tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu: Kachukueni fomu mapema, msisubiri tarehe 1 itakula kwenu "Tuwe Wajeuri, Watu Jeuri Watashinda Uchaguzi”

    Tundu Lissu awafunda watia nia wa nafasi ya Uongozi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa akiwa Jimboni Kibamba katika Semina iliyofanyika Kata ya Kawe na kuwataka kutofanya makosa ambayo yatasababisha kupoteza kwenye Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Lissu amewataka Watia nia...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Mpira Tanzania tupunguzeni au ikiwezekana kabisa tuache upesi huu Ushamba ambao Unaboa

    Kama ulikuwa unawaza nahodha wa Simba, Mohamed Hussein 'Tshabalala' anaweza akatundiga daruga hivi karibuni, basi sikia majibu yake. Tshabalala amejibu swali aliloulizwa na Mwananchi kutokana na kucheza kwa kiwango bora ndani ya misimu 10 katika kikosi cha Simba hawazi kustaafu? Na haya ndiyo...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kwanini mageuzi ya kusitasita ya Rais Samia yanachochea hasira ya kisiasa nchini Tanzania?

    Chanzo cha picha,Reuters Maelezo ya picha, Kiongozi wa chama cha upinzani Chadema Freeman Mbowe amekamatwa mara mbili wiki za hivi karibuni Maelezo kuhusu taarifa Wimbi la hivi karibuni la utekaji nyara, kukamatwa na mauaji ya kikatili ya kiongozi mmoja wa chama cha upinzani nchini Tanzania...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera akataa Uamuzi wa Mahakama, apanga kukata Rufaa dhidi ya Vodacom Tanzania

    Baada ya Mahakama Kuu Masjala ndogo Dar es Salaam kuifuta kesi ya mwanahabari Erick Kabendera, aliyokuwa ameifungulia kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited, ameibuka na kudai kuwa amepanga kukata rufaa kwenye Mahakama ya Rufani Tanzania baada ya...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mahakama yakataa maombi ya Serikali, Dhamana ya Boni Yai sasa kutolewa Oktoba 7, 2024

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya Serikali kuwasilisha kiapo cha ziada katika kiapo cha awali cha kupinga dhamana ya aliyewahi kuwa Meya wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob, maarufu kama Boni Yai. Jacob, maarufu kama Boni Yai, mkazi wa Mbezi Msakuzi, Dar es Salaam...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Je, Yanga ameshuka Kiwango na kutafuta visingizio au ndio Propaganda za soka la Tanzania?

    Wataalam wa Sayansi ya mpira tujadiliane kidogo kuhusu hili linaloendelea mitandaoni Tangu mechi ya kwanza ya Ligi Kuu, Yanga akiwa ugenini dhidi ya Kagera Sugar licha ya kushinda bao 2-0 bado kulizuka mijadala kuhusu kiwango chao, hata mechi zilizofuata (na CEB 1-0, Ken Gold 1-0 zote ugenini)...
  7. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Ndege ya kwanza kutengezwa Tanzania yaanza safari zake

    Kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) yenye makao yake Morogoro, imetangaza kuanza safari za ndege tatu za kwanza zilizotengenezwa Tanzania, aina ya Skyleader 600. Mkurugenzi wa AAL, Bw. David Grolig, alisema ndege moja imetua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kama sehemu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe hili suala la mikataba ya siri sio Tanzania tu na bandari zetu, huko Kenya raisi anahusishwa na kutaka kutoa Jomo Kenyatta Airport kwa siri!

    Karibu viongozi wote wa Afrika wana tabia moja inayofanana - kujitajirisha binafsi kwa kuingia mikataba ya siri inayoumiza nchi zao, huku wakidanganya umma mikataba hiyo ni kwa faida ya nchi zao. Mtu yeyote mwenye akili atajua kwamba mkataba ambao kweli una nia ya kuinufaisha nchi hauwezi...
  9. D

    JamiiForums Tanzania CAF Referee training ipo Tanzania. Ila marefa wa Tanzania hawataki kwenda

  10. I

    JamiiForums Tanzania Tanzania ikitaka kuwa salama ijiepushe kushirikiana na nchi za Mashariki ya Kati

    Ukiondoa magaidi ya madawa ya kulevya yaliyopo nchi za Caribbean na America ya Kati ambao wanaendesha biashara ya madawa ya kulevya, nchi hatari zaidi dunia kushirikiana nazo na hasa kwa nchi za Kiafrika ni za Mashariki ya Kati. Vita vyote vinavyopiganwa Afrika hivi sasa vina mkono wa UAE...
  11. milele amina

    JamiiForums Tanzania BABU: Utawala wa Rais Daniel Moi wa Kenya ( 1978-2002) unafanana na utawala wa Rais Samia wa Tanzania (2021-2024).

