tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Tman900

    JamiiForums Tanzania Mtandao gani una huduma bora Tanzania?

    Mtandao gani wa simu Tanzania una masiliano Mazuri na Uhakika Tanzania au Ambao unaongoza kua na Huduma nzuri na Zenye Uhakika kwa mtumiaji.
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Website ya Air Tanzania imepatwa na nini?

    Nahitaji ku-book ticket kwenda Kigoma tarehe 12/11/2024. Naingia website ya Air Tanzania naona manyota nyota (imestak) kulikoni?
  3. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania NI wilaya gani Tanzania yenye Sifa hizi?

    Natamani Sana nikija kufika miaka kuanzia 40 niishi nnje ya dar kabisa, nataman nipate wilaya yenye Sifa zifiatazo:- *maji Safi *Umeme *Ardhi yenye rutuba *Vyakula vya kutosha *Pawe panalimwa + ufugaji *Panafikika kirahisi kutoka mikoa mingine *Internet ya uhakika Nawaza Sana kuhusu chato...
  4. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Umma baada ya miaka 15 ijayo ndiyo itakayoleta Katiba Mpya Tanzania, na si CCM

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Kudai katiba mpya kwa CCM au wanasiasa ni sawa na kudai uhuru kutoka kwa "mkoloni" kwa sababu ya ubinafsi (egoism). Katiba ndio injini ya nchi yoyote ile duniani. Watanzania ni kama mgonjwa wa akili tu! Ambaye anamini kuwa katiba mpya italetwa na CCM au...
  5. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Tanzania na uganda zasaini makubaliano ya uimarishaji mpaka wa kimataifa

    Bukoba Tanzania na Uganda zimetia saini makubaliano ya uimarishaji mpaka wa kimataifa baina ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yalifikiwa wakati wa mwisho wa kikao cha Kamati ya Pamoja ya Wataalamu (JTC) kati ya nchi hizo kilichokuwa na lengo la kujadiliana namna ya kuimarisha mpaka wa...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbona Wachambuzi wa Soka la Tanzania katika Redio na Runinga sasa hawatuambii tena Timu bora kati ya Simba na Yanga ni ipi?

    Na walivyokuwa Wendawazimu na Watu wa kupewa Fedha na MSG watasema bado aliyefungwa Mechi Mbili katika Ligi Kuu ya NBC ndiyo Timu bora huku yule ambaye Kafungwa Mechi moja tu na sasa ndiyo anaongoza Ligi na huenda akaongoza hadi Ubingwa siyo Timu bora. GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kunaibuka kizazi ambacho baadhi ya watu wamwekuwa wakishabikia upuuzi wa kwenye mitandao ya kijamii kuliko masuala ya muhimu

    Fikiria suala la Pididdy lilivyowachukulia muda wao kulijadili kuluko hata kujadili suala muhimu la kilimo na elimu. Sasa hivi kichwani mwao ni suala la Baltsar Engonga. Kana kwamba ni wapuuzi wanaoshinda kudadadavua mambo Hawajui kuwa sayansi na technolojia ipo juu kiasi kwamba hata picha...
  8. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kenya asilimia 80 ya mijadala yao ni Siasa, Tanzania asilimia 96 ni mijadala ya Yanga na Simba.

    Kwenye Socia media za Kenya na hata vyombo vyao vya habari kama Tv na Radio station asilimia 80 ya mijadala na Mada zao ni siasa za Kenya. Asubuhi ukifungulia station zao Radio na Tv ni mada za siasa za Kenya. Tanzania asilimia 95 mada ni Yanga na Simha hizi ni mada za kutwa nzima asubuhi hadi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Stapled Hemorrhoidctomy should be banned in Tanzania

    Stapled Hemorhoidctomy - (The worst surgery for piles) (References / videos at the bottom of the article for public awareness) Hemorrhoid (Piles) (Bawasiri) patients should never do Stapled Hemorhoidctomy surgery and it should be Banned worldwide: During Stapled Hemorrhoidctomy the Anal...
  10. Magical power

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu amewapongeza Tabora United kwa ushindi wa goli 3-1 walioupata leo Novemba 7, 2024 dhidi' ya Yanga

    HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewapongeza Tabora United kwa ushindi wa goli 3-1 walioupata leo Novemba 7, 2024 dhidi ya Yanga SC. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rais Samia amendika hivi: “Pongezi kwa Tabora United kwa ushindi wenu dhidi ya...
  11. technically

