tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Umoja wetu wa Kitaifa ulishinda vita ya Tanzania dhidi ya Nduli Idd Amini nchini Uganda na kuwaang'oa Wakoloni walio kalia mataifa yaliyokuwa Kusini

    Heshima,hadhi na nguvu ya Taifa la Tanzania haikuja kwa majaliwa ya Mwenyezi Mungu ila ilikuwa ni kutokana na umadhubuti,dhamira ya dhati na utashi ambao Waasisi wetu wa Taifa walilijenga. Falsafa juu ya heshima ya utu wa mwanadamu,uhuru na Kazi pamoja na kiu ya kuwa na Taifa la Watu...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Elimu Tanzania: Adhabu ya viboko iondolewe shuleni

    Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMENT) pamoja na Kituo cha Sheria na haki za binadamu LHRC wameendelea kuisisitiza Serikali kuhusiana na kufutwa kwa adhabu ya viboko shuleni badala yake kubuniwe kwa adhabu ngingine zenye kuongeza stadi za maisha kwa mwanafunzi. Soma: Simiyu: Mwanafunzi adaiwa...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 3

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika katika ukumbi wa Jakay

    Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Matukio mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma

    Matukio mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Media Council of Tanzania (MCT) - Senior Programme Officer

    Background The Media Council of Tanzania (MCT) is an independent, voluntary and self-regulatory body with the objective of promoting freedom of the media and ensuring the highest professional standards and media accountability in the United Republic of Tanzania. MCT implements its four-year...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na EU kuendelea kushirikiana kuimarisha amani na usalama Maziwa Makuu

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Ulaya katika Ukanda wa Maziwa Makuu, Bw. Johan Borgstam, katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam. Katika mazungmzo yao Viongozi...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Ajabu ni ipi Tanzania yenye ziada ya umeme kununua umeme?

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila hivi ndivyo alivyoandika baada ya baadhi ya Watanzania kushangaa kauli ya Rais Samia Suluhu kuhusu Tanzània kununua Umeme nje ya nchi, Ethiopia. Mkurugenzi Kafulila anasema pamoja na kwamba...
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania Tanzania isijiingize kwenye mtego wa upigaji kupitia magonjwa ya milipuko!

    Inawezekana na Iliwezekana huko kwa nchi za wakubwa wetu..kutumia Afya,magonjwa na milipuko ya magonjwa kama chanzo cha upigaji fedha. chondechonde tusiingie kwenye mtego huu. Makampuni ya dawa,vifaa tiba na other medical supplies yamekamata uchumi duniani na yapo katika ushindani wa kiuchumi...
  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania Tanzania Safari Channel hacheni kupotosha umma

    Nilikuwa Naangalia Makala Ya Utalii Kwenye Tanzania Safari Chanel, Wakawa Wanasimulia Kwamba Mlima Kilimanjaro Umeanzishwa Mwaka 1973. Nikajiuliza Kwani Kabla Ya Mwaka 1973 Hakukuwa Na Mlima Kilimanjaro Mpaka Uanzishwe Mwaka 1973? Kwa Uelewa Wangu Mlima Huu Ulikuwepo Tangu Kuumbwa Kwa Dunia...
  11. FatherOfAllSnipers

    JamiiForums Tanzania Benki gani inatoa huduma ya Recurring Depost hapa Tanzania?

    Naomba msaada kwa Tanzania Benki gani inatoa huduma hii ya Recurring Depost? Nimejaribu kutafuta maelezo kwenye mtandao sijapata. Nahitaji sana hii huduma
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Je mtandao wa X (twitter) umezimwa Tanzania?

    Mtandao namba 1 kwa kuibua mijadala mbalimbali ulimwenguni maarufu kama X zamani ukijulikana kama Twitter ni kama umezimwa nchini Tanzania. Ukijaribu kuingia kwa njia ya kawaida unagoma mpaka utafute VPN. Je ni tatizo la kimtandao au ndio umezimwa kimyakimya?
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani Dodoma.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania inapanga kununua umeme kutoka nje ya nchi kwa ajili ya kanda ya kaskazini

    Umeme uliopo katika gridi ya Taifa unazalishwa kutoka ukanda wa kusini mashariki na hivyo kulazimika kusafirishwa umbali mrefu kwenda maeneo mbalimbali nchini hali inayosababisha upotevu mkubwa wa umeme.
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Tanzania ina wananchi wenye udumavu wa akili

    Kuna shirika moja la kiutafiti liliwahi kufunga mjadala kwa kusema 3/4 au tuseme 75% ya Watanzania ni wendawazimu. Yawezekana ni zaidi ya 75% ila waliogopa tu kusema ukweli. Mwaka wa uchaguzi mkuu Tanzania kuanzia JANUARI mpaka November kuna mambo mengi sana yanafanyika ambayo yanadhihirisha...
  16. HenrysoN

    JamiiForums Tanzania Mikakati ya Uuzaji (Marketing Strategies) kwa Biashara Ndogo na za Kati (SMEs) Tanzania.

    Utangulizi Biashara ndogo na za kati (SMEs) ni uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania, lakini changamoto kuu inayowakabili ni jinsi ya kufanikisha masoko yao na kuvutia wateja. Ili kufanikisha hilo, kuna haja ya kuwa na mikakati bora ya uuzaji inayozingatia mazingira ya kibiashara ya Tanzania...
  17. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Huyu Majizo hizi Spika zake amelenga soko la ndani ya Tanzania au nje? Bei za moto level za JBL.

    Hongera kwake kwa kuzindua Jizzo Sound. Sawa. Ila swala la bei ni jambo jingine. Kuna Michina mingi kwenye hii price range na ina muziki mnnene, itaweza kucompete? Bei inayofuatia Laki 4.8 hadi Mil 3 uko. Sasa naona una compete na wakina JBL.
  18. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Mungu anipe uzima nimuone Rais Samia akiomba kura kwa wananchi akizunguka Tanzania nzima.

    Bila shaka kila mzalendo wa taifa hili, na mfuatiaji wa siasa za Tanzania mwaka huu October atakuwa anahamu sana kumwona Samia akiwaomba kura watanzania. Mm binafsi namwaonea huruma sana samia sipati picha nzuri kwake ,kwa sababu a. mvuto na ushawishi wa kisiasa hana,achilia mbali makabila...
  19. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania "The Crew" genge la Karia linalozidi kuharibu mpira wa Tanzania

    Ni genge la siri linaloundwa na mashabiki 12 wa timu 3 za mpira, kazi yake ni kuwaorganize mashabiki kuja uwanjani na picha za mwanasiasa fulani. Sasa wameprint picha na ujumbe wa mitano tena kwa mwana siasa huyo. Sidhani kama FIFA wamemtuma karia kuanzisha The Crew. Na yule mchambuzi yuko...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Siku ya wanawake duniani na maajabu yake Tanzania

    Habari za muda huu ndugu wanajukwaa Nimefuatilia kwa shamrashamra za siku ya wanawake duniani ambayo kitaifa imefanyika mkoani Arusha na mgeni rasmi alikua mh. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Wanawake wamejisifia sana,wanasema wameweza mambo mengi mpaka kuendesha mitambo mikubwa(...
Back
Top Bottom