Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Niliyoyashuhudia ziara ya Rais Obama 2013 sitayasahau.
Kwa mara ya kwanza nilishuhudia barabara za jiji la Dar zikipigwa deki.
Siku Obama anatua jijini ilikuwa kama siku ya kiyama, mji ulisimama, nakumbuka tulikuwa tunaenda kulipa mahari ya rafiki yetu maeneo ya Msasani, tulitumia masaa kama...
Tanganyika na Zanzibar tunashindwa nini kuunda timu Moja imara ya kushinda makombe Africa na duniani. Shida ni vipaji hakuna, makocha hakuna, mashabiki haukuna na uongozi wa nchi?
tumerogwa?
Leo Jumanne, Taifa Stars itakuwa dimba la Benjamin Mkapa kwa kazi moja tu kusaka ushindi dhidi ya DR Congo katika mechi ya kuwania kufuzu AFCON 2025 nchini Morocco.
Mechi hii itachezwa saa 10:00 jioni
Mpira umeanza kipindi cha kwanza na DR Congo ndiyo wameanzisha gozi.
Dakika, 2 Stars...
Kuna utamaduni wenzetu wanao, mchezaji akifikisha umri au stage fulani anatangaza mwenyewe kwamba mwaka huu ni mwaka wangu wa mwisho kutumikia timu ya taifa.
Hii ina faida kubwa sana kwa mchezaji. Kama umecheza kwa muda mrefu, watu watataka waweke kumbukumbu zako za mwisho ukichezea timu ya...
Ukipewa akili tumia akili ipasavyo na kwa faida ya wote na kwa muktadha mpana wa kitaifa kwa manufaa ya Jana, Leo na Kesho.
Je, kwani Tanzania kulikuwa na kitu gani? Kilifanywa na nani kwa ajili ya nani, kwa mnufaika yupi na muathirika yupi?
Rais Hassan aliwaza nini kuhusu 4RS mpango kazi wake...
Leo Oktoba 14, 2024 tunakumbuka kifo cha muasisi wa Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliyefariki siku na mwezi kama leo mwaka 1999 takribani miaka 25 sasa imepita
Baada ya Tanzania kupata uhuru wake mwaka 1961 Mwalimu Nyerere alipata kufanya ziara nchini Marekani (USA) alikutana na Rais...
Kwa pesa na umaarufu nilio nao kuna umuhimu wa kumiliki bastora ili inisaidie kujilinda maana uwezo wa kuajili mabodigadi sometime wanaweza kula rushwa waniuze Boss wao.
Wakuu naombeni mwenye kujua bei na zinakopatikana na sheria zake?
Ona pia
Inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na Rais wao, Rais wa Tanzania, kimsingi, ni Rais wa bara?
Si kosa CHADEMA kuingia katika uchaguzi mkuu 2025 na sera kwamba wakishinda uchaguzi watahakikisha Tanganyika wanapata serikali yao ndani ya muungano...
Upendeleo wa kijinsia umekuwa mojawapo ya vikwazo vikubwa vinavyowakabili wanawake nchini Tanzania katika kujihusisha na siasa.
Wanawake mara nyingi hukumbana na mtazamo hasi kutoka kwa jamii, ambapo nafasi za uongozi zimekuwa zikihusishwa zaidi na wanaume.
Utamaduni wa kijamii unawapa...
Katika ulimwengu wa kisiasa, wanawake wanakutana na vikwazo vingi vinavyozuia ushiriki wao kamili. Na sio tu kwa nafasi kubwa kama Ubunge na Urais, kuanzia huko kwenye Uwakilishi wa Serikali za Mitaa na Udiwani
Upendeleo wa kijinsia na ukosefu wa rasilimali ni baadhi ya changamoto kubwa...
BIASHARA ZA SIMU NA KOMPYUTA NA UAGIZAJI: BEI ZETU ZOTE KWA BIASHARA TANZANIA
📦 Bei Nzuri Za Simu, Laptop, nHuduma za Uagizaji Bidhaa
➡️Kwa wale wanaoagiza bidhaa kutoka China, ikiwa ni pamoja na simu 📱, kompyuta 💻, kamera 📷, na bidhaa nyingine ambazo ni vilipukizi hasa kwa njia ya mdege...
Oktoba 13, 2024, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefunga rasmi Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini yaliyofanyika mkoani Geita.
Hafla hii ilikuwa ishara nyingine ya uongozi wa kipekee wa Rais Samia, ambaye ameendelea kuweka mbele maendeleo ya sekta muhimu...
Ina sikitisha sana leo hii ukienda kubadilisha fedha ya Tanzania
kwa dollar au kwa shiling ya Kenya rate ni kama ifuatavyo
1 US Dollar unatakiwa utoe 2700 Tsh
1 Ksh itabidi utoe 25 Tsh
Swali kwa Wana uchumi je kuna jitihada zozote za kuinusuru shiling yetu iwe na
thamani...
Hii ni list kuonyesha namna Tanzania iko mbali sana tuu
Hii hapa list namba 7 na 8 zitakushangaza
1. TZ tuna Iconic figure wa Africa Nyerere🇹🇿
2. Best and longest SGR in Africa ipo Tz 🇹🇿
3. Lugha ya Kiswahili ni ya Tz 🇹🇿 na inazungumzwa Africa na dunia kote
4. Mlima mrefu kuliko yote Africa...
Usafiri wa anga nchini Tanzania ni usafiri ghali na wa gharama ya juu hadi kufikirisha ukilinganisha na mataifa mengine yakihusisha na safari kutoka bara moja hadi bara jingine.
Usafiri wa anga chini ya Air Tanzania kwa kiasi kikubwa ukisaidiana na Precision Air unaonekana kama umewalenga...
Wakuu salamu.
Ningependa kwa anaejua hivi Open University of Tanzania website yao imepatwa na ugonjwa gani?
Kuna mdau alifanya application ya kuomba nafasi undergraduate kwa kutumia Online application cha kushangaza baada ya hapo ni kwamba km website imepotea hajui km amechaguliwa au...
Masuala ya utekaji yametokea kwa watu tofauti tofauti, ikiwemo wanasiasa wa upinzani na watoto zetu wadogo, bila shaka kwa uwepo wa hali hii kwenye taifa ni dalili tosha kwamba ndani ya taifa kwa sasa kuna biashara haramu ya binadamu kwa watoto.
Kwanini mambo kama haya hayaja kuwepo katika...
biashara
biashara haramu
biashara haramu ya binadamu
binadamu
dalili
haramu
ndani
suala
taifa
taifa letu
tanzania
utekaji
uwepo
wadogo
watoto
watoto wadogo
Kwanza ni hatua kubwa sana tumepiga kwa kuwa na kiwanda cha kutengeneza ndege nchini. Tunapaswa kujipongeza. Kampuni ya Skyleader wanakiwanda cha kuunda ndege mjini Morogoro. Je ndege hizi zinagharimu kiasi gani?