tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania inaweza kwenda vizuri zaidi tusikubali tulipo!

    Ndugu zangu hii nchi yetu haitakiwi iwe hivi ilivyo sasa. Kuna Watanzania wengi wajanja na wabunifu na Mungu katupa mengi. Sasa inashangaza kama wananchi tunakubali tu mambo ya ajabu ajabu yaendelee nchini kama vile hayatuhusu. Tuache kwa mara moja kufikira sisasa na kufikiria nchi. Mfano...
  2. mike2k

    JamiiForums Tanzania Huduma za Starlink Tanzania: Uchambuzi wa Bei, Kasi, Ubora, na Uenezaji

    Huduma za Starlink, zinazotolewa na kampuni ya SpaceX, zimekuwa zikivutia nchi mbalimbali duniani kutokana na uwezo wake wa kutoa intaneti ya kasi kupitia satelaiti, hata katika maeneo ya mbali yasiyofikiwa na miundombinu ya kawaida ya intaneti. Tanzania, ikitarajiwa kuanza kutumia huduma hizi...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Diaspora Wetu Wanafanya Nini cha Kuonekanika Huko Ughaibuni?. Diaspora Mliofanikiwa, Onekanikeni Kupitia TAK na Rudisheni Tanzania Japo Kidogo!

    Wanabodi, Bado niko hapa nchini Marekani kwa ziara binafsi, nimejitahidi kujichanganya na baadhi ya wana diaspora wa Tanzania walioko nchini Marekani, na kujiuliza jee wana Dispora wetu, wanafanya nini cha kueleweka na cha kuonekanika?. Nimejitahidi kuwasiliana na kile chama cha DICOTA...
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Starlink to launch its operation in Tanzania

    What you need to know: The application marks a significant step in Starlink's efforts to expand its global reach and bring high-speed satellite internet to underserved regions of Tanzania. Dar es Salaam. Starlink, the satellite internet service provider owned by Tesla billionaire Elon Musk, is...
  5. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni kubwa,ishi mahali popote ulipokuwa ukifanyia kazi kuliko kwenda kuishi kwenu,utadharirika!

    Je Wajua ya Kuwa Bugger Kwa Kiswahili fasaha uitwa "SANGWEJI ?" Ndiyo,chukua hiyo kama ulikuwa haujui! Kumekuwa na tatizo la waastafu wengi kupata shida kurudi mikoani,wilaya kwao kuanza maisha upya pindi wanapostaafu! Tanzania yetu ni kubwa mno na hamna haja wastaafu kurudi mkoani kwenu...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Oryx vs Oilcom Tanzania

    The arbitration case between Oryx and Oilcom has brought significant attention to the intricacies of oil importation contracts and the subsequent legal claims arising from them. The final award, issued by the arbitral tribunal on November 30, 2023, and signed by Hon. Dr. Engera Kileo, Hon...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Starlink yawasilisha maombi ya leseni kwa TCRA. Je, safari hii watatoboa? Ushindani wa gharama na ubora wa internet utakuwaje?

    Bei zitapungua? Au wataambiwa waendane na bei za washindani zilizopo? Najua kwenye ubora jamaa atawapiga chenga, Meanwhile hivi ndivyo voda na wenzake walivyo sasa hivi ===== Baada ya muda mrefu wa Watanzania kuhoji kwanini Tanzania hatujaruhusu uwepo wa Internet ya Starlink kutoka kwa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania yavuna matunda makubwa kwenye maoensho ya CIIE

    Maonesho ya uagizaji ya China (CIIE) yamemalizika hivi karibuni mjini Shanghai. Maonesho haya ambayo safari hii ni ya awamu ya saba, yamefanyika kwa mafanikio makubwa kwani nchi nyingi zaidi zimeshiriki na kupiku idadi ya nchi shiriki za mwaka uliopita. Likiwa ni jukwaa la ufunguaji milango na...
  9. mike2k

    JamiiForums Tanzania Fursa Mpya kwa Tanzania! Starlink Kuleta Mapinduzi ya Intaneti kwa Bei Nafuu na Ubora wa Juu

    Wakuu wa Jamii Forums, Nina habari njema sana kwa nchi yetu! Tanzania ipo mbioni kupokea huduma za intaneti kupitia satelaiti kutoka kampuni ya Starlink. Hatua hii ni fursa muhimu kwa Watanzania wote, na ni nafasi yetu kutoa maoni yetu chanya kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili kuunga...
  10. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Tanzania yavutia mataifa uwepo wa kituo cha ufuatiliaji wa majanga

    NA. MWANDISHI WETU – BAKU, AZERBAIJAN. TANZANIA imeendelea kutolewa mfano wa kuwa na Kituo cha Taifa cha Operesheni na Mawasiliano ya Dharura (National Emergency Operation and Communication Center Situation Room) na kuelezwa kuwa nchi nyingine ziendelee kuiga mfano wa Tanzania na kuendelea...
  11. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Je, mwaliko wa Tanzania katika mkutano wa G20 unatoa nafasi halisi ya kuboresha ushirikiano wa kimataifa kwa bara la Afrika?

