jf naomba kujuzwa undani wa biashara hii ya solar panels kwa hapa nchini kwetu Tanzania, Vifaa vitegemeavyo solar power na ni kwa kiwango gani solar system and panels zinahitajika Nchini Tanzania(Maeneo yapi nchini) na ni kwa matumizi yapi?
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Maandamano ya CHADEMA yamefanikiwa kwa 100%

    Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho...
  14. briophyta plantae

    JamiiForums Tanzania RICARDO LAIZER.from Arusha Tanzania at UCI world championship at ZURICH

    🚨"THIS IS ONLY THE BEGINNING", SAYS LAIZER Right after the finish line of the UCI World Championships in #Zurich2024, here is what Richard Laizer told us: “I am very happy with my first Cycling World Championships! I could feel a very special, warm and powerful atmosphere with the crowds and...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Acheni tu huyu Dotto Magari aendelee Kutudharau Sisi Wasomi wa Tanzania na ninakubaliana nae kwa 100%

    "Wasomi nikiwa nawasema Kutwa msiwe mnanichukia kwani nawatoeni Ushamba na nawafundisha jinsi ya Kufikiri. Unakuta Msomi ananunua Simu aina ya Iphone 15 yenye Thamani ya Shilingi Milioni Tano halafu unakuta amepakuwa App ya Bolt. Sasa kwanini hiyo Shilingi Milioni Tano yako usingenunua tu...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kwa Udhamini wa Mkutano wa Kimataifa wa Connect2Connect Africa, Helios Towers, Yazidi Kuing'arisha Tanzania, Kitaifa na Kimataifa, Yastahili Pongezi.

    Kampuni ya Helios Towers, inayoongoza kwa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya minara, imepongezwa kwa kuing’arisha Tanzania kitaifa, Afrika na kimataifa, kulikopelekea mkutano wa 8 wa Connect 2 Connect (C2C) Afrika 2024, kuja kufanyikia Tanzania, Hellios akiwa ndie mdhamini mkuu wa mkutano...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Je leo Mamlaka zitaonyesha ukomavu wa Kifikira na kisiasa kama Jeshi la Ruto? Huu ni Mtihani Mwingine kwa Tanzania

    Nchi ikifika level kama ya kenya jinsi Jeshi la Nchi ikiwemo Polisi, usalama na Jeshi lao la ulinzi lilionesha utimamu na ustahamilivu wa hali ya juu sana. Yaani Majeshi yote ya Kenya yalionekana kuwa Imara na kwamba they are Unprovocable for Little things kama Maandamano. Na Jeshi lilishinda...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Spider Mousa Camara ndiye kipa bora kwasasa nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla

    Golikipa namba moja wa Simba SC Camara kwa sasa ni kipa namba moja Tanzania na Afrika Twende kazi kwa uchambuzi zaidi Ukibisha sikushikii kiboko
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa Watanzania Ma CEO Makampuni ya Kimataifa, Je Tunao?, Tuna Uwezo?. Big Up Helios Towers, Kuing’arisha Tanzania, Fursa kwa Watanzania!

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa. Mara yangu ya kwanza kutinga New York, kutembelea Makao Makuu ya UN, nilitembezwa sehemu mbalimbali za UN, huku nikitambulishwa kwa staff wa UN ambao ni Watanzania, ukiondoa UN Radio, huko kuingine kote Watanzania ni wa...
  20. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania CCM ndio imebeba dhamana ya kudumisha amani au kuleta machafuko ndani ya Tanzania

    Naomba niseme yafuatayo, CCM yenye kufuata demokrasia, yenye kuheshimu sheria na katiba, CCM yenye ufahamu kuwa haina umiliki wa Tanzania bali li inadhamana ya watanzania ndio itadumisha amani na utulivu. Utawala wenye kuzingatia ukatiba na misingi ya demokrasia ndio nguzo ya amani na utulivu...
Back
Top Bottom