Rwanda kuidhamini Athletico Madrid, Tanzania tuamke

Rwanda kuidhamini Athletico Madrid, Tanzania tuamke

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,135
Reaction score
11,393
Hawa jamaa wamedhamiria kukuza utalii kweli kweli. Miaka michache ijayo huenda ikaongoza kuwa na wageni wengi kuliko nchi zenye raslimali nyingi za utalii.

Sector ya utalii Tanzania nimuhimu tuamke, angalau tuwekeze makatika matangazo ya kidigitali yani kila mtu atakayetaka kupata taarifa kuhusu utalii, Afrika apelekwe kwenye tovuti ya utalii Tanzania.

Tusipoamka tutapigwa gepu vibaya sana. Ubunifu kwenye karne ya 21 ndio kila kitu. Tuache kuwekeza kupandisha wasanii wetu mlimani tuwekeze kimataifa zaidi nihayo tu.

Mkiunganisha uzi mtajua wenyewe
 
1746428915473.jpg
 
Hawa jamaa wamedhamiria kukuza utalii kweli kweli. Miaka michache ijayo huenda ikaongoza kuwa na wageni wengi kuliko nchi zenye raslimali nyingi za utalii. Sector ya utalii tanzania nimuhimu tuamke , angalau tuwekeze makatika matangazo ya kidigitali yani kila mtu atakayetaka kupata taarifa kuhusu utalii , africa apelekwe kwenye tovuti ya utalii tanzania. Tusipo amka tutapigwa gepu vibaya sana. Ubunifu kwenye karne ya 21 ndio kila kitu . Tuache kuwekeza kupandisha wasanii wetu mlimani tuwekeze kimataifa zaidi nihayo tu . Mkiunganisha uzi mtajua wenyewe
Sekta zetu bado zinafanya matangazo old school, hatuwakamanti wale influential people dunanian, taasis influential

Wenzetu wanaangalia mbali sana
 
Mkuu una namba za huyo dada wa kwenye picha
[emoji848]
 
Wageni wengi wanataka kufika Rwanda wakaangalie Gollila waliochukuliwa DRC sisi tunao hapo Gombe shida gharama ni kubwa kama wanaondoka na hao wanyama wenyewe gari land cruiser kodi zake zipo juu kama hatuna mbuga vile wageni wanabaki kuzunguka na Cruiser za kuunga Unga zinapiga kelele kama wamepanda gari ya mabati..
 
Zamani mpinzani wa jadi alikuwa mkenya ila sasa meza imepinduka, mpinzani wa jadi kawa Rwanda
 
Sekta zetu bado zinafanya matangazo old school, hatuwakamanti wale influential people dunanian, taasis influential

Wenzetu wanaangalia mbali sana
Usifikiri hawajui,rambaramba mingi sana ndio inatukwamisha...
 
Vitu wanavyo waza muda wote ni uchaguzi na kuiba, zaidi ya hapo ni kuua na kuumiza wanao tishia ulaji wao basi
 
Hawa jamaa wamedhamiria kukuza utalii kweli kweli. Miaka michache ijayo huenda ikaongoza kuwa na wageni wengi kuliko nchi zenye raslimali nyingi za utalii.

Sector ya utalii Tanzania nimuhimu tuamke, angalau tuwekeze makatika matangazo ya kidigitali yani kila mtu atakayetaka kupata taarifa kuhusu utalii, Afrika apelekwe kwenye tovuti ya utalii Tanzania.

Tusipoamka tutapigwa gepu vibaya sana. Ubunifu kwenye karne ya 21 ndio kila kitu. Tuache kuwekeza kupandisha wasanii wetu mlimani tuwekeze kimataifa zaidi nihayo tu.

Mkiunganisha uzi mtajua wenyewe
Mna I overrate Rwanda haina lolote.

Nyau de adriz
 
Back
Top Bottom