Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Tanzania na Ireland zimeazimia kuimarisha ushirikiano katika nyanja mbalimbali za maendeleo na uchumi ili kukuza uhusiano wa kidiplomasia, biashara, na uwekezaji kati ya Nchi hizo mbili.
Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa mazungumzo rasmi kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo waliokuwa wamezuiwa kuingia nchini Angola wamerejea Tanzania usiku wa Machi 14, 2025, saa 9:40.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Idara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa ACT Wazalendo leo Machi 14, 2025, Mwanaisha Mndeme, viongozi...
Habari za hapo mjengoni Mheshimiwa, mimi nashukuru Mungu kwa kunipatia afya njema.
Mheshimiwa hawa wachina waliozagaa mjini ni wewe ndiye uliye ruhusu waje kutuuzia yeboyebo, kutembeza matunda na kutuuzia vyombo vya jikoni?
Mheshimiwa Rais inamaana hakuna raia wako wanaomudu hizi kazi mpaka...
Ashurey kwa sasa ndio dancer namba moja wa kike Tanzania.
Vigezo anavyowapita wengine wote.
1. Anajua kucheza style zote za muziki
2. Ni mbunifu
3. Moves zake zinabadilika
4. Anaweza kucheza freestyle
5. Ni trainer mzuri sana
Naamini hapa Tanzania kuna Teknolojia zenye uhitaji zinazoweza kuletwa na vijana wabunifu na kutengeneza mabilionea.
Unahisi ni teknolojia aina gani ikiletwa Tanzania mazingira yanaruhusu, miunombinu ipo na uhitaji upo yenye kumfanya kijana awe bilionea ?
Katika miaka ya nyuma, blogu zilikuwa moja ya vyanzo vikubwa vya habari na burudani nchini Tanzania. Zilitoa majukwaa huru kwa waandishi, wachambuzi, na watu binafsi kueleza mawazo yao, kushiriki matukio, na kutoa taarifa kwa umma. Blogu nyingi zilianza kama miradi ya kibinafsi lakini zilikua na...
Katika utekelezaji wa majukumu yake ya Kikatiba na Sheria, Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) ukiongozwa na Kamishna Mhe. Nyanda Shuli umetembelea kiwanda cha KEDS TANZANIA COMPANY LYD na kufanya mazungumzo na baadhi ya Wafanyakazi wa kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya...
Je, Elimu ya Juu ni 'DEAD HORSE' kwa Vijana wa Tanzania
Katika ulimwengu wa sasa, ambapo vijana wengi wa Kitanzania wanahangaika kupata ajira licha ya kuwa na shahada za vyuo vikuu, pendekezo la Waziri Mkuu Kassim Majaliwa la kuwahimiza wahitimu kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi kupitia VETA...
Habarini za asubuhi wakuu, mimi niko na swali kuna hizi ajira zinatangazwa na kampuni ya Dangote kila siku tunaomba ila hatupati ata majibu kuna mwanazuoni alishawahi pata hizi ajira au ata kuitwa interview atupe abc za kuomba hizi kazi tufanikiwe wote jamani😄
Madalali wa magari nchini Tanzania kila siku wamekuwa wakiharibu biashara ya magari ya mkononi kwa kukosa elimu ya biashara.
Uaminifu, ukweli na uwazi ni msingi MKUBWA sana kwenye ukuaji wa biashara yoyote ndio maana kwa kulijua hilo, wenzetu wa nje hawarudishi nyuma kilometa ambazo zinasoma...
Wataalamu wa kuijua nchi yetu ya Tanzania ni mkoa mpya upi kati ya ifuatayo ambao uko vizuri kimaendeleo au kiuchumi?
1. Simiyu
2. Geita
3. Songwe
4. Manyara
5. Katavi
6. Njombe
Nimekuwa nikifanya biashara kwa miaka sasa , Nina deal tu na mchele nauzia hapo zambia, nadeal na kiazi mviringo kinaenda hapo Kenya , na deal na biashara zangu tu za usifirishaji .
Moja ya jambo ambalo na regret ni kutohamisha shughuli zangu za utafutaji kwenda nchi nyingine za Afrika na...
Siku hizi kila mtu anazungumzia Kagame kwa mabaya, mara ooh ni dikteta, mara anatufanyia figisu, mara atoke madarakani. Lakini wachache sana wanajua ukweli wa historia yake na jinsi Tanzania ilivyoshiriki kwenye safari yake ya kuwa kiongozi mkubwa barani Afrika.
Kwanza kabisa, Kagame si mtu wa...
Viongozi wa Umoja wa Madereva wa Mabasi Tanzania (UWAMATA) Waomba Mazingira Rafiki ya Kazi
Viongozi wa Umoja wa Madereva wa Mabasi Tanzania (UWAMATA) wameiomba Serikali kuwawekea mazingira rafiki ya kufanya kazi zao ili kudumisha amani na kuchangia ukuaji wa uchumi wa taifa kupitia sekta ya...
Tanzania na Afrika Kusini kukuza wigo wa Ushirikiano
Tanzania na Afrika Kusini zinatazamia kukuza wigo wa ushirikiano katika sekta mbalimbali za kimkakati kwa manufaa wananchi wa pande zote mbili.
Hayo yanesemwa katika kikao kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki...
Kuna wageni wanalalamika kuwa zaidi ya wiki sasa kila wakijaribu kuomba e-visa wanakuta website ipo down; wahusika tunaomba mcheki tafadhali
Mwingine kaandika hivi
"May I please ask for your help on who we can email or call to check on the evisa portal? We are trying to access the website but...
Heshima,hadhi na nguvu ya Taifa la Tanzania haikuja kwa majaliwa ya Mwenyezi Mungu ila ilikuwa ni kutokana na umadhubuti,dhamira ya dhati na utashi ambao Waasisi wetu wa Taifa walilijenga.
Falsafa juu ya heshima ya utu wa mwanadamu,uhuru na Kazi pamoja na kiu ya kuwa na Taifa la Watu...
Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMENT) pamoja na Kituo cha Sheria na haki za binadamu LHRC wameendelea kuisisitiza Serikali kuhusiana na kufutwa kwa adhabu ya viboko shuleni badala yake kubuniwe kwa adhabu ngingine zenye kuongeza stadi za maisha kwa mwanafunzi.
Soma: Simiyu: Mwanafunzi adaiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.