tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi Tanzania ni Wazubavu, Watu wenye tabia ya Kuzubaa

    Kuna ka-reserch nimekafanya kwa muda kidogo kuhusu tabia za watanzania na kugundua kuwa watanzania wengi wana tabia ya kuzubaa, akili kama inachelewa kuload, kuchelewa kufikiri na kutofanya maamuzi kwa usahihi na kwa ufanisi, Ninachelea kusema kwamba maisha ya watanzania ni mabovu kwasababu ya...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Siku Muhimu ya Kuliombea na Kulipongeza Jeshi la Polisi Tanzania kwa Kudumisha Amani na Utulivu Nchini

    Mpaka sasa umoja, amani na utulivu wa wananchi katika kila kona na pembe ya nchi, ni imara na kuna usalama wa kutosha na wa uhakika sana. Hii ni ishara kwamba vyombo vingine vya ulinzi na usalama nchini, viko tayari kujitolea kulinda wananchi na viko imara zaidi. Hakuna kitisho cha vurugu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Balozi kaamua kuungama hakika tanzania ni taifa imara

  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kukosoa Taarifa za Mange Kimambi na Msimamo wa Serikali ya Tanzania

    Kukosoa Taarifa za Mange Kimambi na Msimamo wa Serikali ya Tanzania Katika miaka ya karibuni, Mange Kimambi ameibuka kuwa mmoja wa watu maarufu kwenye mitandao ya kijamii akijipambanua kama mwanaharakati wa kisiasa na kijamii, hasa akilenga kupinga sera na uongozi wa Serikali ya Tanzania. Hata...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Hodi Hodi Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia

    Hodi Hodi Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia Tarehe 23-28 Septemba, 2024.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Aimiminia Sifa Na Pongezi Tanzania kwa Kuwa Kinara wa Amani Barani Afrika.

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Antonio Guterres Ameimiminia sifa na pongezi kubwa sana Tanzania chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kuwa Kinara wa Amani...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania yashinda Tuzo ya Ubora katika Usalama

    Johannesburg, Afrika Kusini, tarehe 19 Septemba 2024, Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania kupitia Kiwanja cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) imepokea tuzo ya kuwa Kiwanja chenye Ubora wa Usalama Afrika kwa mwaka 2024. Tuzo hii imetolewa na Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege (Airport...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania maombolezo kwa maandamano ni utamaduni kutoka kabila gani hapa Tanzania?

    Hivi maombolezo imekuwa ni dhihaka kiasi hiki??Maombolezo sio ibada ...?? Eti maombolezo kwa kuingia barabarani na slogan ya SAMIA MUST GO.... hawa vibaraka wa mabeberu wanatuletea tamaduni za nchi gani?? #KATAA WAHUNI
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Saudi Arabia kushirikiana kudhibiti Uhalifu Mtandaoni

    TANZANIA NA SAUDIA ZAINGIA MAKUBALIANO KUDHIBITI UHALIFU Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini hati ya makubaliano na Serikali ya Saudi Arabia makubaliano ambayo yanaenda kugusa sekta mbili muhimu za usalama ikiwemo udhibiti wa makosa mbalimbali ya uhalifu kwa kutumia utaalamu na...
  10. Musoma Yetu

    JamiiForums Tanzania Uelekeo wetu, viongozi wetu na tulipofikia: Tanzania au TANZIA?

    Ndugu zangu habarini za hapa jamvini....! Musoma yetu niliwamisi sana hapa jamvini. Ni takribani miaka 4 sikuwa active humu, mara ya mwisho ilikuwa 2021! Ni mengi tumepitia hii nchi toka 2015_2024! Nilichogundua 1) Wananchi wanaipenda nchi yao, ila viongozi wengi hawana mlengo huo! Wapo...
  11. God is Dead

    JamiiForums Tanzania Je, Transhumanism na post humanism itawahi kutia mguu Tanzania?

