Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Kama wewe ni mpenzi wa Game la Mpira Nazani 😁 nikisema Division kwenye Eftooball unanielewa sio 👋.
Ukiwa unacheza hii Game kuna Division ukifika kupitia Ai au PVP uwa inakua ngumu sana unakuta kila unayekutana naye anakaza balaa 😀.
Ugumu unaanzia hapa Division 5 na 4 ila bado unaweza kucheza...
Visa, vitimbi vinaanza Sasa, file zito jekundu lipo MEZANI kwa Bwana.
Pamoja yakuwa ana cheo cha UBALOZI lakini sio raia.
Pamoja yakuwa aliwai kuwa waziri wa mambo ya ndani ILA sio raia.
Baada kujiuzuru siasa ndo tunabaini sio raia( kamuuze mzee ulimwengu baada ya kujiuzuru ukuu wa WILAYA...
Naanza Kwa Wino Mzito wa salamu, "Kwa Haki, Mshikamano, Uzalendo na Uwajibikaji wa Pamoja", wote Twaitikia "Ndio Tamaduni zetu Watanzania".
Ndugu wa Tanzania, kutokana na hoja mbali mbali za Kikatiba, Itaji la muda mlefu la Katiba mpya na uitaji wa Mchango wa kisomi na Kitaaluma kwenye...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kila Mtanzania anapaswa kutimiza wajibu wake bila kuogopana, akisisitiza kuwa Tanzania ni kinara katika kuheshimu haki na kuhimiza uwajibikaji.
Dkt. Mwigulu amesema hayo leo, Agosti 25, 2026 wakati akishiriki katika...
Watanzania tuungane kwa pamoja tupigane na hiki kikundi Cha mashetani.
Kama mtu mkubwa kama huyu anajiuzulu Ina mana imefika pabaya na too much.
Too much arrogance
Too much innocent blood shed
Too much theft
It is time my fellow tanzanians
Mtawala asipokupenda tu kichwa kinawekwa juu ya mkuki iwe fundisho kwa wengine 😂😂🙌
Waliowahi kuiona watanielewa😂
Ni mwendo wa kuwindana na kukaa kimachale machale sana.
Nina heshima kubwa sana na viongozi wa kikatolic waliomlea Nchimbi na Mpango. Hawa jamaa wapewe heshima kubwa,
Ni catholic church pekee ambalo limesimama na Watanzania
Ni hawahawa Catholic walimfanya JPM ajutie kuwa Mkatolic! It is no joke hawa watu wana utimamu wa akili against all myths na...
Kuna viongozi wanaotoka upande wa Tanzania bara katika serikali hii ya awamu ya sita chini ya Raisi Samia ambao wananchi wa Tanzania bara wanawaona kuwa wasaliti wakubwa wa Tanzania bara, au kama wanavosema "wasaliti wa Tanganyika".
Siku ikifika yakawakuta ya kuwakuta msije mkamlaumu mtu, kwa...
1) Mwaka 1962- Mwalimu Julius Nyerere
- Mwalimu Alijiuzulu nafasi yake ya "Waziri mkuu wa Tanganyika" miezi michache tu baada ya uhuru. Alimwachia kijiti Rashid Mfaume Kawawa na kurudi vijijini kujenga na kuimarisha chama cha TANU.
Kabla ya muungano
2) Mwaka 1977- Ali Hassan Mwinyi
-...
Tanzania imesema ushiriki wake katika Mkutano wa 17 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Kupambana na Kuenea kwa Hali ya Jangwa na Ukame (UNCCD COP17) unalenga kuimarisha juhudi za kurejesha ardhi iliyoharibika, kuhifadhi malisho na kuongeza ustahimilivu wa jamii dhidi ya ukame...
Tanzania imepewa mkopo wa billion 459 kutoka Korea kusini fedha hizo zitatumia kwenye ujenzi wa chuo cha AI and digital technology
Mimi najua hizo ela wamekopa za kuwalipa majaji wa mchongo kila siku kukopa hii nchi itauzwa
Source: Africaninsider
Hapo VIP!
Huu ndio ukweli utakaochelewa ila itafika
Yanga ni club ambayo imejipambanua Na kuweka wazi kuwa IPO kisiasa Na ni club yenye mahusiano mazuri Na CCM Na imekuwa ikiisupport kipesa.
Na inatumia sana mgongo huo kuumiza vilabu vingine Na kufanikisha mambo yao.
Sasa itoshe kusema in...
Inasikitisha sana Kwa kweli kwa nchi ilipofikia.
Imekua nchi ya mfano kwa miaka mingi.
1) Ilikuwa nchi ya mfano kwa kupigania haki ya watu wengine duniani kote walikokua wanaonewa na watawala wa wa hovyo.
2) Sasa imekuwa nchi ya mfano wa mambo ya hovyohovyo na ya kijingajinga hapa duniani...
Imekuwa kawaida siku hizi kukuta CRDB wamekata hela zangu kwenye account. nikiuliza maelezo yao yamejaa ubabaishaji tu.
Hivi bank gan kibongo ina unafuu? maan NMB naona nao wanalia balaah
Kuna sera huwa hazitangazwi kwa uwazi, lakini mtu una akili, utaweka mbili na mbili utalipata jibu la nne.
Jijini Dar, wachina wamechukua kazi karibu zote za barabara.
Wazawa walie tu.
Siku hizi kila mtoa kazi za Ujenzi ana "mchina wake".
Wakandarasi wazawa uzeni tu mitambo yenu kabla kutu...
Japo kila watu na ladha zao.
Kwa duniani ngoma za Japan(Taiko) hazina mpinzani. Hawa jamaa wapo serious sana na swala la ngoma.
https://youtu.be/1HHic-ylhOE?si=zNbIbbQyO7OqByCn
Kwa Afrika Waburundi hawana mpinzani. Hawa hata kwa dunia huwezi kuwatoa top 5. Hawa jamaa wanazunguka dunia nzima...
Yanga SC imeendelea kuonyesha ubabe baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo uliochezwa KMC Complex saa 12:00 jioni.
Magoli ya Yanga yamefungwa na Kangwanda, Shadrack Boka, Peter Shalulile na Ibrahimu Bacca, huku Yanga ikiendelea kuwaumiza wapinzani wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.