tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. D

    JamiiForums Tanzania Uganda wana import Gold from Tanzania kwani hapa hamna refinery?

    Nimeona the citizen wanapost kuwa uganda ina import zaidi kutoka Tanzania kuliko Kenya kijuujuu hii ni habari nzuri lakini ukicheck una kuja kuta ni gold/dhahabu ndo inaongoza sasa naijiuliza kwani hapa Bongo hamna refinery mpaka wanapeleka Uganda? Au kuna nini Uganda ambacho kinafanya...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Benki ya Biashara Tanzania (TCB), yazindua bidhaa ya LIPA POPOTE ili kurahisisha miamala kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs)

    Dar es Salaam, Benki ya Biashara Tanzania (TCB), yazindua bidhaa ya LIPA POPOTE ili kurahisisha miamala kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs) na wamiliki wa biashara Benki ya Biashara Tanzania (TCB) inajivunia kutangaza uzinduzi wa bidhaa ya LIPA POPOTE, suluhisho la malipo lililobuniwa...
  3. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Jinsi 'Made in China' ilivyowapoteza wafanyabiashara wengi Tanzania na Afrika

    Hebu tuchambue vipi "MADE IN CHINA" imeleta taharuki na dhana potofu hadi watu wanahangaika bila sababu na kupoteza pesa Nyingi. 🤔 1. Mfano mzuri ni ving’amuzi vya Azam TV! Ving’amuzi vya Azam vina lebo ya “Made in China,” lakini ukifika China hutavikuta madukani hata ukahangaika vipi, na...
  4. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Hii siyo Tanzania niijuayo!

    Inasikitisha sana! 1. Mtu "anatekwa" Mchana kweupe huku watu wakishangaa mithili ya nyumbu wa Serengeti? 2. Mtu anapiga kelele za kuomba msaada lakini hakuna hata anayejaribu "kuigiza" kusaidia? 3. Kama sura ya "mtekaji" imeonekana wazi kabisa lakini bado Polisi "wanashindwa" kumkamata...
  5. Abdul Nondo

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) huko Kiluvya, na Maswali tata

    Tukio la kusikitisha sana limetokea Kiluvya Madukani -Dar ,katika Hotel ya Rovvenpec tar.11/Nov/2024. Ikionesha watu wakimteka Ndg. Deogratius Tarimo(Deo Bonge) na kumlazimisha kuingia kwenye gari. Taarifa ya Polisi. Tanzania waliyoitoa leo tar. 13/Nov./2024 wanakiri kupokea taarifa ya tukio...
  6. Bullshit

    JamiiForums Tanzania Kuna faida mnaofanya matangazo ya biashara na tiktokers wa Tanzania

    Jamani tupeane uzoefu. Mara nyingi natumia Instagram na YouTube kutangaza biashara yangu, lakini nataka kuongeza njia mpya za kufanya matangazo. Nimejaribu kuwasiliana na TikTokers kadhaa wa Bongo, lakini bei zao ni kubwa. Mfano, Kiredio aliomba milioni 6 kwa matangazo manne, na wengine wanadai...
  7. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania kazi ya upolisi ni kazi yenye changamoto sana

    May all souls find enlightenment, Kama unaupenda uzao wako na ungependa kuwaepusha na hekaheka kamwe usimpeleke mtoto wako upolisi. Kwa uzoefu wetu sote tunajua jinsi baadhi ya Polisi kuwa ni watu wa dhuluma, uonevu na unyama wa kutisha unaweza kusema mtu fulani mtoto wako au ndugu ni mwema...
  8. JAMBONIA LTD

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Waliosoma BSc. Food, Nutrition & Dietics pale Open University of Tanzania

    Habari wakubwa bila shaka mpo salama, nawahitaji wote mliosomo hiyo kozi au mnaendelea na masomo kozi hiyo hapo juu. Naomba uzoefu wenu katika hiyo kozi kuanzia uzuri wa kozi yenyewe katika nyaja zifuatazo: 1. Kwa maendeleo ya mtu binafsi yaa baadae kuanzia ajira na hata kujiajiri. 2...
  9. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Freelancing Tanzania: Hela Imekuwa Rahisi au Hizi ni Hadithi tu?

    Siku hizi, freelancing imekuwa kama ndoto mpya kwa vijana wengi wa Kitanzania. Kila mtu anazungumzia uhuru wa kufanya kazi mtandaoni, hela isiyo na stress ya kusimamiwa na mabosi wa ofisini, na uwezo wa kufanya kazi popote – hata ukiwa nyumbani na kikombe cha chai! Lakini swali ni hili: Hela...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu anafanya kazi za Tanzania ama za Tanganyika?

