tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shigongo: Tanzania inaizidi pesa Kenya, Uganda na Rwanda. Rais Samia ameurejesha uchumi wetu ulipokuwa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaambia wananchi wa Buchosa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kuurejesha uchumi wa nchi mahali ulipokuwepo kabla ya janga la Corona. Amesema hilo linatosha kumfanya kila mwananchi awe na matumaini makubwa ya kuwa nchi itaendelea kusonga mbele...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna magari Tanzania ukimiliki unaweza kupitia humo humo kwenye mambo yako.

    Ni ngumu sana gari aina ya V8 zile ambazo utumiwa na serikali kusimamishwa ovyo kama utakuwa probox au passo. Na wakikusimamisha uwanza kujitafakari maana walishajengewa kuwa wenye magari haya ni wakubwa wasio guswa.
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Vipaji 20 bora vya muda wote kwenye muziki wa Tanzania

    Hii ni kwa aina zote za muziki. Bila kupoteza muda ni kama ifuatavyo; 1. Dr Remmy Ongala 2. Marijani Rajabu 3. John Komba 4. Baraka Mwinshehe 5. Banzastone 6. Saida Karoli 7. Papii Kocha 8. Profesa Jay 9. Shilole (Shishi baby) 10. Rose Mhando 11. Lady JayDee 12. Nikki wa II 13. Joseph Mbilinyi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ajali ya OCD Chanika imenisikitisha ingawa upo ujumbe maalum wa kumuenzi naomba mkuu wa trafiki Tanzania aupokee

    Ajali inapotokea huwa inasikitisha sana na kuumiza sana! Lakini upande wa pili huwa inafungua ukurasa mpya wa kujadili! Mungu aliumba mitume na manabii ili kuzisaidia mamlaka za utawala katika kutekeleza sheria! Miongoni mwa manabii walioitwa na mungu ni pamoja na 1. Baadhi ya watumishi wa...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi na Mwandishi Nguli wa Michezo Tanzania Saleh Jembe apiga msumari wa mwisho na pale pale katika Mshono kwa Yanga SC

    "Yanga SC wanawalalamikia Bodi ya Ligi kuhairisha Mechi ya Yanga na Simba mbona na Wao hawalalamikii Makoma wenye Ndoo wao kuzuia Simba SC kuingia Uwanjani kufanya Mazoezi ya mwisho ni jambo la Kikanuni na wale Wahusika wote wanajulikana na walipewa Baraka zote na Uongozi wa Yanga SC? Naomba tu...
  6. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kuwekeza biashara yoyote Tanzania ujiandae kukumbana na urasimu

    Wakuu kama unataka kuwekeza biashara yoyote Tanzania ujiandae kukumbana na urasimu pro Max, inaumiza sana sana pale unapoona kuwa kitu unachotaka kufanya ni kizuri kwa Taifa na kwa taasisi husika lakini unakutana na urasimu ambao sio wa ulimwengu huu. 1. kuna kududu mtu anaitwa NEMC 2. Kuna...
  7. D

    JamiiForums Tanzania TIGANA LUKINJA WA TVE: Mbona kama "mfumo" unamuweka mbali huyu genius wa soccer?? Anaweza akaipeleka Tanzania mbali kidogo..

    Huyu jamaa yupo poa sana, na kama ana changamoto basi ni za kibinadamu tu, ninahisi anaweza akalisogeza mbele kidogo soccer la Tanzania..
  8. C

    JamiiForums Tanzania Naona kama DSTV TANZANIA MMEWAZOEA WATEJA WENU................

    Sianzi na salam sababu ya jazba ............hivi hawa mbwa wanajikuta nani?? Yaani mmelipwa pesa na huduma mmekata.........mnadhania pesa ni ya mababa zenu??...........hii kampuni sio international bora hata mngeweka ofisi yenu tandale ................huduma kwa wateja namba haifanyi...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuendelea kuunga mkono jitihada za kikanda za kutafuta amani Mashariki mwa DRC

    Tanzania itaendelea kuunga mkono jitihada za kikanda na kimataifa zinazoendelea katika kutafuta amani ya kudumu katika eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Hayo yameelezwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thatib Kombo...
  10. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Waziri wa Katiba na Sheria: Nani amechakachua ibara ya 3(1) ya Katiba ya Kiswahili ya Tanzania ya 1977?

