tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi Kaganda asisitiza Ushirikiano kwa Watumishi wa Ubalozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe

    Balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe Mheshimiwa Suzan Kaganda, amewasili Nchini humo tayari kuanza majukumu yake katika Balozi hiyo huku akiwaomba watumishi kushirikiana ili kutimiza azima ya viongozi wa Nchi hizo mbili katika masuala mbalimbali. Ametoa kauli hiyo leo Mei 05, 2025, Jijini Harare...
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Japan Expo 2025: Tanzania kuwakilishwa na nani?

    1. Kama mjuavyo Japan Expo 2025 imeanza toka April 2025. Sisi wazee wa fursa tunawakilishwa na nani huko? Kwenye msafara tusisahau kubeba Korosho, Karafuu na Madera. 2. Bongo movies wasikose kwenye list tafadhali
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ipo tayari kukabilian na vikwazo kutoka umoja wa Ulaya?

    Kwa jinsi hali ya hewa ya kisiasa ilivyo nchini ni wazi kuwa kuna vikwazo vinakuja huko mbele. Je, Tanzania inaweza kukabiliana navyo? Pia soma > Pre GE2025 - Bunge la Ulaya kufanya kikao cha dharura Mei 7, 2025 kujadili suala la Tundu Lissu, baadae kupiga kura Mei 8, 2025
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Balozi Mobhare Matinyi awasili kwa mara ya kwanza ofisini Stockholm Sweden

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, akipokewa na watumishi wa Ubalozi wa Tanzania jijini Stockholm alipoingia ofisini kwa mara ya kwanza leo Mei 5, 2025. Mbali ya Sweden, Balozi Matinyi ataiwakilisha pia Tanzania katika nchi za Sweden, Norway, Denmark, Finland, Iceland...
  5. nbayoungboy never broken

    JamiiForums Tanzania Mnaweza kunitajia vitu vilivyotengenezwa Tanzania

    Made in Tanzania ukitoa plastic na majembe ya mikono
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi mfumo wa uongozi ulivyo Tanzania, nadiriki kusema hata Wakenya waliobobea kwenye siasa za mabadiliko wasingeweza kuking'oa chama tawala

    Mfumo wa Tanzania umekita mizizi kwenye dola na mihimili mikuu ya nchi. Mageuzi hayawezekani kirahisi kama kwa majirani zetu. Nchi inaongozwa zaidi na mfumo kuliko watu UONGOZI WA MIKOA / WILAYA Tanzania: Wakuu wa mikoa & wilaya wanateuliwa na mfumo. Wana nguvu kuliko wabunge wanaotakiwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania kumeanza kuwa na ubunifu wa magari sio kama zamani

    Katika siku za karibuni nilipata nafasi ya kushuhudia interview moja ya kipind cha clouds kina itwa The Gear ambacho hufanya na garage na wauza spare parts hapa Tanzania, Jerry spare parts and service. Ambapo kwenye kipindi hicho alikuwepo host ambaye ni CEO wa Jerry spare parts and service...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Tanzania tulifikirie upya baada ya kushidwa na M23

    Je tuna jeshi hapa au ? Lazima tujiulize inakuwaje jeshi letu limeshidwa kirahisi na M23. Je tuna uhakika gani kama kundi dogo kama M23 likiingia Tanzania jeshi letu liko tayari na uwezo wa kisasa wa kupambana nao. Tunajua ni wajenzi wazuri na miradi mpaka ya sehemu za starehe lakini Jeshi letu...
  9. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Jasusi alijipenyeza Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Tanzania kwa Miezi Miwili akiwa anapanga Shambulio dhidi ya Padre Kitima

    BADO kuna maswali mengi kuhusu tukio la kuvamiwa, kupigwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima. Wakati majibu ya maswali hayo yakiendelea kutafutwa, Pambazuko lina taarifa za kina kuhusu jinsi sehemu ya njama za kumdhuru kiongozi huyo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya Kwanza Mwanamke anagombea URAISI hapa Tanzania

    IKiwa kipindi hiki cha mwanzo atashinda na ataongoza vizuri kufuatia uchaguzi utakaofanywa mwezi wa kumi, kuna uwezekano WaTanzania wakamchagua tena kugombea kwa tamu ya pili kama katiba ya Jamhuri ya Tanzania inavyompa ruhusa mwananchi kugombea ngazi ya Uraisi. Na hii itatokana na ridhaa ya...
  11. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Benki kuu ya Tanzania yapiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kufanya miamala ya ndani

