tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukisikiliza maneno ya Nape, DC Longido, Polepole na sasa Naibu Waziri Sangu lazima ukubali No Reform No Election ni Mpango wa Mungu kwa Tanzania.

    Baada ya kusikiliza clip ya maongezi ya Naibu Waziri wa Utumishi Bw. Deus Sangu ambaye pia ni mbunge wa CCM jimbo la kwela, na zile nyingine za Nape, DC Longido na Humprey Polepole kuhusu CCM wanavyoshinda uchaguzi utakubaliana na mimi kuwa No Reform No Election ni mpango wa Mungu kuikomboa...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania and Finland to forge stronger ties in diplomacy

    TANZANIA AND FINLAND TO FORGE STRONGER TIES IN DIPLOMACY
  3. President of China

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Meli ya China na Tanzania (SINOTASHIP): Nguzo ya Usafirishaji wa Mizigo Baharini

    KUNA WATU WANAUMIA WAKONA MAENDELEO YA TANZANIA Serikali ya Tanzaniaimeendelea kushirikiana na wadau mbalimbaliikiwemo Serikali ya Jamhuri ya Watu wa Chinakatika kuboresha huduma za uchukuzi katikaBahari. Mkakati huo umeendelea kutekelezwa naKampuni ya Meli ya China na Tanzania(SINOTASHIP)...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Aliexpress Tanzania ina husisha utapeli?

    Habari zenu wanaJF. Nilikuwa nauliza kuhusu Aliexpress mwenye ujuzi nao tafadhali atuthibitishie. Jana nilipata kutextiwa whatsapp kwa namba ngeni akijitamvulisha kuwa ni mfanyakazi wa Ali Expresss Tanzania, basi nikamsililiza akanambia alinipa task kuwa atanipatia link then bidhaa...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Finland kuimarisha Ushirikiano katika Usimamizi wa Amani na Usuluhishi wa migogoro

    Tanzania na Finland kuimarisha Ushirikiano katika Usimamizi wa Amani na Usuluhishi wa migogoro Rais wa Jamhuri ya Finland, Mhe. Alexander Stubb amesema Serikali ya Finland itaendelea kuimarisha ushirikiano na Tanzania ili kuhakikisha juhudi za pamoja zinatekelezwa katika usimamizi wa amani na...
  6. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Msemo usemao 'Christopher Columbus aligundua Amerika'ufutwe mara Moja na usitumika wakati wa kuwafundisha wanafunzi wa Tanzania

    Kwa miaka mingi tumekuwa tukiwatukuza wazungu kwa vitu vya ajabu ambavyo ukikaa na kutafakari utagundua kuwa na upuuzi mtupu. Mi huwa najiuliza kuwa Columbus alipoenda America hakukuta watu? Kama alikuta watu kwa nini tumwite mgundizi wa America wakati hata wale aliowakuta hawajawahi kudiriki...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa hesabu online bure kabisa (Tanzania)

    Vijana mnao soma olevel kuanzia kidato cha kwanza hadi ya Sita. Jifunzeni hesabu online kwa huyu teacher yupo nondo sana. Channel yake ya YouTube ni: https://youtu.be/Y77Sx4L-RVw?si=tlGThfXpJSUdupmz Anafundisha bure
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania TAHLISO yapinga wanaoidharau Elimu ya Tanzania

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewakosoa vikali baadhi ya Watanzania wanaoikosoa na kuidharau elimu ya Tanzania, akisisitiza kuwa taifa lina kila sababu ya kujivunia maendeleo yaliyopatikana katika sekta hiyo, hasa chini ya serikali...
  9. Powder

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia Mafuta yakitoka chini Ardhini hapa Tanzania

    Nafahamu Kuna Makampuni ya Kizungu labda na Serikali wakiendelea na Utafutaji wa Mafuta huko Baharini...! Binafsi katika Utafutaji niliwahi kwenda maeneo flani ndani ya Tanzania huko Vijijini, wenyeji wangu wakanipitisha kwenye eneo Moja nikabaki kushangaa, kwanza Majani hayaoti eneo Hilo, ni...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwana FA: Fainali ya Simba dhidi ya RS Berkane itachezwa Benjamin Mkapa

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesisitiza kuwa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane itachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Mei 27, 2024 kwa kuwa Serikali imefanya jitihada mbalimbali za...
  11. President of China

