tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tukiachana na sensa ambayo ni makadirio, kuna ukweli Kanda ya ziwa inaweza kuwa ni robo au zaidi ya population ya Tanzania ?

    Ni mikoa ambayo ya kanda ya ziwa birth rate ni kubwa sana, kuna uwezekano ni robo au 1/3 ya population ya Tanzania ? Kagera, Geita Mwanza, Shinyanga, Simiyu Mara
  2. JamiiForums Tanzania Nchi 10 Afrika zenye madeni makubwa zaidi

    Zifuatazo ni nchi za Afrika zenye madeni makubwa zaidi ya IMF mwaka huu . 1.Misri 7,245,182,524 2.Cote D'Ivoire. 3, 603,438 ,776 3.Kenya. 2, 873,418, 234 4.Ghana 2,728,468,500 5.Angola 2,437,716,676 6.DRC 2,196,550,004 7.Ethiopia 1,764,502,000 8.Tanzania. 1,335,730,000 9.Zambia 1,271,660,000...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha amjibu Luhaga Mpina kuhusu ufisadi kwenye uagizaji mafuta Tanzania

    Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omaramjibu Luhaga Mpina kuhusu ufisadi kwenye uagizaji mafuta Tanzania Pia soma: Luhaga Mpina: Bei ya mafuta imeshuka soko la Dunia kwa 22% lakini hatuoni bei zikishuka hapa nchini
  4. JamiiForums Tanzania Tulipofikia Tanzania, inabidi tufanyaje?

    Tanzania ni nchi iliyojengwa juu ya msingi wa amani, umoja na mshikamano. Hata hivyo, hali ya sasa imewafanya wananchi wengi kujiuliza mustakabali wa taifa letu. Moja ya changamoto kubwa zinazozungumzwa ni kupungua kwa muunganiko miongoni mwa wananchi. tofauti za kisiasa, zimeongeza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania, Msipokee kila maelezo. Panadol overdose haiui siku moja

    Moja ya Dawa, iliyokuwepo ndani kwa Dereva wa Heche ni Panadol/Paracetamol Paracetamol haiui ndani ya siku moja na ni moja ya dawa ngumu kuoverdose, kwa sababu unaruhusiwa kutumia hadi vidonge nane kwa siku as long as hauchanganyi na aina zingine za paracetamol, jambo lingine paracetamol...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hivi St. John's University of Tanzania kina mwenyewe kweli?

    Kuna mambo yanaendelea chuoni hapo mpaka unajiuliza, hiki chuo kina wenyewe kweli? Na wanafunzi wamekaa kimya, mpaka unajiuliza tunazalisha wasomi wa namna gani? Jumanne tarehe 30 June, wamefanya Uchaguzi wa Rais ukitanguliwa na uchaguzi wa wawakilishi wa "faculties" pamoja na madarasa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo Kikuu Huria Tanzania (Vituo vya mikoani): Malalamiko kuhusu mgawanyo wa baadhi ya nafasi za kazi

    Katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, hususan katika vituo vya mikoani, kuna malalamiko kuhusu mgawanyo wa baadhi ya nafasi za kazi ambazo zinaonekana kutotumika ipasavyo. Kwa mfano, kuna vituo vyenye wafanyakazi watatu pekee lakini bado vina Afisa Rasilimali Watu (Human Resources Officer)...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ipende Kwanza Tanzania kabla ya kukipenda Chama Chako Cha Siasa (Mfano: CCM au CHADEMA). Chama kinakufa ila nchi haifi

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Ndugu zangu, ninawaombeni sana, sana, sana, sana, tena saana, msisahau kuipenda na kuwa wazalendo kwa Tanzania yetu. Ipendeni kwanza Tanzania, kisha baadae ndio ukipende chama chako cha siasa (Mfano: CCM au CHADEMA). Ndugu zangu, hivi vyama vinavyoitwa kuwa ni vya...
  9. JamiiForums Tanzania Hatua za kuanzisha biashara kisheria nchini Tanzania

    Elimu ya sheria: Kuhusu namna ya kufanya biashara yako iwe rasmi na inayoaminika kwa kufuata taratibu za kisheria. Kama unataka biashara yako iwe rasmi na ilindwe kisheria nchini Tanzania, fuata hatua hizi: 1: Chagua wazo la biashara. Tambua unataka kuuza nini au kutoa huduma gani. 2: Chagua...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa CWT wasubiri uamuzi wa mahakama

    VIONGOZI waliosimamishwa na Baraza la Taifa la Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wataendelea kuwa nje ya nafasi zao za uongozi hadi Mahakama ya Mkoa wa Dodoma itakapotoa uamuzi katika kesi inayowakabili. Waliosimamishwa ni aliyekuwa Rais wa CWT, Leah Ulaya, Rais Dkt. Suleiman Ikomba, Maganga...
  11. V

