tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Peter Gati

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Web Scraping na Akili Bandia (AI) katika Uandishi wa Habari za Uchunguzi Tanzania

    Utangulizi Tarehe 29 Aprili, 2025, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani jijini Arusha, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliwataka waandishi wa habari wa Tanzania kukumbatia Akili Bandia (AI) kama zana muhimu ya kuimarisha kazi zao. Kauli hii ya uthibitisho kutoka ngazi...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania litoe tamko kukemea uingiliwaji wa Sovereignty ya Tanzania in strongest possible terms!

    Tanzania ni Sovereign State. Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili. Tanzania Ina Katiba yake Katiba imeweka Mahakama huru Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia. Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa vyombo vya habari Tanzania, naomba wanahabari mtujubu

    Juzi nimesikia kelele na ngonjera za kusifia uhuru wa vyombo vya habari hapa nchni. Jana bunge la ulaya lilijadili hali ya haki za binadamu mchini. Hii ni habari kubwa sana kwa viwango vyovyote. Nimepitia karibu magazeti yote ya leo hakuna hata mojo lililothubutu kuandika habari hiyo. Hivi mtu...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tanzania yasisitiza: Hatujavunja Sheria, tunatekeleza majukumu yetu kama Taifa Huru

    Serikali ya Tanzania imeweka wazi msimamo wake kuhusu hali ya kisiasa nchini, ikisisitiza kuwa hakuna sheria zilizovunjwa katika kutekeleza majukumu yake kama taifa huru na linalozingatia utawala wa sheria. Akizungumza na wahariri jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
  5. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Ningependa kujua air defense systems za Tanzania maana dunia imekua uwanja vita mtu anakutafitia sababu ukipige kilazima

    Kwa mambo yanayoendelea duniani hili ni muhimu sana kama raia WA kawaida ningependa kujua vita kama hvo Ili likitokea la lakutokea tujue tunaenda wapi maana Kwa Hali ya Sasa vita ya iii ya dunia naona IPO karibu sana. Maon yenu ni muhimu sana katika kujifunza mazuri ya jeshi letu
  6. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanzania tumebarikiwa viongozi mahiri, kumbe Tundu Lissu ni maarufu kiasi hiki?

    Salaam! Kuna ule msemo usemao, nabii hakubaliki kwao, ni wa kweli kabisa, Tuna kiongozi maarufu ndani na nje ya mipaka ya nchi, Tena umaarufu wake ni Katika kupigania haki na kudai mifumo imara ya uchaguzi Katika kuchagua na kuchaguliwa viongozi. Imagine, bunge la ulaya kuweka muda special...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashiriki kikamilifu mkutano wa mazingira duniani nchini Denmark

    TANZANIA YASHIRIKI KIKAMILIFU MKUTANO WA MAZINGIRA DUNIANI NCHINI DENMARK Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu ushiriki wa ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Mawaziri wa Mazingira duniani unaofanyika tarehe kuanzia leo tarehe 7 hadi 8 Mei, 2025, jijini Copenhagen nchini Denmark...
  8. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Karibu Tanzania

    Karibu Tanzania nchi ambayo Mchina anaingia nchini anafanya kazi bila vibali hata miaka 6 fresh tu Wewe mngoni nenda kariakoo fungua hata Ki Mpesa na huna leseni Utakiona cha moto. Inawezekana kweli mzee wangu marehemu JomoKenyatta aliona sisi ni maiti kweli?
  9. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la ukosefu wa Ajira Tanzania: Tuwape Wahitimu wote hii kitu "Graduate Card"

    Habari Tanzania ! Naomba kuweka wazo langu hapa jukwaani. Nawaomba taasisi za Elimu ya kati na juu kupitia Wizara ya Elimu mkaja na hii huduma kwa hawa vijana wanaohitimu chuo hususani ngazi ya kati na juu ( Diploma & Degree holders) tuwapatie kadi maalumu kwaajili ya kupata kibali cha ajira...
  10. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi MAABARA za kupima madini zinavyowatajilisha wachimbaji wa DHAHABU Tanzania. Uzoefu wa miaka 10

    Ilikuwa Mwaka 2015 Baada ya kumaliza chuo (Shahada ya jiologia), Nilianza kufanya kazi katika kampuni (Maabara) mbalimbali za upimaji wa sampuli za mawe, udongo na aina nyinginezo nikiwa kama (Laboratory Geologist). Uzi wangu kuhusu geologia ya madini huu hapa Tangu wakati huo nimekuwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kabila gani linachakaa haraka hapa Tanzania ??

