tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Benki kuu ya Tanzania yapiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kufanya miamala ya ndani

    Benki kuu ya Tanzania ilisema katika taarifa yake Ijumaa jioni kwamba imepiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kwa miamala na malipo ya ndani. Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema kwa mujibu wa kanuni zilizotolewa na Serikali mwaka 2025, bei na malipo ya bidhaa na huduma zote nchini lazima...
  2. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Moja ya mambo nitakayoyafanya nikiwa Rais nikuhakikisha dawa za magonjwa mbalimbali zinatengezewa hapa Tanzania from scratch

    Nikiwa rais Tanzania haitakuwa tena eneo la kuvunia data yaani makampuni ya research ya kitanzania hayatafanya kazi kidalali kama ilivyo sasa Katika kutafuta novel therapeutics compound ya magonjwa mbalimbali tafiti zitajikita kwenye mambo yafuatayo;- Method of predict normal protein mutation...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndio nchi pekee UKWELI unaonekana ni tusi

    Kwetu tanzania ukimtukana mtu tusi yanaweza kuisha mkaombana misamaa ya 4R. Ila jambo linakuja ni lile la kuelewa ukweli kama umetoa rasmi tusi pro max. Ili nimeliona hata hapa JF wakebei kupitia CCM wanapoelezwa ukweli wanavyo anza kureact ukweli kuliko matusi yetu haya sehemu za siri.
  4. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Rwanda kuidhamini Athletico Madrid, Tanzania tuamke

    Hawa jamaa wamedhamiria kukuza utalii kweli kweli. Miaka michache ijayo huenda ikaongoza kuwa na wageni wengi kuliko nchi zenye raslimali nyingi za utalii. Sector ya utalii Tanzania nimuhimu tuamke, angalau tuwekeze makatika matangazo ya kidigitali yani kila mtu atakayetaka kupata taarifa...
  5. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Beach haouse for sale,located at Mbezi beach tanzania, price 💲1.7m, negotiable

    BEACH HOUSE FOR SALE LOCATION: MBEZI BEACH, KIDIMBWI Nyumba ina vyumba 8, Vyumba vi4 juu, kitchen na sebule. Vyumba vi4 chini, kitchen na sebule. Vyumba vi4 master. Kuna quota Ina vyumba viwili, (kimoja master), sebule, choo. SQM 1,742 BEI; $1.7million mazungumzo yapo Hati miliki...
  6. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Je, tutegemee kuona tukio gani kwenye mchezo wa JKT Tanzania vs Simba SC?

    Karibu Wadau Wa Soka uweke utabiri wako Wa tukio la kustaajabisha litakalokuacha mdogo wazi (kupigwa bumbuwazi) kwenye Mchezo Wa JKT Tanzania vs Simba SC kati ya haya yafuatayo. (1) Penati ya mchongo Baada ya mchezaji kujiangusha kwenye Penati box (2) Kadi nyekundu yenye utata na...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kenya isilinganishwe na Tanzania, Rais anaweza kuuawa kama Panya? Uganda na Rwanda ni nchi za kujifunzia. Kenya ilikuwa ya Moi

    Kuna wapumbavu wanalinganisha great nation na Kenya, ni aibu. Watanzania jifunzeni kdg, historia ya nchi yetu tofauti kabisa na Kenya. Sisi msimamo wetu kuiokoa Afrika wakati wakenya walikuwa wanainjoy mali za waingereza. Two different things. Nchi yetu ardhi ni mali ya serikali. Km wakenya...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watu wenye tamaa za madaraka ni watu dhaifu sana kuliko wanavyo chukuliwa na kuogopwa hawana hekima yoyote na hawana akili

    siasa za kimagharibi ni wazi bado haziwezi kufanya kazi hasa anapotokea kiongozi mwenye tamaa za madaraka huku africa. Watu wenye tamaa za madaraka wanatumia kivuri cha demokrasia kufanya mauwaji, utekaji na ukandamizaji wakijificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani ili kusalia madarakani...
  9. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Bank za kenya Zang'ara Tanzania

    Bank za kenya zimekuwa zikifanya vizuri huku Tanzania. Je huko kenya kuna bank za tanzania au ndio tumekubali kupitwa na kila kitu "Hello, and another day to you all!#LeavingNoThingToChance: Nairobi Securities Exchange PLC listed banks continued to show their strengths with impressive earnings...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Jionee tofauti ya Miradi kati ya Jeshi la Ethiopia na Jeshi la Tanzania

    Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara. Picha hizi hapa👇 Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania inawaogopa watu wa LINDI na MTWARA pekee

    Jamii ya wananchi wa mkoa wa Lindi na MTWARA ni jamii nyingine. Huko Arusha mnasema kuna watu wamepinda , yes wamepinda lakini ni kwaajili ya mabange tu na usela mavi. Watu wa kusini ni next level. Serikali ya Tanzania imefanikiwa kudhibiti vyombo vya habari hawawezi kurusha kila kitu . 2013...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanasheria wa Kimataifa walaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Tundu Lissu

    Jumuiya za Kikanda na Kimataifa za vyama vya Wanasheria zimetoa tamko rasmi la kulaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Wakili Tundu Lissu ambaye ni Rais wa zamani wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Taarifa ya pamoja ya jumuiya hizo iliyosainiwa na Chama cha Wanasheria Afrika Mashariki...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapongezwa na Kamisheni ya Afrika ya haki za binadamu kwa kukuza na kulinda haki za kiraia

    Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imetoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna Nchini ya Tanzania inavyokuza na kulinda Haki za Kiraia, Kisiasa, Kiuchumi, Kiutamaduni na Kijamii. Hayo yamewekwa bayana na Mwenyekiti wa Kamisheni...
  14. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania China ni mshirika wa Tanzania na CCM ni taifa linaloendelea kwa kasi sana

    China ni taifa linalokuwa kwa kasi kiuchumi, na ni mshirika mkuu wa serikali ya Tanzania, wakati China wakikua kiteknolojia Tanzania tumejifunza na kujiuvunia nini kutoka kwa marafiki wetu wa muda mrefu, au kazi yetu kubwa ni kuteka na kuwaumiza viongozi wa dini wanaohubiri haki na amani...
  15. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania MATUMIZI YA DRONES TANZANIA

    Drones Tanzania: Fursa Zake Katika Kilimo na Usimamizi wa Maafa Katika dunia ya sasa, teknolojia ya drones (ndege zisizo na rubani) imekuwa chombo muhimu si tu kwa shughuli za kijeshi bali pia kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Tanzania haijabaki nyuma – matumizi ya drones yameanza kushika...
  16. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Matajili wote mnaopenda kuvaa vito vya thamani, kuweni makini.

    Matajiri wote mnaojijua mnavaaga vito kama vile saa, pete mikufu ya almasi au dhahabu na vitu vingine vya thamani na ni mtu wa watu, mtu wa mitandao (public figure), basi fanyeni harakati zenu kimachale...kaeni chonjo. Ikiwezekana kwa kipindi hiki tengeneza Pete saa au mikufu bandia, na ile...
  17. Nicolas J Clinton Gabone

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Tanzania ya mshikamano

    RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN NA TANZANIA YA MSHIKAMANO Na, Nicolas Jovin Clinton Gabone. Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Vijana wa Mageuzi (JUVIMA)-NCCR-Mageuzi Dar Es Salaam 4 May 2025. Rais Samia Suluhu Hassan ni moja ya wanawake wachache wenye uwezo na nguvu ambao wamefanikiwa kuongoza...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Maswali kuntu kwa Wenye viapo vya Kuilinda Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977

    Jana katika kikao chao na Waandishi wa Habari, Mawakili wa Tundu Antipass Lissu anayetuhumiwa kwa makosa ya Uhaini na Uchochezi waliutaarifu Umma wa Watanzania rasmi kuwa Tundu Lissu aliyepo gereza la ukonga; 1. Amezuiliwa kufanya sala kwa mujibu wa dini yake ya Ukatoliki ikiwemo kushiriki...
  19. Kagemro

    JamiiForums Tanzania Bunge na Serikali ( political gangster of Tanzania)

    Please can anyone tell me, what do these criminals do to the Nation! Prime minister he is busy doing politics using taxpayers money instead of being in the office managing day to day government affairs! Who is supervising the government and its citizens!!!! Please Samia you have failed us!
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna udini wala vita ta kidini haitakaa itokee. Sababu hizi hapa

    Asilimia 90 ya Watanzania ni vijana na Kati Yao asilimia 80 ni Gen Z. Gen Z hawanaga mambo ya dini. Mambo ya dini ni ujinga ujinga tu. Ni Sisi tulio zaliwa miaka ya themanini, wadogo zetu wa tisini mwanzoni na kaka zetu wa sabini ndio tulikuwa na ujinga ujinga wa kufuata mambo ya dini kwa...
Back
Top Bottom