    JamiiForums Tanzania Nauli za daladala Arusha hazipo popote Tanzania

    Huku Arusha nauli za dalada ziko juu kuliko mji wowote Tanzania; kutoka kituo hadi kingine abiria wanalipishwa shilingi elfu moja [tsh.1,000/=], mkuu wa mkoa yupo, LATRA wapo, sasa mamlaka hizo [serikali] zinafanya kazi gani wakati kisheria nauli zinathibitiwa? Yaani Arusha ni mji ulio...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uchaguzi wa Serikali ya Wanafunzi katika Chuo cha St John unaibua maswali mengi kuhusu uwazi na uhalali wake

    Jana, Jumatatu tarehe 29 Juni, na leo Jumanne tarehe 30 Juni, Chuo kinaendesha uchaguzi wa Serikali ya Wanafunzi. Hata hivyo, ukifuatilia namna uchaguzi huo unavyoendeshwa, kuna maswali mengi yanayojitokeza kuhusu uhalali, uwazi na usimamizi wake. 1. Matumizi ya mfumo wa e-voting Uchaguzi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Thirty years of the Tanzania revenue authority

    Introduction The celebration of the 30th Anniversary of the Tanzania Revenue Authority (TRA) is not merely the commemoration of an institution's existence; it is a celebration of Tanzania's remarkable journey in building a modern, efficient, and progressive tax administration system. Established...
  14. JamiiForums Tanzania Nchi 10 zenye amani Afrika, Tanzania haimo. Salaam kwa Samia na Mwigulu

    Nafasi ya amani Afrika Chanzo cha picha,ABI Kwa mujibu wa Global Peace Index 2026, Tanzania ipo katika nafasi ya 17 barani Afrika kwa kiwango cha amani, huku ikiwa ya 98 duniani. Inazidiwa hadi na Zambia MY TAKE Kila siku wanadai eti wanalinda amani. Wanalindaje amani ambayo haipo? Wanalinda...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nje ya wajaluo kuna makabila maarufu upande wa Tanzania yenye mafanikio makubwa nchi jirani?

    Kuna makabila mengi hapa Tz, hata Watutsi utawakuta ila wapo wachache sana, hivyo tuyaguse makabila ambayo angalau yanafikia hata watu laki Wajaluo wapo wilaya ya Rorya mkoa wa Mara, kwa upande wa Tanzania kwenye maendeleo hawapo kivile japo kuna baadhi ya sehemu wametoboa mfano ukienda kule...
  16. M

    JamiiForums Tanzania MIJI ILIYODUMAA TANZANIA

    Tanzania kuna miji iliendelea kabla ya mkoloni na leo ingekuwa mbali lakini ni kama haisogei maendeleo yake yaleyale inasonga kidogo japo nchi imepata uhuru ilikuwa juu. 1. Moshi Huu mji ulianza kuendelea zamani sana, mkoloni alipaendeleza lakini hautanuki sana kisa wachaga na wapare ni...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahandisi wanapata changamoto kubwa ikiwemo malipo duni, huku ERB ikishindwa kutekeleza majukumu yake

    Wahandisi na wahitimu wa uhandisi nchini Tanzania tunaendelea kuwa na wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya taaluma ya uhandisi na namna inavyosimamiwa. Pamoja na kuwepo kwa Bodi ya Wahandisi Tanzania (ERB), bado kuna changamoto nyingi zinazowakabili wahandisi ambazo hazijapatiwa ufumbuzi wa kutosha...
  18. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ wazalendo waungeni Wananchi 7/7, Viongozi wazalendo kumbukeni mafunzo yenu kutoka chuo cha Taifa cha Ulinzi, kuhusu usalama wa Taifa

    Usalama wa Taifa si tu kutokuwepo kwa vita, usalama wa Taifa unahusu umoja wa Kitaifa, Utulivu wa kisiasa, uchumi, teknolojia, masuala ya kijeshi na mazingira. Chadema kimekwisha kuwa chama cha kitaifa kutumia taasisi za serikali kama Jeshi, polisi na usalama kukizuia kufanya kazi ni...
  19. JamiiForums Tanzania Ni dawa gani Nzuri ya kinywa na meno kwa kutumia hapa Tanzania?

    Wasalam,kuna wimbi la dawa nyingi za meno zinauzwa. Naomba kufahamishwa dawa nzuri kwa matumizi,N.B uzi huu sio kupromote dawa ni kupata ujuzi.
  20. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Tanzania Ianzishe siku ya kumbukumbu ya Agosti 29

    nimekuwa nikiona jinsi mataifa mbalimbali yanavyohifadhi historia zao kwa kuanzisha siku maalumu za kumbukumbu. Kwa mfano Timor-Leste huadhimisha kila mwaka tarehe 12 Novemba kuwakumbuka waliopoteza maisha katika tukio la Santa Cruz ambapo siku hio mamia ya wanafunzi waliokuwa wakiandamana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…