tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Watumishi wa Umma wanakosa uzalendo, unateua mtu anakwenda kupiga picha nyaraka za siri na kusambaza

    Rais Samia Suluhu Hassan, akiapisha viongozi wateule ikiwemo wa Tume ya Maadili leo Mei 24, amewataka kusimamia maadili kwa watumishi wa umma kwa nguvu na uadilifu. "Sisi viongozi ni watu na wanadamu, kuna miiko tumewekewa. Ukitufanyia tathmini leo unaweza ukatukuta asilimia 30 tu kweli...
  2. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Marekani Yasikitishwa Na Ukandamizaji Wa Tanzania Dhidi Ya Wanaharakati Wa Kimataifa, Yazitaka Nchi Zote Za Ukanda Kuchukua Hatua Dhidi Ya Tanzania

    Marekani kupitia ukurasa wake wa Mahusiano ya mahusiano ya Nchi za Afrika pale kwenye mtandao wa X ameripoti kusikitishwa na matendo ya Tanzania ya kutowatendea vyema wanaharakati wawili wa Kiafrika kutoka Uganda na Kenya. Na wameitisha Nchi za Ukanda huu wa Afrika Mashariki kuchukua hatua zaidi...
  3. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Lyatonga Mrema , Maalim Self, Lipumba, Mbowe , Mama Tanzania pamoja na Zitto je historia ya Tanzania itawakumbukaje hawa watu ?

    Lyatonga Mrema , Maalim Self, Lipumba, Mbowe , Mama Tanzania pamoja na Zitto je historia ya Tanzania itawakumbukaje hawa watu ?. .
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kwa thamani ya Tanzania niwafurahishe wakenya?, CHADEMA kuna mahali mnakosea sana

    Pamoja na kwamba ni uhuru na utandawazi lakini kwa hili hapana aisee, Anapodhalilika rais ni wewe na mimi na kila mtanzania anadhalilika, yaani watanzania wooote tunadhalilika ili tu flani awe rais awe chama flani ndio kitawale? Hapana kwa umoja wetu tupinge na kukemea hili, na tofauti zetu...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Upinzani wa Tanzania unashindwa kwa kuwa hauna ideology!

    Watanzania wameshindwa kuwaunga mkono upinzani kwa kuwa hakuna chama cha upinzani nchini kilichojitanabaisha na mrengo au muelekeo flani . Yaani hawana ideology ambayo mwananchi anaweza kuitambua. Hadi tutakapofikia huko CCM itaendekea kutawala milele kwani inatambua Ujamaa kama ndio muhimili...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Tupo timamu Dege la jeshi kiboko respect Tanzania!

    Hii iwafikie wana vyombo vya usalama.kudos kwao
  7. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania DW News nao wamkalia kooni mtawala wa Tanzania!

    Hii ni safi sana. Wambane kila kona aishie kwenda Burundi, Msumbiji, Uganda, na jamhuri zingine za midizi kama ilivyo nchi anayoitawala. Hakuna pa kujificha wala pa kukimbilia. https://youtu.be/VgcKuwarg1I?si=DtEUKkMHS6Yd0fvW
  8. BARAKA N RANGE

    JamiiForums Tanzania Tantech services

    Karibu Tantech ujipatie huduma mbalimbali kwa bei nafuu kama website,system,application design.,Digital marketing,social media boosting followers tiktok 1k=8000tzs instagram 1k=8000tzs likes tiktok 10k=12000tzs instagram 10k=12000tzs views tiktok 10k=10000tzs instagram 10k=10000tzs karibu...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Nchi 6 za Afrika zinazoongoza kwa Kubeti (Maafisa Ubashiri), Tanzania nusu ya watu wake wanacheza Kamari

    Sekta ya michezo ya Kamari barani Afrika inaendelea kukua kwa kasi, ikivutia wawekezaji, wasimamizi wa sheria na watafiti. Ukuaji huu unachangiwa na idadi kubwa ya vijana, upatikanaji wa intaneti na matumizi ya simu janja. Ripoti ya GeoPoll ya Aprili 2025 inaonesha kuwa idadi kubwa ya watu...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boniface Mwangi afunguka mateso ya kikatili aliyofanyiwa Tanzania, adai ''Tuliambiwa tuvue nguo, tutambae na tuoshe damu''

    Mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Kenya, Boniface Mwangi, ametoa simulizi ya kushtua na isiyo na kificho kuhusu masaibu aliyoyapata akiwa kizuizini nchini Tanzania, akieleza jinsi alivyolazimishwa kuvua nguo, kutambaa na kuosha damu mwilini mwake, huku akidai kuwa aliteswa kikatili pamoja...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Hali ya kisiasa Tanzania ni Tulivu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema hali ya kisiasa nchini ni tulivu, ambako amemjibu mwanazuoni mmoja aliedai kuwa hali ya siasa ni mbaya. Mkongwe huyo wa siasa nchini amesema mwanazuoni huyo anachanganya hali mbaya ya chama chake na Tanzania kwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Umaarufu wa Tanzania na CCM aliotuachia Magufuri, mama anaushusha kwa kasi kubwa

    Niseme kwamba kalibu kila mtu alimpenda Magufuri watu na raia wa inje walimpenda pia,kila mtu huku inje alikuwa akikuona umetoka Tanzania atataka kukuuliza habari za magufuri,aliipaisha kwelikweli Tanzania na CCM Lakini sasa mama anaiharibia inchi,tunavuma kwa mabaya,tunatia aibu,tunatukanwa...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania PAN AFRICAN: AU should investigate Tanzania on a dangerous trend of abduction, enforce disappearance and torture.

    Bado haijaisha mpaka iishe kabisa tulikuwa tunatekana wenyewe sasa tumeingia kimataifa zaidi. We've written to @_AfricanUnion, @achpr_cadhp, @jumuiya, @SADC_News with a copy to international partners demanding immediate action and accountability from @SuluhuSamia on missing activist @AAgather...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya polisi wanahusika na Utekaji wa raia nchini?

    Usione watekaji ni wa chama pinzani wanaotekeleza mipango fichu ili kuipaka serikali matope na wanaitekeleza kwa siri kubwa kiasi ya kuwa hakuna ushahidi. Sasa serikali inakuwa ngumu kuwakamata kiushahidi . Ila hawa G55 inawezekana wanawanalolijua ngojea kampeni huwenda kuna mambo yakajiri...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso na Tanzania kuimarisha uhusiano katika Huduma ya Saratani na huduma nyingine kiafya

    Taasisi ya Saratani Ocean Road, leo Mei 22, 2025 imepata ugeni wa kutembelewa na Dkt. Idrissa Traoré ambae ni mratibu wa Kitaifa wa Mpango wa Afya wa Rais wa Burkina Faso pamoja na ujumbe wake. Taarifaya Ocean Road imeeleza kuwepo kwa ziara hiyo ni juhudi na maono ya Dkt. Jakaya Kikwete wakati...
  16. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yashitakiwa Umoja wa Afrika kutokana na kukiuka Haki za Binadamu

    TANZANIA 'YASHTAKIWA' UMOJA WA AFRIKA! Martha Karua ameuandikia barua Umoja wa Afrika kuhusu kukamatwa, kuwekwa kizuizini na kuteswa kwa Boniface Mwangi wa Kenya na Agather Atuhaire wa Uganda nchini Tanzania. Kama majibu ya Tanzania kwa Bunge la Ulaya yalisema Bunge hilo lilipewa taarifa za...
  17. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Vita ya Tanzania dhidi ya waKenya: Serikali na vyombo vya dola vimekosea sana, kidiplomasia tumeyumba mnoo

    Tuweke ushabiki pembeni, tuseme ukweli. Tujiulize haya maswali muhimu; 1. Hivi kulikuwa na ulazima wa serikali na vyombo vya dola vya Tanzania kuchukua hatua za namna hii? 2. Kulikuwa na ulazima wa Rais kujiingiza moja kwa moja, kichwa kichwa, mstari wa mbele, tena kwa kebehi, dhihaka na...
  18. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Range Rover Iliyoibiwa UK Imeonekana Kwenye Mitaa Ya Jiji La Dar es Salaam, TZ

    Raia mmoja wa Uingereza amechapisha kwenye kundi la Facebook kuhusu gari lake aina ya Range Rover lilipotea miezi kadhaa iliyopita, ambalo sasa limeonekana likiwa Tanzania kupitia kifaa cha GPS alichokuwa amekificha ndani ya gari. Tafsiri kwa udhamini wa google Gari langu liliibiwa kutoka...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Moses Kajwang': Kila nchi ina katiba yake, tusipeleke tabia zetu Tanzania

    Moses Kajwang': Kila nchi ina katiba yake, tusipeleke tabia zetu Tanzania.
  20. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Naomba jina la hotel iliyopo Tanzania ambayo huwezi kuingia bila kuthibitisha cheti cha ndoa

    Wakuu naomba mnisaidie jina la hotel yoyote ambayo huwezi kuingia bila kuthibitisha cheti cha ndoa. Best Regards
Back
Top Bottom