    Hapa nikiwa na ile safari ya kutafuta wa kuwowa ,bado nipo nahangaila ila ,imenijia ,kuna makabila wanawake wakielekea uzeeni huvurugika sura zao na ..Uzuri wao wa sura huondoka na itakuwa mshanielewa.. Pengine alikuwa mrembo na tabia nzuri ila kuelekea uzeeni eeei ndio hivyo, ila nasikia...
  12. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania Job Vacancies – May 2025 (7 Listings)

    Explore New Career Opportunities with Vodacom Tanzania Are you ready to take the next step in your career with a leading telecommunications company? Vodacom Tanzania is hiring across multiple roles, offering exciting new career paths to talented individuals eager to contribute to the digital...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kenya wapo Doha na Dubai; Vijana wa Tanzania wapo wapi?

    Nimesafiri mara kadhaa na kupita kwa muda katika viwanja vya ndege vya Hamad International Airport (HIA) jijini Doha - Qatar na Dubai Airport - DXB pale Al Garhoud, Dubai ; UAE. Licha ya ukubwa wa Viwanja hivi, jambo nililoona ni uwepo wa ndugu zetu Wakenya wakiwa kama wafanyakazi katika...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Hati 3 za makubaliano na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) zina athari gani kwa Tanzania? Tumetoa nini nyuma ya pazia?

    Wakuu, Mei 5 Serikali ya Tanzania ilisaini hati 3 za makubaliano na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa mpigo; 1. Rais Samia na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Abdullah Bin Zayed Al Nahyan, wakishuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano baina...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kenya waishangaa Tanzania kuona Rais anayegombea ndiye anaisimia Tume ya Uchaguzi

    Alooo hii ni fezea🤣🤣 yaani toka Wakenya watushangae kwenye uchaguzi wa 2020 wanaendelea kutushangaa mpaka leo! We ulisikia wapi mtu anagombea na hapo hapo ndio asimamie mchakato wa uchaguzi afu aache afeli? Hata ungekuwa wewe ungeruhusu hilo? Mwendo wa kujipakulia minyama tu, Bunge na...
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Tanzania vs Zambia | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 06 May 2025

    Full time Tanzania 0 - 1 Zambia Ni siku nyingine tena katika Group A team ya Taifa ya Tanzania U-20 aka Ngorongoro Boys wakikipiga katika uwanja wa Suez Canal na team ya Taifa ya Zambia, kuanzia saa 12 jioni. Hadi sasa Ngorongoro Boys hawajapata ata point moja wala goli moja baada ya kupoteza...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mvutano wa Tanzania na Malawi umemalizwa, makubaliano yasainiwa Dodoma

    Tanzania na Malawi zimeamua kufungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa kibiashara baada ya kumaliza mvutano wa kibiashara uliodumu kwa siku kadhaa, kufuatia marufuku ya uingizaji wa bidhaa zilizowekwa na Malawi Machi 13, 2025. Hatua hiyo imefikiwa kupitia mkutano wa pamoja wa mawaziri uliofanyika...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kabila gani ni nzuri kuoa hapa Tanzania

    Yaani ukishaurika itakubidi ufunge safari kumfuata au ni hapo ulipo itakuwa huna haja ya kuhangainga. Nasikia wadigo au Watanga ,ila sijaona uzuri wao mie nipo Tanga ,ila nawaona wapo ovyo. Pengine mwezi ujao nikaelekea Mtwara ,ila ushauri wa hapa si mnajua jungu kubwa halikosi ukoko.
  19. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Je Kupotea kwa watu tanzania ni Ugaidi au siyo Ugaidi??

    Kama watu wanapotea bila kujua wapi wanaelekea je huo ni ugaidi au siyo ugaidi?Je Ugaidi ni upi?Tuambiane kuhusu neno Ugaidi.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Miji na vijiji vinavyokuwa kwa Kasi Tanzania unaweza kimbilia kutafta pesa huko

    Ukiwa kijana unahitaji kufahamu haya mambo mawili 1. Kujua fursa 2. Kukubali kubadilika , kama mzee unahitaji kitu kimoja tu maishani 1. Utulivu , pesa inapatikana penye kundi kubwa la watu ( high populations more opportunities ). Huu Uzi nakutajia miji na...
Back
Top Bottom