Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Kama BAKITA kweli taasisi zingine za Lugha na sanaa zinatambua na kuenzi kazi za sanaa, basi nadhani wasanii hawa walipaswa kuenziwa na ikibidi kuthaminiwa sana na serikali kwa kuwashirikisha katika matukio muhimu ya sanaa badala kuwashirikisha watumbuizaji peke yao ambao hawana mchango wowote...
Ripoti ya Taasisi ya Mo Ibrahim Foundation (MIF) imeonesha kwa kipindi cha mwaka 2022, nchi 10 tu za Afrika zilipokea karibu nusu ya Misaada yote ya Kimaendeleo kutoka kwa Wafadhili wa Nje iliyokadiriwa kufikia zaidi ya Tsh. Trilioni 103.34.
Aidha, kwa mujibu wa takwimu za Shirika la...
Jinsi Kutengeneza Kipato Endelevu Kwa Ukodishaji Wa Mashamba Kwa Wakulima Hapa Tanzania
Kutengeneza kipato endelevu kwa kuwakodishia mashamba kwa wakulima ni fursa nzuri ya biashara kwa wale wanaomiliki ardhi ya kutosha hapa Tanzania.
Katika mazingira ambapo kilimo ni sekta muhimu kwa uchumi...
I’m not sure about the veracity of the contents of this YouTube video, but watching it, I get some AI vibes.
Hebu iangalieni na nyie. Sikilizeni jina la Chenge [Andrew] linavyotamkwa.
Huyo msimulizi ni mtu kweli au ni mtu bandia?
https://youtu.be/xgjJHr6jOYI?si=ZM2fkoImmn6LBzVz
Wasalaaam.
Mheshikiwa Raisi wa Tanzania, waziri wa afya, na mamlaka husika za afya naomba mpitie hii uzi
Leo kuna jamaa yangu kanionyesha bidhaa zake anazouza NeoLife. Ila nimegundua kuwa bidhaa hizi zinaweza kuleta matatizo makubwa ya afya nchini.
Kwa sababu gani? Mfano hii bidhaa ya...
Wakuu,
Wapi hapa nchini zinapatikana tyre za GOODYEAR, size: 185/65/15 EFFICIENT GRIP PERFORMANCE?
Nimeulizia sana kwa Dar, Mwanza, Arusha, Moshi, kote hakuna!
Si AUTOXPRESS TZ wala AUTOMECHANIX TZ... wote wanasema hawana Goodyear.
Mwenye uhakika wa zilipo hizo tyre, naomba kufahamu...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi nyingine duniani katika kukuza uchumi wa kidijitali kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanywa katika sekta ya TEHAMA.
Waziri Silaa aliyasema hayo wakati akifungua kikao...
Hivi Kwa utajiri wa Hawa jamaa wanawezaje kuishi Tanzania yaani mipesa kibao na umri umeshaenda baada watafute sehemu ya kuishi American au Europe wao kila siku wanakula vumbi la Tanzania na kudhamini vitimu vya mpira ambavyo havitakuja kuwa na ukubwa wowote kulinganIsha na klabu za Ulaya mpaka...
Ujenzi wa Bandari ya kwanza ya uvuvi nchini Tanzania, Kilwa Masoko, iliyoko kwenye pwani ya Bahari ya Hindi katika mkoa wa Lindi, uko karibu kukamilika, ikiwa tayari imefikia asilimia 70. Mradi huu ni hatua muhimu katika mkakati wa Tanzania wa kukuza sekta ya uvuvi wa bahari kuu na kuboresha...
Hadithi ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) inazidi kupamba moto, na sasa tumebakiza siku tisa tu hadi wasanii wetu wapate fursa ya kutunukiwa heshima kuu kwa kazi zao za ubunifu. Tuzo hizi hazina maana tu ya kusherehekea ushindi, bali zinawakilisha moyo wa kujituma, ubora na vipaji ambavyo...
Kamati ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), wametangaza kuwa sherehe ya utoaji wa tuzo hizo itafanyika rasmi tarehe 19 Oktoba 2024, kuanzia saa nane mchana. Tuzo hizo zitatolewa katika Ukumbi wa The Super Dome, Masaki, Dar es Salaam.
Vipengele...
Serikali ya Ujerumani inaunga mkono serikali ya Israeli kwa yale yote ambayo Netanyahu anawafanyia waarabu wa Palestina, Lebanon na kwingineko. Serikali ya Ujerumani inaipatia serikali ya Israeli misaada ya silaha na pesa kutekeleza hiyo genocide ya wapalestina.
Huo ndiyo msimamo wa serikali ya...
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni msingi wa umoja wetu, lakini nyuma ya pazia hili, kuna historia iliyofichwa na hisia ambazo mara nyingi hazizungumzwi. Migogoro ya Muungano huu imekuwa ikijitokeza mara kwa mara, na wengi hujiuliza, je, kweli tunaelewa mizizi ya matatizo haya?
Nikiwa...
Najaribu kauangalia kikao cha mawaziri cha Kenya naona wako very profesional, tunakwama wapi kikao cha Mwaziri Tanzania utazania kikao cha kupitisha tenda? Au ni wanapitisha tenda za Waarabu walio tenda juu zaidi kununua nchi?
Hii ni kikao cha Mwaziri Dodoma.
Hapa ni Nairobi kikao cha...
Alhamis ya leo Oktoba 10, Taifa Stars itakuwa dimba la ugenini ikicheza na DRC, mchezo wa kuwania kufuzu fainali za AFCON 2025 nchini Morocco. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:00 usiku
Pia soma ~ Samatta arejeshwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi ya kufuzu AFCON 2025 vs DR...
Huyu ndo waziri wetu wa mambo ya nchi za nje hivi sasa, Mh. Mahmoud Thabit Kombo akiwa kikazi huko Afrika Kusini alipofanya mahojiano na runinga ya SABC.
Toa tathmini yako. Kafanya vizuri au kaharibu?
Tanzania na Finland zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) kuhusu kufanya rasmi Mashauriano ya Kisiasa kati ya nchi hizo mbili. Uwekaji saini huo ulifanyika leo tarehe 09 Oktoba, 2024 jijini Helsinki na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo kwa niaba...