    Wazanzibari wakati fulani wakisema kuwa Tanganyika imevaa koti la Muungano huwa nawaelewa. Hivi Waziri Mkuu huwa anafanya kazi za Tanzania ama huwa anafanya kazi za Tanganyika ndani ya Tanzania? Protokali inasemaje kuhusu Rais wa Zanzibar na Waziri Mkuu. Jee Waziri Mkuu anawajibika kwa Rais wa...
  11. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Kuchunguza Tabia za Jamii Tanzania: Wajinga, Wenye Ukabila, na Raia - Tafakari ya Kina

    Katika uhalisia wa maisha ya Watanzania, kuna aina tatu za watu ambazo zinaonekana waziwazi — “wajinga,” “wenye ukabila,” na “raia.” Aina hizi za tabia zinatufundisha mengi kuhusu jinsi tunavyoishi, jinsi tunavyoona ulimwengu, na hata jinsi tunavyopima thamani ya uadilifu na utulivu wa kijamii...
  12. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Tanzania mwaka 1956

    Ramani ya Tanzania ya mwaka 1956 ikionyesha Makabila. Kama huoni kabila lako tafadhali tafuta vibali vya kuishi nchini.😂 i
  13. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Ruge Mutahaba ndiye aliyeharibu tasnia ya uandishi habari hapa Tanzania

    Ziko sababu nyingi zilizochangia kudorora kwa sekta ya uandishi habari mmoja wapo aliyechangia ni Ruge mutahaba aliyekua mkurugenzi wa vipindi wa clouds Mwanzo mwa miaka ya 2000's wakati clouds haina mda mrefu kuanzishwa kabisa kiongozi wa kipindi hiki ruge mutahaba alikuja na idea ambayo mpaka...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Abandoned and alone: Here is why the rise of street of children in Tanzania is the next big pandemic

    The hardships and struggles faced by street children raising themselves are not to be overlooked. They sleep on shop verandas, abandoned buildings, broken vehicles, and some are sexually exploited throughout the night. An investigation by Nipashe in the regions of Arusha, Dar es Salaam...
  15. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Matajiri wakubwa Tanzania hawana msaada wowote kwa jamii zaidi ya kuinyonya

    Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani. Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine wengi hawana msaada wa moja kwa moja kwa jamii zaidi. Hivi kweli hizo Foundation wanazoanzisha mfamo...
  16. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Mitihani Kidato cha 4: Kenya Vs Tanzania

    Ukiziangalia tu hizi Timetable utajua ni kwa kiasi gani mitaala yetu ilivyo famba. Bado tuna safari ndefu sana.
  17. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania kwanini Tanzania lakini ?? 🤏

    Tunahitaji Tech Journalists wengi Tanzania. Technojia inazidi kukua na hatuna watu wa kutosha kuelewesha jamii juu ya masuala ya Teknolojia. Elimu hii inahitajika sana. Kama tulivyo na sports, Medical, entertainment, fashion, political etc. Jamii inahitaji hii Elimu sana au wewe mdau...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Japokuwa Tanzania ina watu wengi kuliko Kenya, ila wanafunzi wanaohitimu Tanzania ni wachache kuliko Kenya. Sababu ni nini?

    Kwa takwimu za wanaofanya mitihani ya kidato cha nne mwezi huu Novemba 2024 Kenya ina jumla ya watahiniwa 965, 501 na Tanzania ina watahiniwa 557, 731. Je, ni kwa nini Tanzania watahiniwa ni wa chache ilihali idadi ya watu ni kubwa kuliko. Kenya au ndio idadi kubwa ya wanafunzi wanaacha shule...
  19. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Juhudi za makusudi zinatakiwa ili kuwakomboa wanawake kiuchumi

    Utafiti inaonesha wanawake wa Tanzania Ni duni kuliko wanaume. Juhudi za makusudi zinatakiwa kufanywa ili kuwakomboa wanawake kiuchumi. Ikiwa Ni pamoja na wao wenye kuamka na kuanza kujiinua kiuchumi. Aidha mambo haya yanapaswa kuzingatiwa kwa wanwake 1. Kutambua umuhimu wa Elimu 2. Kufanya...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania yenye utajiri wa gesi ikiagiza mafuta kwa mabilioni ya Fedha za Kigeni, Nigeria yaamuru magari yawekwe mfumo wa gesi

    Kila siku nasema. Tatizo letu Tanzania sio uwepo wa rasilimali bali ni kuwa na watu wenye akili sahihi za kutupeleka kuwa nchi ya ahadi. Wakati Tanzania yenye utajiri wa gesi kiasi cha ujazo wa trilioni 57 ikiendelea kuagiza mafuta kutoka nje tena kwa fedha za kigeni ili kutumia kwenye magari...
Back
Top Bottom