    Benki kuu ya Tanzania ilisema katika taarifa yake Ijumaa jioni kwamba imepiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kwa miamala na malipo ya ndani. Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema kwa mujibu wa kanuni zilizotolewa na Serikali mwaka 2025, bei na malipo ya bidhaa na huduma zote nchini lazima...
  12. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Moja ya mambo nitakayoyafanya nikiwa Rais nikuhakikisha dawa za magonjwa mbalimbali zinatengezewa hapa Tanzania from scratch

    Nikiwa rais Tanzania haitakuwa tena eneo la kuvunia data yaani makampuni ya research ya kitanzania hayatafanya kazi kidalali kama ilivyo sasa Katika kutafuta novel therapeutics compound ya magonjwa mbalimbali tafiti zitajikita kwenye mambo yafuatayo;- Method of predict normal protein mutation...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndio nchi pekee UKWELI unaonekana ni tusi

    Kwetu tanzania ukimtukana mtu tusi yanaweza kuisha mkaombana misamaa ya 4R. Ila jambo linakuja ni lile la kuelewa ukweli kama umetoa rasmi tusi pro max. Ili nimeliona hata hapa JF wakebei kupitia CCM wanapoelezwa ukweli wanavyo anza kureact ukweli kuliko matusi yetu haya sehemu za siri.
  14. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Rwanda kuidhamini Athletico Madrid, Tanzania tuamke

    Hawa jamaa wamedhamiria kukuza utalii kweli kweli. Miaka michache ijayo huenda ikaongoza kuwa na wageni wengi kuliko nchi zenye raslimali nyingi za utalii. Sector ya utalii Tanzania nimuhimu tuamke, angalau tuwekeze makatika matangazo ya kidigitali yani kila mtu atakayetaka kupata taarifa...
  15. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Beach haouse for sale,located at Mbezi beach tanzania, price 💲1.7m, negotiable

    BEACH HOUSE FOR SALE LOCATION: MBEZI BEACH, KIDIMBWI Nyumba ina vyumba 8, Vyumba vi4 juu, kitchen na sebule. Vyumba vi4 chini, kitchen na sebule. Vyumba vi4 master. Kuna quota Ina vyumba viwili, (kimoja master), sebule, choo. SQM 1,742 BEI; $1.7million mazungumzo yapo Hati miliki...
  16. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Je, tutegemee kuona tukio gani kwenye mchezo wa JKT Tanzania vs Simba SC?

    Karibu Wadau Wa Soka uweke utabiri wako Wa tukio la kustaajabisha litakalokuacha mdogo wazi (kupigwa bumbuwazi) kwenye Mchezo Wa JKT Tanzania vs Simba SC kati ya haya yafuatayo. (1) Penati ya mchongo Baada ya mchezaji kujiangusha kwenye Penati box (2) Kadi nyekundu yenye utata na...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kenya isilinganishwe na Tanzania, Rais anaweza kuuawa kama Panya? Uganda na Rwanda ni nchi za kujifunzia. Kenya ilikuwa ya Moi

    Kuna wapumbavu wanalinganisha great nation na Kenya, ni aibu. Watanzania jifunzeni kdg, historia ya nchi yetu tofauti kabisa na Kenya. Sisi msimamo wetu kuiokoa Afrika wakati wakenya walikuwa wanainjoy mali za waingereza. Two different things. Nchi yetu ardhi ni mali ya serikali. Km wakenya...
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watu wenye tamaa za madaraka ni watu dhaifu sana kuliko wanavyo chukuliwa na kuogopwa hawana hekima yoyote na hawana akili

    siasa za kimagharibi ni wazi bado haziwezi kufanya kazi hasa anapotokea kiongozi mwenye tamaa za madaraka huku africa. Watu wenye tamaa za madaraka wanatumia kivuri cha demokrasia kufanya mauwaji, utekaji na ukandamizaji wakijificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani ili kusalia madarakani...
  19. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Bank za kenya Zang'ara Tanzania

    Bank za kenya zimekuwa zikifanya vizuri huku Tanzania. Je huko kenya kuna bank za tanzania au ndio tumekubali kupitwa na kila kitu "Hello, and another day to you all!#LeavingNoThingToChance: Nairobi Securities Exchange PLC listed banks continued to show their strengths with impressive earnings...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Jionee tofauti ya Miradi kati ya Jeshi la Ethiopia na Jeshi la Tanzania

    Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara. Picha hizi hapa👇 Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇...
Back
Top Bottom