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro Mheshimiwa Waziri, Nimeshangazwa na ombi la baadhi ya makuhani kwa Rais Samia wakitaka awape nafasi za ubunge wa kuteuliwa kutokana na kofia zao za kidini. Nataka kulipinga ombi hili kwa kutumia hoja inayosindikizwa na ushahidi usiokanushika...
  11. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba ndiyo mlango wa ustaarabu katika mpira wa Tanzania

    Labda hawa watoto wa 2000 ndiyo hawajui ila embu tuwape darsa kidogo kuhusu historia iliyotukuka na isiyoweza kufutwa na yeyote ya kuingiza na kukuza ustaarabu katika mpira wa Tanzania. Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuvaa jezi nchi hii. Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuvaa viatu vya...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania kuchora ramani yake mpya

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo mbioni kuanza mchakato wa kuchora ramani mpya ili kuendana na mabadiliko yaliyojitokeza. Pia, Soma: Rais Samia aikabidhi Wizara ya Ardhi magari 70 Rais Samia amesema mara ya mwisho ramani ya Tanzania ilichorwa mwaka 1978 huku vitu...
  13. Tanzanians

    JamiiForums Tanzania Tanzania inauwezo wa kuzalisha megawatts 100,000 na zaidi za umeme

    Tanzania inauwezo wa kuzalisha umeme wa megawatts zaidi ya 100,000 hii inatokana na vyanzo vya umeme vilivyopo kama vifuatavyo Uwepo wa gesi asilia Uwepo wa makaa ya mate Uwepo wa upepo singida na same Uwepo wa jua (solar power) Hivyo vyanzo vinne vinauwezo wa kuzalisha megawatts zaidi ya laki...
  14. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Tanzania kununua umeme kwene nchi masikini zaidi duniani Ethiopia?? Nawaza sipati jibu

    Nchi yetu tulipaswa tutawaliwe miaka 200 tena. Bado kabisa yaan
  15. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Serikali itengeneze mazingira rafiki wasomi wakatafute Fursa nje ya Tanzania, kusoma VETA sio Fursa.

    Msomi anapata Fursa ya kwenda kuwa muuguzi Dubai au uingereza lakini kwenye suala la kupata passport na nyaraka nyinginezo inakuwa ni kipengele, ukiritimba na udwanzi umejaa sana kwenye ofisini za uhamiaji, kuliko kumshusha hadhi msomi mwenye shahada serikali ingeweka mazingira rafiki watu...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Watu wenye nia njema, mapenzi ya kweli na thabiti na nchi yetu Tanzania ni hawa

    1. Askofu Bagonza 2. Freeman Mbowe 3. Ansbert Ngurumo Kuna mmoja , lakini his recent dealings zinanipa mashaka!. Sitamtaja kwa sasa.
  17. Now and then

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Tanzania wanachofanya sasa hivi ni kuamua kukwepa ngumi ya uso kwa kufumbo macho. Issue ya VETA ni ajenda ambayo imeletwa kimkakati

    Kitaalamu serikali huwa Ina njia zake za kukwepa hoja na kujisafisha. Hivyo kila utawala huwa unakuaga na kiongozi anayetupiwa takataka ili azibebe na kuwaltea wananchi. Rais alipofariki - hii taarifa alipewa Majariwa. Vijana kukosa ajira -hii pia kapewa majaliwa. Korosho za mtwara -hii pia...
  18. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Marehemu Magufuli angekuwepo leo Tanzania tungekua tunauza nguo zilizotumika (mitumba) nje ya nchi

    Siwezi kusema nausimanga uongozi wa sasa ila nazungumzia tu yale maono na utashi aliyokua nao marehemu. Aliwahi kusema katika hotuba zake huko nyuma kuwa kwanini Tanzania tusipeleke nguo za mitumba wakavae wazungu huko ulaya? Akasema Tanzania tutapanda treni za umeme wazaramo wakipigw picha...
  19. Stroke

    JamiiForums Tanzania Sheria taaluma inayodharaulika sana Tanzania lakini marais 27 kati ya 43 wa marekani waliwahi kuwa wanasheria

    Kwa hapa Tanzania kada ya sheria inadharaulika sana. Mwanasheria anaonekana kama dalali tu. Ila ajabu ni kwamba kwa wenzetu wanaofahamu umuhimu wa elimu wanawaheshimu sana wanasheria. Marekani pekee kati ya marais 44 waliokuwa nao, 27 waliwahi kuwa wanasheria. Taifa lenye uchumi mkubwa na...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Rais Dr. Samia, Tanzania Inaweza Kuzalisha Petroli, Dizeli, Jet Fuel, Methanol, Amonia na Urea Kutoka Kwenye Gesi – Tutauza Haraka Sana

    Barua ya Wazi kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Na Elia Wilinasi Sikanyika Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan, Kwa heshima, taadhima, na unyenyekevu mkubwa, ninakutakia afya njema, hekima, na mafanikio katika kuiongoza nchi yetu...
Back
Top Bottom