    Utawala wa Daniel arap Moi nchini Kenya, ambao ulidumu kuanzia mwaka 1978 hadi 2002, unakumbukwa kwa matatizo mengi, ikiwa ni pamoja na utekaji wa raia, ukandamizaji wa viongozi wa kisiasa, na mauaji. Hali hii inaonekana kuwa na uhusiano wa karibu na utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan wa...
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania P Diddy hana wateja wake Tanzania?

    Mwanamuziki wa Marekani, P Diddy amekumbwa na makosa mengi ya uhalifu dhidi ya binadamu ikiwemo sexual trafficking. Aliwasaidia baadhi ya watu kwa yeye kujifaidisha kwanza. Tuna watu hapa Tanzania ambao wameibuka kiuchumi from no where ambao huenda wamepitia magumu ya P Diddy na wenzake wa aina...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kuna chuki naanza kuiona inachomoza Tanzania

    Kuna chuki naanza kuiona inapandikizwa ndani ya Tanzania, kitu ambacho siyo kizuri kwa mstakabali wa nchi yetu, kilichotokea Mbeya ni mfano mdogo tu wa kundi la watu wengi wanaoamuliwa cha kufanya au kufuata na kikundi cha watu wachache, huwezi kumlazimisha binadamu apende asichokitaka, hata...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuchua maumivu kwa jina la Salimia. Je, bado ipo na inapatikana kwenye maduka ya dawa ya Tanzania?

    Wakuu habari za asubuhi kwetu sote, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kufahamu juu ya uwepo wa dawa ya Kuchua Maumivu ya SALIMIA kama bado ipo na upatikanaji wake kwenye Maduka ya Dawa ya Tanzania hasa pharmacy kubwa na ndogo za mikoani. Ni hivyo tu shukrani Wadiz
  15. Richard

    JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam afikiria kupeleka madai Jumuiya ya Madola ya kutaka Tanzania ifutwe wanachama kutokana na kunyamazia vitendo vya utekaji na mauaji .

    Mwanasheria wa kimataifa Robert Amsterdam apanga kufikisha madai kwenye Jumuiya ya Madola ya kuitaka jumuiya hiyo kuifuta uanachama Tanzania kutokana na mambo yanoendelea nchini hususan watu kutekwa, kuteswa na kuuliwa huku serikali inoongozwa na CCM ikikaa kimya bila kuchukua hatua yoyote...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa nchi ya kitoto toto! Hatuku makini kama zamani

    Tanzania ya sasa sio ile ya zamani. Pamoja na ukuaji wa habari na teknologia kuna ongezeko kubwa la watoto na vijana wengi. Umri wa kati Tanzania ni miaka 19. Tusishangae kuona wasanii wamejaa kwenye mikutano ni kwasababu yangu vijana wadogo. Kijana wa miaka 21 hawezi kujali katiba au kuelewa...
  17. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

    Jeshi la Israel limethibitisha kuuliwa kwa GS wa Hezbollah Hassan Nasrallah baada ya mashambulizi ya jana. Hapo mwanzo ilisemekana ni mzima ila Israel ilisubiri kuthibitisha kuuliwa kwake. Yasemekana kuwa ndani ya eneo hilo hakuna chochote kilichobaki kizima, na huenda mwili wa Nasrallah...
  18. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Huwezi pata watendaji wazuri ikiwa utaongoza kwa umungu mtu!

    Hiyi nchi sio kwamba viongozi walio chini ya uongozi mkuu hawawezi wajibika hapana isipokuwa mamlaka aliyopewa Raisi ni makubwa kuliko uhalisia au uwezo halisi. Mimi naamini tuna viongozi bora sana na wenye nia ya kujituma ila kwakuwa mkuu ndio mwenye mamlaka ya kila kitu kitachofuata utafanya...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania Women's Bank iliishiaga wapi?

    Benki pendwa hii iliishiaga wapi? Bongo ukifa maskini umetaka mwenyewe.
  20. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tanzania Muslim & Youth Association (TAMSYA) toeni tamko yanayoendelea Lebanon

    Watukufu Viongozi wa TAMSYA, Assalam Aleikum. 1. Je hamuoni mashambulizi dhidi ya Lebanon, Hezbollah si haki na anaonewa? Mbona hamtoi tamko lolote? 2. Hizi Dhuluma zitakwisha lini? 3. Dunia inasubiri tamko lenu Wasomi.
Back
Top Bottom