    JamiiForums Tanzania Mtanipinga Ila mpira wa Tanzania bado umejaa siasa

    Tanzania upenda kubalance mambo katika kila nyanja Mpira wetu unapenda mambo ya kubalance Mliona miaka ya malinzi baada ya yanga kutawala mpira wa Tanzania ili kubalance akapotezwa kwa vile alishutumiwa anaipendelea yanga na kweli alikuwa anaipendelea. Akaja Karia akaanza kuibeba Simba miaka...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ni nani anapanda mbegu ya uongo, wizi, uhuni katika Uongozi na Utawala wa Tanzania?

    Tumsikilize Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Tsh. Bilioni 8 wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kutumika kupeleka umeme katika Visiwa 118

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza rasmi safari ya kupeleka umeme katika visiwa vyote Tanzania Bara huku ikiwahakikishia wananchi hao kuwa wote watafikiwa. Akizungumza wakati wa ziara ya Wabia wa Maendeleo walipotembelea miradi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wanaopanga ratiba ya ligi ya Tanzania hawaweki usawa katika timu

    Habari za mchana, kwa uchache wa maneno ukijaribu kufatilia kuanzi mechi ya kwanza had imefikia sasa mzunguko wa8 kwa baadhi ya timu, utaona utaona hamna mechi hata moja iliyoihusisha Simba, Yanga au Azam wakicheza majira ya sa8 mchana na ukifatilia ratiba yote haikuonyeshi mda huo kwa hizo...
  15. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapanda viwango Utawala wa Sheria Duniani katika Ripoti ya 2024 ya Mradi wa Haki Duniani (WJP)

    Tanzania imepiga hatua kuelekea mfumo wa Kisheria unaowajibika zaidi na wa haki, kama inavyoonekana katika Ripoti ya 2024 ya Mradi wa Haki Duniani (WJP) kuhusu Utawala wa Sheria. Hatua za utawala chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan dhidi ya ufisadi zimetajwa kuimarisha heshima ya...
  16. wakusoma21

    JamiiForums Tanzania Natafuta masoko ya uwakika ya nafaka ndani ya tanzania na nchi Jirani

    Habari za mapambano wanajamvi kama mada ilivyo hapo juuu. Nimekuwa nafanya biashara ya mazao (mahindi, maharage,mpunga,alizeti) kwa mda wa miaka zaidi mitatu yaaani mimi natafuta mzigo vijijini maeneo ya songwe na Rukwa napeleka soko la tunduma mataifani pia soko la mbalizi. Kuna baadhi ya mambo...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Uchawa umekuwa janga la kitaifa Tanzania

    Habarii ndugu zangu Watanzania??, Nilikuaga nachukulia suala la UCHAWA ni la watu wachache wasiojitambuaa Leo nimengudua ndugu yangu Ninaemheshimu Sana na ana Masters kabisa na yeye ni Chawa expert,,,,,,, UBINASFI,UBINAFSI,UBINAFSI Ee Mungu tusaidiee!!!!!
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wapiga kura wengi zaidi Tanzania wana imani kubwa mno na wagombea uongozi wa CCM pekee

    Hali hiyo hupelekea CCM madhubuti, kupata ushindi wa kishindo kwenye chaguzi zote huru, za haki na za wazi na kisha kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana. CCM hutumia dhamana na fursa hiyo ya uongozi vizuri sana na kwa weledi mkubwa mno, kuwafanyia waTanzania...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa kiongozi wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Selemani Kissoki afariki, azikwa Dar

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA), Suleiman Kissoki amefariki usiku wa kuamkia leo Novemba 6, 2024 nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam. Akizungumzia taarifa hiyo, Katibu Mkuu wa Shiwata, Michael Kagondela alisema hadi jana jioni, marehemu alikuwa...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Vyama vingi vya siasa vimekufa Tanzania

    "Uchaguzi wa Marekani umeisha, Wachambuzi rudini kuchambua uchaguzi wa Vijiji na Mitaa. Kuna mambo mengi ya kutazama. Sura ya siasa imebadilika kabisa. 1. Huu ni uchaguzi wa namba, ukubwa wa oganaizesheni ya chama unapimwa kwa idadi ya wagombea na namna wamesambaa nchini. Idadi ya wagombea...
Back
Top Bottom