    Hatua ya Kihistoria kwa Tanzania. Rais Samia Suluhu Hassan anakwenda kuandika historia kwa kuwa Rais wa kwanza mwanamke kuhudhuria Mkutano wa Viongozi wa G20. Huu ni ushindi mkubwa unaoonesha ukuaji wa ushawishi na nafasi ya Tanzania katika jukwaa la kimataifa. Je, uwepo wa nchi zinazoendelea...
  12. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna Vyama vya Siasa vitatu tu sio Ishirini

    Dkt Emanuel Nchimbi juzi kasema kuna vyama walishiriki kuvianzisha na vimekua kwa sasa vyama ambavyo wameanzisha na vimekua ni vifuatavyo. CHADEMA, ACT-WAZALENDO ni vyama ambavyo vyote vilianzishwa na CCM japo kwa nyakati tofauti lakini leo vyama hivi vinatafuta njia ya kushika dola kwa...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi ZBC atembelea Ubalozi wa Tanzania Comoro

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Ramadhani Bukini leo ametembelea Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro ambapo amefanya mazungumzo na Maafisa Ubalozini hapo wakiongozwa na Mhe. Balozi Saidi Yakubu. Bwana Bukini alitumia wasaa huo kuelezea maboresho yanayoendelea...
  14. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Viongozi mahiri wa kike kuwahi kutokea Tanzania

    Leo tuwakumbuke viongozi mahiri na shupavu kuwahi kutokea Tanzania. Naanza na Bibi Titi Mohamed, huyu kwangu mimi anabakia kuwa “Iron Lady” mwanamama mahiri zaidi katika ardhi ya Tanzania. Huyu ni miongoni mwa waliojitoa haswa katika harakati za Uhuru enzi ya TANU. Alikuwa na misimamo haswa...
  15. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Customer care Tanzania ni kipengele

    Nchi hii suala la kumjali Mteja ni kama halipo. Majuzi nilitaka kununua tiket za ndege kwa kutumia Master card kwa benki pendwa ya NMB sasa kila nilijaribu inagoma. Napiga customer care wananiambia hadi kesho Yale asubuhi niende kwenye Tawi nililofungulia akaunti. Daah!
  16. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa riwaya zilizojipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya tanzania na sababu za kupigwa marufuku

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Mimi nianze na Rosa Mistika mtunzi kezirahabi marufuku kwa kukiuka maadili Jioni njema
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kiti cha Kifahari anachokalia sasa Msibani Mjane wa Marehemu Mafuru na Nguo ya Kifahari aliyovaa Mjane Msibani jana vinapatikana Tanzania?

    Nimevutiwa sana tu na Kiti cha Kifalme alichokalia jana Mjane na hasa ile Nguo aliyoivaa pia Mjane. Vyote ni bei gani?
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Polisi watoa tamko tukio la jaribio la utekaji Kiluvya, wasema uchunguzi umeanza toka aliporipoti Novemba 11, 2024

    Wakuu, Baada ya video kutoka ndio tunajuzwa tukio lilitokea juzi! Bila video kuja kitaa wananchi tujakua lililotokea uchunguzi ungefanyika kweli au ndio lingeisha kimyakimya, pengine na kaka wa watu kwenda kuchukuliwa tena mara hii wakiwa wamwjipanga? Halafu mbona wanaremba maneno hivyo "watu...
  19. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aweka historia kwa Tanzania kualikwa kwa mara ya kwanza kuhudhuria Mkutano wa G20

    Tanzania imealikwa Kuhudhuria Mikutano wa G20 huko Brazil ambapo Rais Samia ataiwakilisha Nchi kuanzia baadae mwezi huu. Hii inakuwa ni mara ya kwanza Kwa Tanzania kualikwa kwenye G20 na mara ya pili kualikwa kwenye ngazi kubwa ndani ya kipindi chake kwani Aliwahi alikuwa kushiriki mikutano wa...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yawezekana hizi Tozo Umiza za Kuwaona hawa Manabii Matapeli waliopo Tanzania ndizo zinawafanya Watu waendelee kwenda na kuwaamini Waganga wa Kienyeji

    Haiingii Akilini unaenda kupata Tiba ya Kiroho kwa Mtumishi wa Mungu halafu Yeye badala ya Kukuonea Huruma kama alivyokuwa Yesu Kristo anaanza Kukuambia kuwa ili Akuombee na Upone tatizo lako ulilonalo Kwanza utoe Shilingi Laki Tano au Milioni Mbili. Kwanini GENTAMYCINE nisiendelee kwenda kwa...
Back
Top Bottom