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe Jijini Abidjan

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe na kujadiliana nae masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia, kilimo na michezo kwenye kikao kilichofanyika ofisini kwa mwenyeji wake, Boulevard Angoulvant Plateau, Jijini Abidjan. Waziri Mkuu...
  12. President of China

    JamiiForums Tanzania Gavu asisitiza kuimarishwa ushirikiano Tanzania na China

    Na Mwandishi Maalumuu, Shandong - China KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Oganaizesheni, Issa Gavu, amesisitiza umuhimu wa kuendeleza uhusiano baina ya Tanzania na Jamhuri ya Watu wa China kwa maslahi ya nchi hizo na watu wake. Pia, amehimiza kudumisha uhusiano wa...
  13. Kindred Spirit

    JamiiForums Tanzania Papa Leo XIV Alishatembelea Tanzania zaidi ya mara tano

    Anaweza kuwa Papa wa kwanza kutembelea zaidi ukanda wa Afrika kabla hajawa Papa. Papa ameishi Nigeria, pia ametembea Congo DRC na Kenya. Kwa mujibu wa Catholic News Agency, Papa ameshafika Tanzania zaidi ya mara tano na kufanya kazi maeneo mbalimbali katika nyakati hizo ikiwemo Morogoro na...
  14. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania BOT iondoe sifuri moja kwenye noti za Tanzania kama walivyfanya Zambia mwaka 2012

    Punguza sifuri moja kwenye noti za Tanzanian kuna athari kadhaa za kifedha na kiuchumi, ambazo ni pamoja na: 1. Kuhifadhi Thamani na Usahihi wa Bei: Kupunguza sifuri moja kwenye noti kunaweza kusaidia kuboresha usahihi wa bei na kupunguza mkanganyiko wakati wa kujumuisha au kuhesabu bei kubwa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania high inflation, pesa yetu ni useless In world market, watu mpo kimya?

    I will be short aisee every day. mambo ya nakuwa magumu, inflation kubwa sana. aisee hata dollars watu wanatuuzia at high price wana ogopa market vulnerability. yani mtu nauza dollar at maximum profit anajua hizi mambo siku yeyote itapanda zaidi. Sasa tunatokaje huku?? hali mbaya sana
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Norway kuimarisha mahusiano katika kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi

    Waziri Mhandisi Masauni akiwa ameambatana na Ujumbe wa Tanzania pamoja na Balozi wa Norway Nchini Tanzania, amekutana na kufanya Mazungumzo na Bw. Bard Vegar Solhjell, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Norway (NORAD) pamoja na Bi. Marita Sorheim Rensvik Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya...
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania The President of the Republic of Finland, H.E. Alexander Stubb has arrived in Dar es Salaam, Tanzania, for a three-day state visit from May 14 to 16

    The President of the Republic of Finland, H.E. Alexander Stubb has arrived in Dar es Salaam, Tanzania, for a three-day state visit from May 14 to 16, 2025. This visit comes at the invitation of the President of the United Republic of Tanzania, H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan. During the visit, the...
  18. J

    JamiiForums Tanzania KERO Taneco Kahama Mtaua Watu

    Habari za mida hii wanajf? Napenda Leo nilete tatizo ambalo limekua kwa kipindi sasa na TANESCO hamna action walioi-take. Mimi no mkazi wa Kahama Municipal, Ukiwa Shunu kuja huku Hongwa Tanesco wamezidisha kero na hatari kwa wakazi wa eneo hili. Toka waweke nguzo na nyaya zipo chini nawakati...
  19. President of China

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni Ujerumani ya Afrika Mashariki” – Sio Kauli ya Kushtua, Ni Ukweli Unaokua

    Wengi wetu tunaposema “Tanzania ni Ujerumani ya Afrika Mashariki”, wengine hucheka, wengine hushangaa, na wachache huelewa maana halisi ya kauli hii. Lakini kwa anayechambua historia, jiografia, diplomasia, uchumi, na nafasi ya kistratejia – Tanzania inaendelea kuwa kama Ujerumani katika Ulaya...
  20. President of China

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Ufalme wa Morocco zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa matumizi ya teknolojia katika Sekta ya Nishati

    Tanzania na Ufalme wa Morocco zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa matumizi ya teknolojia katika Sekta ya Nishati ili kuiwezesha sekta hiyo kuwa na mchango endelevu nchini. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko alipokutana na Mwenyeji wake...
Back
Top Bottom