Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, ameonyesha kushangazwa na kimya cha Bunge la Tanzania katika kushughulikia masuala nyeti ya kitaifa, akilituhumu kuwa limekimbia majukumu yake ya msingi.
Akizungumza jijini Arusha hii leo Mei 8, 2025 katika mkutano wa TLS...
Katika jitihada za medical tourism hizi ni baadhi ya complex medical procedure zitakuwa nafuu Tanzania kuliko sehemu yeyote duniani
Bone marrow transplant
Liver resection
Pancreas resection
lung resection
Coronary Revascularization
Surgical Ventricular Restoration
Septal Myectomy
Thoracic...
MSIMAMO WA SERIKALI YETU KUHUSU AZIMIO LA BUNGE LA EU. MILA NA DESTURI ZA TANZANIA NI ZIPI? HATUKUBALIANI NA MILA POTOFU KAMA UTEKAJI, UUAJI NA UMUNGUMTU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Tunajua kila taifa na jamii inamila na desturi zake. Kila familia ina desturi zake. Sio kosa...
Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde ameeleza kuwa, Serikali ya Tanzania imeendelea kuchukua hatua madhubuti kuelekea mageuzi ya kweli ya Sekta ya Madini hapa nchini kwa kuanza rasmi mkakati wa kuongeza thamani ya madini muhimu yanayopatikana nchini.
Alieleza hayo Mei 8, 2025 wakati...
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Balozi Stephen P. Mbundi leo tarehe 8 Mei, 2025 ameongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kikao cha Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
MAZITO YAJADILIWA KATIKA BUNGE LA ULAYA, TUNDU LISSU KESI YA UHAINI, ALI KIBAO KUUAWA,,WATU KUPOTEZWA N.K
https://m.youtube.com/watch?v=4QH2juya5sk
Wabunge wa Bunge la Ulaya wasema kuwa zile 4R za rais Samia Hassan zimetuhadaa
Misaada mfano €160,000,000 na mingine mingi ya EU inatumika...
Kiuhalisia wabunge wanatakiwa kuwa wawakikishi wa wananchi, wanatakiwa kuwatetea wananchi dhidi ya chombo kingine chochote kinachowadhulumu haki wananchi.
Bunge linatakiwa kuwa ni chombo ambacho kinatakiwa kuwa mstari wa mbele kutetea haki na mawaslahi ya wananchi.
Jambo la kujiuliza, hivi...
TUNDUMA
Kamati ya Pamoja ya Wataalamu wa Tanzania na Zambia (JTC) inayokutana katika mji wa Tunduma mkoa wa Songwe kujadili Mpango Kazi wa Uimarishaji Mpaka wa Kimataifa imetembelea na kukagua alama za mpaka wa nchi hizo mbili kwa lengo la kuona uharibifu uliofanyika.
Mpaka wa Tanzania na...
Takwimu zinaweza kutofautiana kutokana na chanzo cha taarifa na sababu zinginezo.
Kwa mujibu wa IMF, GDP ya Tanzania ni dola [za Kimarekani] bilioni 85.
Kuna watu huwa wanadai Tanzania kuna hela na Watanzania wana hela.
Okay, sawa. Labda sisi wengine tuonavyo tofauti huwa hatuelewi, hatujui...
Katika mazingira ya sasa ya kiuchumi, kumiliki gari kunahitaji uamuzi wa busara unaozingatia zaidi ya bei ya ununuzi. Gharama za matengenezo na upatikanaji wa vipuri (spare parts) ni mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa kabla ya kufanya maamuzi.
Ni aina gani ya magari ambayo kwa uzoefu wenu...
Kuna wabunge nimewasikia wanapayuka na nimeelewa kwamba hawajui kabisa kuwa misaada ya Ulaya imekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya Tanzania katika miaka kama kumi iliyopita. Tanzania inafanya jitihada kuelekea kujitegemea, lakini bado misaada ya Ulaya ikositishwa hali hiyo inaweza...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna uwezekano wazungu Wameanza kupoteza uwezo wa kufikiri na kupambanua Mambo, wameanza kudumaa kiakili, wameanza kufikiri wapo bado enzi za ukoloni,wameanza kufikiri labda sisi ni Makoloni yao.
Napenda kuwaambia ya kuwa Tanzania ni Nchi huru na Taifa huru...
Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema.
Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu,
•Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania...
Najiuliza hili swali inakuwaje kila sector nyeti nchi hasa ofisi ya Rais imeshikiliwa na mzanzibar?
Na ukimkuta mtanganyika anakuwa Hana meno na aamininiki kwa chochote!!
Je, Tanzania imethibitiwa na Kama Nyerere alivyokuwa amewadhibiti wazanzibari?
Mmeshasikia mtu anatekwa Zanzibar kwanini...
Mbunge wa Biharamulo Eng. Ezra Chiwelesa acharuka na kupinga vikali moja ya maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania huku Mwita Mwikwabe Waitara akitoa msimamo kuwa kama hoja yao ni kutoleta Maji basi watakunywa hata ya Kisima na Chifu wa Kikurya hawezi kuolewa habari ya Ushoga na...
Wanabodi
Makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi
https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/tumpongeze-rais-samia-sambamba-na-wanahabari-ila-tukaze-uzi-5030938
Tarehe 3 Mei kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari, kwa wiki nzima, iliyopita, nimekuwa jijini Arusha kwenye hoteli...
Bunge la Umoja wa Ulaya limezitaka mamlaka za Tanzania kufanya mambo yafuatayo:
Kukomesha msako unaoendelea dhidi ya wakosoaji wa serikali,
Kukomesha ukamatwaji holela wa raia,
Kukomesha vurugu za kisiasa zinazofanywa na vyombo vya dola,
Kukomesha mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama...
Nimejaribu kumuuliza bwana Google akisaidiana na AI, ili waende wakadukue huko na kule ili tuweze kupata misingi ya Vyama hivi vinasimamia Nini na Best Case Scenario kama wakifanya wanachokisimamia sisi kama Wenye Nchi tungependa / Tunakubaliana na yupi. Ingawa on Paper sioni Tofauti kubwa...
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb.), akijibu maswali yaliyoulizwa na Wabunge mbalimbali kuhusu sekta hiyo, Bungeni jijini Dodoma, Mei 8, 2025
Explore New Career Opportunities with Vodacom Tanzania
Are you ready to take the next step in your career with a leading telecommunications company? Vodacom Tanzania is hiring across multiple roles, offering exciting new career paths to talented individuals eager to contribute to the digital...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.