    Kwanza kabisa nianze kwa salamu Ndugu watanzania mpaka hapa tulipofikia, tayari tunaishi na makundi matatu ndani ya nchi moja licha ya kudai kuwa sisi ni wamoja Kundi la kwanza ni hawa jamaa wanaotumia lugha ya kiasili katika kuhifadhi silka za kupambania uhai, hapa mila na desturi za makabila...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kamishna wa Ustawi wa Jamii Tanzania Dkt. Nandera E. Mhando atoa neno kwa Maafisa Ustawi, Moshi Kilimanjaro

    Kamishna wa Ustawi wa Jamii Tanzania Dkt. Nandera E. Mhando atoa neno kwa Maafisa Ustawi, Moshi Kilimanjaro.
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro: Tusitumie Haki za Binadamu Kuharibu Utamaduni wa Tanzania

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ametoa rai kwa Watanzania kuacha kuiga utamaduni wa watu wa mataifa mengine kwa kisingizio cha Haki za Binadamu. Mhe. Ndumbaro ametoa rai hiyo, Septemba 20, 2024 katika uwanja wa Majimaji Songea mkoani Ruvuma wakati akifungua...
  14. snipa

    JamiiForums Tanzania TUSD Mabadiliko katika sarafu bandia Tanzania

    Wadau ni muda umepita sasa Bila kugusia sarafu bandia, lakini ni wakati sasa wa kuangalia kuhusu hizi sarafu bandia na wengi mnaoelewa muwaepushe watanzania na ponzi scheme. Jambo kubwa naweza sema hapa ni usalama wa pesa zetu kwasabu coin zipo nyingi baadhi ni stable na baadhi ni unstable...
  15. F

    JamiiForums Tanzania GEN_ wananyoosha Kenya, wasiojulika wana run Tanzania

    GEN-Z WANANYOOSHA KENYA, WASIOJULIKANA WANA-RUN TANZANIA DESEMBA 9, 1961, Tanganyika ilipopata uhuru, Watanganyika wote walisherehekea kuwa huru. Baba wa Ali Kibao, babu wa Deusdedith Soka na bibi wa Ben Saanane, walikuwa juu kabisa kwenye wingu la tisa, kwa furaha. Uhuru ni chemchemi ya utu...
  16. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Utalii Tanzania

    Friday, September 20, 2024  In the first seven months of 2024, the international tourism landscape witnessed an impressive surge in visitor arrivals in several countries, showcasing not only a recovery but, in some cases, a significant out performance compared to pre-pandemic levels. Among...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatunukiwa Tuzo ya Ubora wa Usalama wa viwanja vya Ndege Kimataifa

    Tanzania kupitia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini (TAA) imetunukiwa tuzo na Taasisi ya Kimataifa ya Tathimini za Huduma na Ubora wa huduma za usafiri wa anga (ACI) kwa kuwa moja kati ya nchi zenye viwanja vya ndege vyenye ubora wa usalama duniani. Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Profesa...
  18. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Mwingine Auawa; Jeshi la Polisi Fanyeni Uchunguzi na Mtupe Taarifa.

    Pichani ni kijana aitwaye Aziz Alumini Njombi wa huko wilaya Nanyumbu. Huyu kijana hajihusishi na siasa wala mambo ya uanaharakati na kazi yake ni afisa usafirishaji a.k.a bodaboda. Mnamo tarehe ya jana yaani 19/9/2024 alitekwa na mtu aliyembeba kama abilia ila inasemekana hakuwa abilia bali...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

    Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania. Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni...
  20. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Wayahudi wa Arusha - Jumuiya ya B’nei Lawi nchini Tanzania

    Na Peres Parpaih (pia anajulikana kama Yehudah Amir Kahalani, jina lake la Yemeni), Moreh (mwalimu) wa Jumuiya ya B’nei Lawi nchini Tanzania Israeli iko karibu na Afrika Mashariki na ulimwengu wa Kiarabu kuliko nchi nyingine yoyote. Kwa sababu ya uhusiano huu wa kijiografia, Wayahudi katika...
Back
Top Bottom